Haya mavazi ya huyu mwalimo kiboko, utamu nje nje

 
HAPA INAKUAJE,MWANAFUNZI ATAELEWA KWELI JAMANI?!!

Siku zote ukijiheshimu utaheshimiwa, kujiheshimu huko ni pamoja na mavazi tunayovaa jamani.....sasa imagine mwalimu anavaa 
mavazi kama haya ...wanafunzi wataelewa kweli?? ukizingatia kizazi hiki cha google...Tubadilike jamani !!

Comments

Popular posts from this blog