Posts

MAUHAJI YA KUTISHA YA MTOTO YAFANYIKA UKO MKOANI MANYARA WILAYA YA MBULU.

Image
Pata kisa hiki cha kusikitisha ambacho kilikuwa hakijawahi tokea katika kijiji hiki kwani kilisababisha vilio kutanda ndani ya mji mzima.  Jeneza la marehemu Jenefrida likiwa limebebwa na waombolezaji kuelekea makaburi MAHUAJI. Mahuaji haya yalitokea mnamo tarehe 25/03/2014 katika kijiji cha GIDEMOSA kata ya DONGOBESH wilaya ya MBULU mkoani Manyara mnamo majira ya saa tisa alasiri ambapo mtoto JENIFRIDA PAULO aliweza kuuwawa Kikatili kwa kuchomwa kisu pemebezoni ya kichwa na hatimaye kuchinjwa shingo na uku kolomea likiwa limening'inia na akisaidiwa kushikiliwa na ngozi tu.. CHANZO CHA KIFO. Marehemu JENIFRIDA PAULO mnamo trh 25 kabla ya kukumbwa na mauti hayo akiwa nyumbani kwao mchana, akiwa yeye na mama yake mzazi. Mama wa marehemu akiwa ndani ya nyumba kubwa kapumzika kutokana na matatizo ya kiafya yanayomkaribi kwa muda, ilamuagiza mwanae(marehemu) aende katika nyumba ndogo yaani jiko na stoo akatoe kuni zilizokuwa nje ya myumba na akaziweke ndani ili usiku waw

JE WAJUA KUA NGUO ZA NDANI HUCHANGIA, UGUMBA? SOMA MAKALA HII UJUE MENGI

Image
TAFITI Za Kisayansi Zimebaini Kuwa Nguo Za Ndani Hasa Zinazobana Kwa Wanaume Na Zile   Za Aina Ya Nailoni (Nylon) Zinaathiri Uwezo Wa Mbegu Za Kiume, Hivyo Kushindwa Kutunga Mimba. Utafiti huo uliofanyika katika nchi za Ufaransa na Uingereza na kuchapishwa katika Gazeti la Daily Mail la Uingereza unabainisha kuwa, wanaume wanaovaa nguo za ndani zinazobana na zile zilizotengezwa kwa malighafi ya nailoni, mbegu zao za kiume (manii) huwa nyepesi na kupoteza uwezo wa kutunga mimba Vazi la ndani la wanaume linalojulikana kama boksa na nguo nyingine za ndani za kubana zenye asili ya nailoni, zinakuwa na athari kubwa zaidi hasa zinapovaliwa katika sehemu zenye joto, kama Dar es Salaam. Kutokana na matokeo hayo, wanasayansi wameonya kuwa wanaume wanapaswa kuchukua tahadhari, hasa kutokana na tafiti nyingi za karibuni kuthibitisha kuongezeka kwa matatizo ya mbegu za kukosa uwezo wa kutunga ujauzito katika nyumba ya uzazi ya mwanamke. Akizungumzia utafiti

MKE WA MTU AFUMANIWA NA MWANAUME MWINGINE.....WAPEWA KICHAPO WALAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI HADHARANI.

Image
    Hii ajali imetokea huko Anambra State Nigeria baada ya Mke wa mtu kukamatwa na mumewe live akifanya mapenzi na bwana wake wa pembeni. Watu wakaona isiwe tabu wakachukua sheria mkononi na kuwalazimisha waendelee kufanya  mapenzi mbele ya umati wa watu. Wakati yote hayo yanaendelea mwenye mke hakutaka kabisa kushuhudia badala yakealienda nyumbani kumfungia mke wake virago. Haya majanga yalitokea karibu kabisa na Chuo kikuu cha Anambra State. Kazi kwenu mnaotoka na wake za watu mtakamatwa na kulazimishwa mfanye mapenzi hadharani kama sio kugandana.

Some girls in Ghana has taken the azonto craze to a new level

Image
Some girls in Ghana has taken the azonto craze to a new level, they now have the adult version and they dance it without wearing anything.Over the last few years, no single dance has dominated the Ghanaian landscape than the phenomenal Azonto dance. Not only has the dance dominated the night clubs, parties, beach sessions, social events and even church auditoriums but has also gained international recognition not only on the African continent but across the world. It is also the toast of both the young and old.Just last week, popular football star tweeted: “I love this dance called the #Azonto” and shared the link to a viral YouTube video with a white boy dancing Azonto on the streets of central London with Sarkodie’s ‘U Go Kill Me’ in the background whilst rapper Snoop Dogg was also captured on tape doing the dance. The Azonto craze has made waves around the world to the extent that legal experts in the entertainment industry have called on Ghana to patent, bra

Haya mavazi ya huyu mwalimo kiboko, utamu nje nje

Image
  HAPA INAKUAJE,MWANAFUNZI ATAELEWA KWELI JAMANI?!! Siku zote ukijiheshimu utaheshimiwa, kujiheshimu huko ni pamoja na mavazi tunayovaa jamani.....sasa imagine mwalimu anavaa  mavazi kama haya ...wanafunzi wataelewa kweli?? ukizingatia kizazi hiki cha google...Tubadilike jamani !!

