Posts

RAIS MSTAAFU, MHE. DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKUTANA NA WANAFUNZI NA WANACHAMA WA CCM WAISHIO JIJINI BEIJING - CHINA.

Image
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete, akijiandaa kuzungumza na Wanafunzi na wanachama wa CCM waishio Mji wa Beijing nchini China.  Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza na wanafunzi na Wanachama wa CCM, waishio nchini China, wakati alipokutana nao akiwa katika ziara yake nchini humo. ************************************** Na Mwandishi Wetu, Beijing China Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi {CCM} na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo tarehe 20th April 2016 amekutana na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa Tawi la Beijing ambao ni Wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu, katika Ukumbi wa Grand uliopo katika Makazi ya Viongozi ya Diaoyutai State Guesthouse jijini Beijin, nchini China. Wakisoma risala yao, Wanafunzi hao kutoka vyuo mbalimbali vilivyopo Beijin na miji ya karibu kama vile Tianjin walimuhakikishia Mheshimiwa Dkt. Kikwete kuwa wao ni waaminifu na wazal

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA CCM WA WILAYA NA MIKOA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi wa mikoa na wilaya wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar ambapo aliwashukuru kwa kazi nzuri waliofanya kipindi cha uchaguzi na kuwataka kuwa wamoja na kukiimarisha Chama. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe.Philip Mangula akizungumza na kutoa neno la shukrani kwa niaba ya Viongozi wote wa CCM waliofanikisha ushindi wa Chama. Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akitoa neno la shukran kwa wenyeviti na makatibu wa mikoa pamoja na wilaya walioshiriki kufanikisha ushindi kwa CCM Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza nwa Wenyeviti na Makatibu wa Chama wa mikoa na wilaya wa CCM ambao walioshiriki na kufanikisha ushindi kwa Chama Cha Mapinduzi. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati wa kuwashukuru viongozi wa Chama waliofanikisha ushindi kwa CCM. Baadhi ya Viongozi wa CCM wakinyo

PICHA ZA MALKIA WA UINGEREZA AKITIMIZA MIAKA 90 HII LEO ZATOLEWA

Image
Malkia wa Uingereza ametimiza miaka 90, hii leo ambapo zimetolewa picha mbalimbali za malkia huyo akiwa na vitukuu, wajukuu pamoja na watoto wake na wenza wao. Picha hizo zenye mvuto zilizopigwa na Mmarekani Annie Leibovitz, moja wapo Malkia yupo na vitukuu vyake huku akiwa amembeba kitukuu chake cha mwisho Princess Charlotte. Malkia wa Uingereza akiwa na Prince Charles, Prince George aliyeshikwa mkono na baba yake Prince William    Picha ya pamoja ya wanafamilia ya Kifalme wa Uingereza, hapa anakosekana Prince Harry

Polepole na Hapi Waapishwa Rasmi Kuwa Wakuu wa Wilaya

Image
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Humphrey Polepole, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo. Wakuu wa wilaya za Kinondoni na Musoma wameapishwa leo baada ya kuteuliwa mapema wiki hii na Rais John Magufuli. Jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa Paul Makonda amemwapisha mkuu mpya wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Salum Hapi, aliyeteuliwa Aprili 18.   Mkuu mpya wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Salum Hapi Ali Hapi amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Makonda ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam mwezi uliopita. RC Makonda amempa DC huyo vipaumbele saba vya wilaya hiyo, ambavyo alisema kuwa ni pamoja na afya, haki ardhi, rushwa, kero na kushughulikia migogoro. “Natuma salamu kwa wala rushwa na mafisadi wote waliopo Wilaya ya Kinondoni, wanaopora haki za wananchi na rasilimali za nchi ili kujinufaisha wao na familia zao. Nitapambana nao usiku na mchana kuhakikisha ninashinda vita hii,” alisema Ali Salum Hapi. Naye mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo amemwapi

