ABBAS MTEMVU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA
Diwani wa Soko la Tazara Vetenary
Zahoro Maganga akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu
alipotembelea maeneo yaliyoharibiwa na mvua akiongozana na viongozi
wa Wakala wa Serikali wa Barabara (TANROADS) jinsi maji yanavyotakiwa
kufata mfereji huo ambao haupitishi maji kupeleka katika mfereji huo.
Abbas Mtemvu (kulia) akizungumza na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara (TANROADS) …
Diwani wa Soko la Tazara Vetenary
Zahoro Maganga akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu
alipotembelea maeneo yaliyoharibiwa na mvua akiongozana na viongozi
wa Wakala wa Serikali wa Barabara (TANROADS) jinsi maji yanavyotakiwa
kufata mfereji huo ambao haupitishi maji kupeleka katika mfereji huo.
Abbas Mtemvu (kulia) akizungumza na
viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara (TANROADS) katika ziara ya
kutembelea maeneo yaliyo haribiwa na mvua zilizokuwa zikiendelea
kunyesha Jijini Dar es Salaam (kushoto) ni Meneja wa Tanroads Mkoa wa
Dar es Salaam, Mhandisi Julius Ndyamukama.
Mhandisi Mradi TANROADS Mkoa wa Dar es
Salaam Ngusa Julius (wa pili kulia) akimwelekeza jambo Abbas Mtemvu
(aliye vaa kofia) wakati wa ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya
jimbo lake yaliyo haribiwa na mvua na kusaidia kutowa Mashine ya
kuondoa maji hayo yaweze kuondolewa (kushoto) ni Katibu wa Kamati ya
maafa na miundombinu ya Soko la Vetenary Manispaa ya Temeke Morocco
Milanzi na kulia ni Naibu Meya Manispa Temeke Juma Mkenga.
Katibu wa Kamati ya maafa na
miundombinu ya Soko la Vetenary Manispaa ya Temeke Morocco Milanzi
(wapili kulia) akizungumza na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara
(TANROADS) wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (wa
pili kushoto), wakati wa ziara ya kutembelea maeneo yaliyo haribiwa na
mvua zilizokuwa zikiendelea kunyesha Jijini Dar es Salaam na mbunge huyo
kusaidia mashine ya kuyaondosha maji hayo.
Baadhi ya maeneo waliyo kumbwa na maji katika Soko la Vetenary Manispaa ya Temeke.
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dar es
Salaam, Mhandisi Julius Ndyamukama akiwa na (wa tatu)kulia akizungumza
jambo wakati wa ziara na Mbunge Abbas Mtemvu wakati wa ziara hiyo.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mta wa
Kilimahewa Tandika Devis Coner Mfaume Mbonde (kulia) akielekeza jambo
wakati wa ziara ya Mbunge na viongozi wa TANROADS wakiangalia maeneo
yaliyoharibiwa na mvua nakuahidi kufanyia marekebisho maeneo hayo.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Comments
Post a Comment