WATEJA WA VODACOM KUPERUZI INTANETI BURE
Dar es Salaam, May 20, 2015: Zaidi ya watumiaji milioni 13 wa
mtandao wa simu za mkononi kuanzia leo wataweza kuperuzi internet
inayofikia MB100 kwa masaa mawili bure kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 2
asubuhi kutokana na ofa inayojulikana kama "Good Morning Tanzania" inayotolewa na Vodacom Tanzania.
Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata taarifa kupitia mtandao wa intaneti. Vodacom Tanzania siku zote imekuwa mstari wa mbele kubuni huduma zinazoendana na matakwa ya wateja wake na kuwarahisishia maisha katika nyanja ya elimu, afya,…
Dar es Salaam, May 20, 2015: Zaidi ya watumiaji milioni 13 wa mtandao wa simu za mkononi kuanzia leo wataweza kuperuzi internet inayofikia MB100 kwa masaa mawili bure kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 2 asubuhi kutokana na ofa inayojulikana kama "Good Morning Tanzania" inayotolewa na Vodacom Tanzania.
Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata taarifa kupitia mtandao wa intaneti. Vodacom Tanzania siku zote imekuwa mstari wa mbele kubuni huduma zinazoendana na matakwa ya wateja wake na kuwarahisishia maisha katika nyanja ya elimu, afya, Kilimo, burudani, nhuduma za kibenki na huduma nyinginezo za kurahisisha biashara mbalimbali.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma hii leo,Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa Kampuni hiyo Kelvin Twissa amesema “Kupitia promosheni hii ya "Good Morning Tanzania" Vodacom tutawaunganisha wateja wetu na sehemu nyingine za dunia bure kila siku. Ofa hii inawawezesha wateja wetu kufanya shughuli zao mapema bure kupitia mtandao wa intaneti ikiwemo kuwasiliana na marafiki, kupata habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na matumizi mengineyo mengi yanayoweza kufanyika kupitia kwenye mtandao wa internet.
Promosheni ya "Good Morning Tanzania" imeadaliwa mahususi kukidhi matakwa ya wateja wa Vodacom ili kuwarahisishia maisha na watanzania wametakiwa kujiunga na familia ya Vodacom waweze kutumia fursa hii kupata wakipendacho kupitia teknolojia ya simu za mkononi.
Ili kupata huduma hii mteja anachotakiwa kufanya ni kupiga namba *149*01# ambapo atapata maelekezo zaidi na kuanza kupakua na kuperuzi intaneti na kuweza kupata kwa urahisi anachohitaji akiwa ametulia nyumbani kwake.

Comments
Post a Comment