DIAMOND PLATINUMS MREMBO IRENE LYNN SIRI NZITO,MENGI YAFICHUKA

Image
Kuna siri nzito kati ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au baba Tiffah na mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Irene ‘Lynn’ ambapo watu wa karibu wanasema ‘wanatoka’. Kwa mujibu wa watu hao, Irene amekuwa akishinda kwenye Studio ya Wasafi inayomilikiwa na Diamond, iliyopo Sinza Mori jijini Dar huku wafanyakazi wote wa studio hiyo wakijua wawili hao wameshibana. “Jamani nataka kuwapa umbeya. Huu umbeya wengi hawaujui. Kuna mrembo mmoja anaitwa Irene, ndiye mtu wa Diamond kwa sasa. Diamond anampenda sana Irene. Ukienda pale studio utamkuta, muda mwingi anashinda pale. “Lakini Diamond anasema ni ndugu yake. Sasa we jiulize, Nasibu na Irene  wapi kwa wapi? Huo undugu mbona hauweki wazi kwamba ni mtoto wa nani? “Huyu Irene yupo Dar miaka yote, kama kweli ni ndugu yake mbona hajawahi kuonekana kwenye shughuli za Diamond kama wanavyoonekana Queen Darlin na Esma (dada wa Diamond)?” kilisema chanzo hicho... Kikaendelea: Lakini huwezi amini,Irene ni kipenz

Ulishajiuliza unapenda nini kwa mpenzi wako?

Image
Asalaam Alaikum wapenzi wasomaji wa safu hii, bila shaka ni wazima mnaendelea vema na ujenzi wa taifa, kwa waliokutwa na mafuriko nawapa pole Mungu awape subra na wepesi Ishallah. Leo kwenye safu hii nimekuja tuongelee suala hili la wapenzi kupendana na kufikia kuwa mwili mmoja je, umewahi kujiuliza maswali kuhusiana na mwenza wako? Maswali haya yanawahusu wote. Mnatafuta nini ndani ya wenza wenu ni kitu gani mnaangalia/mnakiona ndani ya mtu unayeamua kuwa naye kama mchumba/mume/mke. Je, ni macho yake au tabasamu, ama ni muonekano wake, uchangamfu au upole, ni kitu gani unachokiona ndani ya mtu kinachokuvutia. Wengine wanavutiwa jinsi mtu anavyofikiria, au mwili wake, wewe je? Unaweza ukawa umevutiwa na kitu kimojawapo, lakini unajua uhusiano mzuri haujengwi na vitu hivi tu, kuwa na uhusiano mzuri na mwenza wako inahusisha vitu vingi sana tofauti na tabasamu lake iwe unatafuta mtu wa kuwa naye au kama tayari upo katika uhusiano hakikisha mnakubaliana vitu mu

BREAKING NEWS: MHANDISI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM NA WASAIDIZI WAKE WATUMBULIWA.

Image
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko, akizungumza na wanahabari kuhusu kumvua madaraka Mhandisi wa Manispaa hiyo,Japhery Bwigane na wasaidizi wake wawili kwa tuhuma za kusimamia ujenzi wa barabara za manispaa hiyo kwa kujengwa chini ya kiwango. MANISPAA ya Ilala jijini Dar es Salaam imemvua madaraka Mkuu wa Idara ya ujenzi, Mhandisi Japhery Bwigane na wasaidizi wake wawili kwa tuhuma za kusimamia ujenzi wa barabara za manispaa hiyo kwa kujengwa chini ya kiwango. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akitoa taarifa hiyo, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko aliwataja maofisa wengine wa idara hiyo waliosimamishwa kuwa ni Siajari Mahili na Daniel Kirigiti ambao wamehamishwa idara hiyo ili kupisha uchunguzi unaoendelea. Kuyeko alisema kikao cha Baraza la Madiwani kimefikia uamuzi huo baada ya manispaa kujiridhisha kuwa maofisa hao wamechangia kwa kiasi kikubwa ujenzi wa barabara mbovu ndani ya manispaa hiyo. Alise

WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU ISUJA WA DODOMA.