LAANA:MSANII MKUBWA KENYA "AVRIL" ANASWA AKIFANYA UCHAFU (AKISAGANA)...AGALIA PICHA UJIONEE...TAFADHALI PICHA HIZI NI KWA WAKUBWA TU

Image
Kenyan musician Avril Nyambura lesbian sex photos leak (18+) The 'Kitu Kimoja' hit singer Avril Nyambura made news after her unclad pictures circulated on the internet. The artist was not as popular as she is now. Many believe that she leaked them in a bid to create publicity . Avril claimed that the images were photoshopped by a malicious individual. At the time, the musician was involved in a fling with Dj Crème de la crème who was engaged to his beautiful fiancée . If you didn't get a chance to see the famous pictures , here they are:  sourece: rahatamtam

DENTI AONA BOOK GUMU AMUA KUACHIA PICHA YAKE YA UTUPU

Image
denti kajichokea kaona bora afanye kweli...hajakosea sana biashara matangazo

POMBE SIO MAJI YAMUHUMBUA MWANADADA HUYU MARA BAADA YA KUJITWIKA KUPITA KIASI

Image
Hizi ni picha zinazo muonesha Mwanadada mrembo  in the name of partying  toka anapoingia hadi ku- black out aka KUZIMA......Jionee mwenyewe....POMBE NOUMA.... Hapa anaingia batani Hapa ndio anaanza kuona chengachenga Ohoh..Kaanza kukiss nyasiii Daaah Kaanguka Hapa ndio kazima kabisa Dadayetu

ANGALIA NAFASI MPYA YA KAZI KUTOKA KCB BANK

Image
KCB BANK VACANCIES  KCB is renowned for its diversity and growth in the Region is currently strengthening its support for group operations and business with the aim of maintaining Best Practice whilst also responding to the growing Business needs to support internal and external Customer Service delivery objectives and increase shareholder value. To this end the following challenging positions have arisen and candidates with the requisite competencies and qualifications described below are hereby encouraged to apply. SENIOR RECOVERY MANAGER CREDIT ANALYST- CONSUMER CREDIT UNIT SALES MANAGER CARD SALES MANAGER SENIOR RECOVERY MANAGER SENIOR RECOVERY MANAGER Reporting to the Head Credit Support Unit, this position will be responsible for reducing non performing retail loans and overdrafts through, direct recovery, restructuring and upgrades. Key responsibilities Formulate recovery strategies for non performing Retail, SME & Specia

RAIS BARACK OBAMA AKUTANA NA PAPA FRANCIS KWA MARA YA KWANZA VATICAN

Image
Rais wa Marekani,  Barack Obama akiwasiri Vatican kwa ajili ya mazungumzo na Papa Francis kwenye mji wa Vatican jana march 27, 2014.     Rais wa Marekani, Barack Obama akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili Vatican   Rais wa Marekani, Barack Obamaakisalimiana na mmoja wa padri Georg Ganswein alipowasili Vatican  Papa Francis akutana na Obama Rais Obama ameelezea furaha yake ya kukutana na papa mtu ambaye kulingana naye anaishi na kutenda kulingana na injili anayoihubiri. Maswala mbali mbali yenye umuhimu wa kimataifa pamoja na kidini huenda yakajadiliwa katika mkutano huo. Wawili hao wanatarajiwa kujadili namna ya kupunguza tofauti iliyopo kati yao katika maswala mengi mbali na kujaribu kuinua maisha ya watu maskini duniani. Papa Francis amekuwa mstari wa mbele akipigania kubadili sera na mtazamo wa Kanisa na viongozi duniani kuhusiana na mikakati ya kupunguza tofauti kubwa baina ya maskini na matajiri duni

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA SHIRIKA LA UTANGAZAJI BBC

Image
Senior Mentor Job at BBC Media Action Tanzania Location: Tanzania Reports to: Niambie Project Manager Contract duration: 12 months (with possible extension) Application instructions: Candidates should send their CV and a covering letter (PDF or Microsoft Word format) which outlines their experience and suitability for the role in English to tzrecruitment@tz.bbcmediaaction.org. The name of the position applied for should be included in the subject line of the email. Please do not send certificates or other attachments. Applicants with no separate covering letter will not be considered. Please only apply if you meet the basic criteria under the person specification. This is a local post applicable to people who have the legal right to live and work in Tanzania. 'National terms and conditions will apply'. Only shortlisted candidates will be notified. Application deadline: Thursday 10 April 2014 Job purpose: To lead the capacity-building of var

ANGALIA PICHA MWALIMU ABAMBWA AKIJIUZA,ASEMA MSHAHARA MDOGO

Image
Mwalimu akiwa ameduwaa baada ya kunaswa kwenye sakata hilo.   Wakati Wakristo bado wapo kwenye Kwaresma, mama aliyejitambulisha kuwa ni mwalimu wa shule ya msingi, amenaswa laivu akijiuza maeneo ya Mbagala-Zakhem jijini Dar . Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Machi 24, mwaka huu ambapo awali, wakazi wa eneo hilo waliwatonya mapaparazi wa Operesheni Fichua Maovu (OFM) kuwa kuna danguro kubwa maeneo ya Kizuiani ambalo limesheheni madadapoa wa kila aina wakiwemo mabinti wadogo. Chanzo hicho kilimwaga data kuwa, kuna mzee maarufu kwa jina la babu katika eneo hilo ambaye amekuwa akiwapa machangudoa hifadhi katika banda lake na kuwapa magodoro chakavu kwa malipo ya shilingi elfu moja kwa kila kichwa. KISIKIE CHANZO “Jamani kwenye danguro hili kila aina ya uchafu upo. Wanatukwaza sisi Wakristo ambao tupo katika kipindi hiki cha Kwaresma,” kilitiririka chanzo hicho cha kuaminika maeneo hayo. OFM KAZINI Ili kujiridhisha na taarifa hizo, makamanda wawili wa OF