RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA CCM WA WILAYA NA MIKOA
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na
Viongozi wa mikoa na wilaya wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Tanzania Bara
na Visiwani Zanzibar ambapo aliwashukuru kwa kazi nzuri waliofanya
kipindi cha uchaguzi na kuwataka kuwa wamoja na kukiimarisha Chama.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe.Philip Mangula akizungumza na kutoa neno la
shukrani kwa niaba ya Viongozi wote wa CCM waliofanikisha ushindi wa
Chama.
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akitoa neno la shukran kwa
wenyeviti na makatibu wa mikoa pamoja na wilaya walioshiriki kufanikisha
ushindi kwa CCM
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza nwa Wenyeviti
na Makatibu wa Chama wa mikoa na wilaya wa CCM ambao walioshiriki na
kufanikisha ushindi kwa Chama Cha Mapinduzi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati
wa kuwashukuru viongozi wa Chama waliofanikisha ushindi kwa CCM.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nachingwea Mhe. Albert Mnali akichangia
maoni yake kwenye mkutano wa viongozi wa CCM na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.
Comments
Post a Comment