Image
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Askofu Mkuu wa Jimbo la Dodoma , Beatus Kinyaiya katika mazishi ya Askofu Mstaafu wa Dodoma Mathias Isuja yaliyofanyika kwenye kanisa kuu la Mtakatifu Paul wa Msalaba Mjini Dodoma Aprili 20, 2016.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Askofu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dodoma, Mathias Isuja katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa   Kuu la Mtakatifu Paul wa Msalaba Aprili 20, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la Askofu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dodoma, Mathias Isuja  katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa  Kuu la Mtakatifu Paul wa Msalaba,  Aprili  20, 2016.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya waumini na wakazi wa mkoa wa Dodoma katika mazishi ya Mhashamu Askofu Mstaafu, Mathias Isuja wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma. Amesema kifo hicho ni pigo kwa watu wote na si kwa kanisa pekee kwa sababu walim

Watuhumiwa wa ujambazi, wala kichapo hevi Kariakoo

Image
WATU wawili wanaodaiwa kuwa majambazi wamenaswa leo Kariakoo jijini Dar es Salaam na kupewa kichapo ‘hevi’ kutoka kwa wananchi wenye hasira kali waliokuwa eneo la tukio. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, majambazi hao wawili akiwemo mmoja ambaye ni raia wa Kihindi wamekamatwa Mtaa wa Swahili na Mchikichi, Kariakoo na wanadai raia huyo wa Kihindi anajulikana kwa jina la Samir.

MSANII BONGO MOVIE AFARIKI AKIJIFUNGUA

Image
Ni simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza ilikuwa imeanza kuchomoza kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ilizimika ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya msanii huyo kupoteza maisha muda mfupi baada ya kujifungua kwenye Hospitali ya St. Benard, Kariakoo jijini Dar es Salaam. Filamu alizowahi kucheza? Aishiwa nguvu wakati wa kujifungua. Aabainika kutokuwa na damu ya kutosha. Madaktari washindwa kumfanyia upasuaji Bahati nzuri ajifungua salama. Apatwa balaa lingine baada ya kujifungua, afariki dunia. Mama wa Marehemu afunguka mazito kuhusu kifo cha mwanaye. Simulizi ya kifo chake inasikitisha sana! “Inauma sana, mwanangu amefariki kwa maumivu maana shida ilikuwa ni ambulance, kama ingepatikana kwa wakati naamini angepona lakini ndiyo hivyo tena, kazi ya Mungu haina makosa,” alisema mama huyo kwa uchungu huku akitokwa machozi. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina! -Chanzo: GPL

Ndugai awaapisha wabunge wapya mjini Dodoma

Image
  Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma  kuongoza kikao cha kwanza cha  mkutano wa tatu wa Bunge   Aprili 19, 2016. Ruth Owenya akiapa kuwa Mbunge  kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 19, 2016. Ritta Kabati akiapa kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2016.   Spika wa Bunge Job Ndugai  (kulia) akimwapisha  Ritta Kabati kuwa mbunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma  Aprili 19, 2016.   Spika wa Bunge, Job Ndugai akimwapisha Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu,  Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge  Mjini Dodoma Aprili 10, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Waziri Kiongozi  wa Zanzibar  Mstaafu , Shamsi Vuai Nahodha baada ya kuapishwa kuwa Mbunge, Bungeni mjini Dodoma, Aprili 19, 2016.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, January

Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi Jiji la Dar.

