MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YA AFRIKA YAWANOA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA
Mkuu wa
Shirika la Maendeleo ya kimataifa la Ujerumani(GIZ)inayosaidia kujenga
uwezo wa taasisi za Uongozi na Utawala bara la Afrika,Dk Iris Breutz
akizungumza wakati wa semina ya siku nne ya kuwajengea uwezo waandishi
wa habari kutoka nchi za Afrika Mashariki namna Mahakama ya Afrika na
Haki za Binadamu(AfCPHR) inavyofanya kazi zake leo jijini Arusha,kushoto
ni Jenerali Ulimwengu ambaye ni mwezeshaji na Mkuu wa Mawasiliano wa
AfCPHR,Chatbar Sukhdev.
Mkuu wa
Mawasiliano wa AfCPHR,Chatbar Sukhdev akitoa nasaha zake kwenye semina
hiyo itakayowapa waandishi wa habari uelewa mpana wa Mahakama hiyo yenye
makao yake jijini Arusha.
Baadhi ya waandishi wa habari wakijifunza mambo mbalimbali yanayohusu kulinda Haki za Binadamu barani Afrika.
Comments
Post a Comment