Image
Rais John Pombe Magufuli AKIHUTUBIA kwenye uzinduzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam mchana huu, Rais John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Bw. Wilson Kabwe kutokana na ufisadi katika utekelezwaji wa mikataba mitatu, inayohusu maeneo ya ukusanyaji mapato ya Stendi Kuu ya Mabasi Yaendayo Mikoani ya Ubungo na kodi ya uegeshaji magari katikati ya jiji na  kuisababishia  serikali  hasara  ya  pesa zaidi ya bilioni 3. Rais Magufuli amechukua uamuzi huo mchana huu wakati wa uzinduzi wa daraja la Kigamboni, ambapo kabla ya Rais kuhutubia, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda alitoa hotuba fupi ya maswala kadhaa ya Mkoa wa Dar es Salaam  ikiwemo  ripoti ya tume aliyounda  kuchunguza utekelezwaji wa mikataba hiyo. Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Wilson Kabwe. AKIHUTUBIA kwenye uzinduzi wa darala la Kigamboni jijini Dar es Salaam mchana huu, Rais John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji

BINTI WA MIAKA 19 AWA GUMZO KWA KUFANYA KAZI YA MOCHWARI.

Image
Sabrina Gharib. PWANI: Sabrina Gharib, binti mwenye miaka 19 anayefanya kazi kwa vitendo kimasomo kwenye Mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Tumbi Kibaha mkoani Pwani, amekuwa gumzo kwa watu wanaokwenda kuchukua miili ya wapendwa wao hospitalini hapo, Uwazi limeibuka naye. “Tulipokwenda kuchukua mwili wa mpendwa wetu Tumbi, tulisikia watu wakimzungumzia msichana mdogo anayehudumia maiti. Kwanza sikuamini lakini nilimuona na kwa kweli alituhudumia vizuri,” alisema Frida John, mmoja wa waliokwenda kuchukua maiti hospitalini hapo. Katikati ya wiki iliyopita, gazeti hili lilikwenda hospitalini hapo likiwa na kundi zima la Global Tv On Line na kufanya mahojiano naye ambapo Sabrina alisema aliamua kusomea kazi ya kuhudumia maiti badala ya unesi kutokana na kujua kuwa, ajira kwa fani hiyo zipo nje nje. MSIKIE MWENYEWE “Niliamua kusomea kazi hii kwa kujua kuwa ina soko la ajira. Awali nilikuwa msichana pekee darasani. Siku ya kwanza kusoma kwa vitendo katika Hospitali ya Iringa

OMMY DIMPOZ AFUNGUKA MAZITO KUHUSU ALI KIBA,AELEZA KILA KITU

Image
Alikiba akiwa na Ommy Dimpoz katika pozi Msanii Alikiba amefunguka na kusema msanii Ommy Dimpoz alimsumbua sana ili kufanya naye ‘Collabo’ japo anasema alikuwa anamsumbua kwa namna nzuri na si mbaya kwani lengo lake lilikuwa ni kufanya kazi na yeye. Akiongea na East Africa Radio Alikiba alidai kuwa ilimchukua takribani mwezi mmoja kama si miwili ili kufanya kazi hiyo na Ommy Dimpoz kwani anadai kila alipomuahidi kwenda studio mambo yaliingiliana na kujikuta inakwenda zaidi ya miezi miwili ndipo alipopata nafasi na kwenda studio kukamilisha Collabo hiyo. “Ommy Dimpoz alikuja akaniambia Kaka kuna wimbo fulani nataka tufanye, mimi nikamuuliza wewe si unaimba kwenye band? akaniambia ni kweli ila kwa sasa nataka kutoka mwenyewe nikamwambia sawa. Nikamuuliza wimbo huo umefanya wapi akasema kwa KGT nikamwambia pale ni nyumbani kwangu, hivyo nikapata nafasi kuisikiliza kazi ile na kumwambia wimbo huu unahitaji vitu vya ziada. lakini ilinichukua zaidi ya mwezi kama si miezi miwil

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMTEUA POLEPOLE KUWA MKUU WA WILAYA YA MUSOMA

Image
Posted by JAFE MALIBENEKE at Monday, April 18, 2016 Email This BlogThis! Share to Twitter

RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI AMTEUA ALLY HAPI KUWA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI

Image