Posts

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 22.03.2016

Image

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image

MAGAZETI YA UDAKU LEO TAREHE 22/3/2016

Image

Waziri Mkuu Amwagiza CAG Kukagua Bandari na Benki ya CRDB......Makampuni 150 ya Uwakala Yafunguli

Image
  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali aende Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ili akague taarifa za mapato ambazo zilikuwa zikilipwa na mawakala wa forodha na bandari kupitia benki ya CRDB lakini hazionekani kwenye mifumo ya benki. Ametoa agizo hilo leo jioni (Jumatatu, Machi 17, 2016) wakati akizungumza na mamia ya mawakala wa forodha na bandari waliohudhuria mkutano aliouitisha ili kusikiliza kero zinazowapata katika utendaji kazi wao. Akizungumza na mawakala hao kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu alisema kuna dalili za kutupiana lawama baina TPA na CRDB kuhusu malipo yaliyikuwa yakifanyika benki halafu fedha hazionekana na wakala anaidaiwa kuwa hajalipia mzigo wakati alishaulipia. “Kimsingi bado liko tatizo baina ya Mamlaka ya Bandari pamoja na Benki ya CRDB. Naona kila mmoja hapa anamkana mwenzake. Nitamtuma CAG ili akafanye ukaguzi wa kina ili tujue ni nani kati yao amehusika na upotevu wa fedha

BREAKING NEWSSS ... MKUU WA WILAYA NA MTANGAZAJI MKONGWE SARA DUMBA AFARIKI DUNIA

Image
MKUU WA WILAYA YA NJOMBE BI.SARAH DUMBA AKIWA OFISINI KWAKE ENZI ZA UHAI WAKE. Habari zilizotufikia hivi zinasema Mkuu wa wilaya wa Njombe na Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania,Bi. Sara Dumba amefariki Dunia.  Taarifa zaidi tutazidi kuwaletea ...

NEWZ ALERT: WATU WANNE WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA KUFUATIA AJALI YA LORI KUYAGONGA MAGARI MATATU YA MSAFARA WA KAMATI YA TAMISEMI ENEO LA KEREGE, BAGAMOYO.

Image
WATU wanne wanahisia kufariki dunia huku 12 wakiwa wamejeruhiwa vibaya, katika ajali iliyoyahusisha magari manne, mawili yakiwa katika msafara wa Kamati ya Bunge Utawala na TAMISEMI maeneo ya Kerege, Bagamoyo Pwani, anaandika Mwandishi Wetu. Ajari hiyo iliyohusisha lori la mchanga, gari dogo yaliyokuwa yanatokea Bagamoyo kuja Dar es Salaam, na magari mawili yaliyokuwa kwenye msafara wa Kamati hiyo, yaliyokuwa yanaenda Bagamoyo kwa shughuli zake za kibunge. Magari yaliyokuwa katika msafara wa kamati hiyo, ni gari la Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) na gari la Mkurugenzi wa Wilaya ya Bagamoyo ambayo yaligongwa na lori hilo la mchanga na kusababisha vifo vya watu hao na kuwajeruhi wengine kadhaa. Ajali hiyo ilitokea baada ya gari dogo lililokuwa linatokea Bagamoyo kupunguza mwendo ghafla na kusababishwa lori lililokuwa nyuma yake kuligonga na kuhama upande wa pili na kuyagonga magari mawili yaliyokuwa katika msafara wa kamati ya Bunge. Taarifa zaidi zitawa

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATEKELEZA AGIZO LA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA LA KUHAKIKI SILAHA.

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kwa makini zoezi la uhakiki wa silaha zake lililokuwa likifanywa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Neema Laizer Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Rais amekuwa mtu wa kwanza kutekeleza agizo la Mkuu wa Mko wa Dar es Salaam Paul Makonda. Kamanda wa Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam Kamishna CP Simon Sirro kulia akimkabidhi Silaha aina ya Bastola Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya uhakiki uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Kamanda wa Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam Kamishna CP Simon Sirro kulia akimkabidhi silaha aina ya shortgun Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya uhakiki uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiiweka silaha yake vizuri mara baada ya kuhakikiwa Ikulu jijini

Breaking News!! MSAFARA WA KAMATI YA BUNGE WAPATA AJALI,WATU WANNE WAFARIKI,6 WAJERUHIWA

Image
  Watu wanne wamefariki dunia na wengine sita wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha msafara wa kamati ya TAMISEMI baada ya lori kuparamia msafarahuo eneo la Mapinga Bagamoyo mkoani Pwani.  Ajali hiyo iliyohusisha lori la mchanga, gari dogo yaliyokuwa yanatokea Bagamoyo kuja Dar es Salaam, na magari mawili yaliyokuwa kwenye msafara wa Kamati hiyo, yaliyokuwa yanaenda Bagamoyo kwa shughuli zake za kibunge. Magari yaliyokuwa katika msafara wa kamati hiyo, ni gari la Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) na gari la Mkurugenzi wa Wilaya ya Bagamoyo ambayo yaligongwa na lori hilo la mchanga na kusababisha vifo vya watu hao na kuwajeruhi wengine kadhaa.    Aidha mingoni mwa waliofariki ni pamoja na DPLO - Hilda, Mwanasheria Kiliba, Mchumi- Pallangyo , na M adereva wa wili . M aj eruhi wa ajali hiyo ni Mkurugenzi (DED)-M atovu ,Engeneer wa maji-Juliana,Mweka hazina- Mashauri, Afisa maendeleo ya jamii-Mwangata,na Mratibu TASA F-Amedus Mbuta Ajali hiyo ilitokea baada ya ga

Nape azindua ‘Miss Tanzania’ mpya

Image
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Nape (wa pili kulia) akiingia katika Hoteli yaRamada iliyoko Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam, akiwa ameongozana na wajumbe wa kamati ya Miss Tanzania. Mrembo wa Tanzania 2014  Lilian Kamazima (kushoto) na Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu, wakisikiliza jambo kwa makini katika hafla hiyo.    Mkurugenzi wa  Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga (katikati) na  Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa (BASATA)  Godfrey Mngereza (kulia)  wakijadiliana jambo na Nape.   Lilian Kamazima (kushoto) Hoyce Temu na Nasree n Karim, Miss Tz 2008 (kulia). Kikundi cha ngoma za asili cha Wanne Star kikitumbuiza. Warembo waliowahi kunyakua taji la Miss Tanzania kutoka kushoto ni:  Basila Mwanakuzi, Hoyce Temu ,Nasreen Karim na Lilian Kamazima.   Nape (wa pili kushoto) akizindua rasmi  shindano hilo. Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga, akizungumza. Hoyce Temu (kushoto) akiwa  na rafiki yake, Usia.

BREAKING NEWZ:Shein atangazwa mshindi wa urais Zanzibar

Image
Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohammed Shein. Matokeo kamili kama yalivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), yanaonesha licha ya Chama cha Wananchi (CUF) kususia, mgombea wake Maalim Seif Sharif Hamad alipata kura 6,076 kwenye uchaguzi wa marudio uliofanyika Jumapili.Dkt Ali Mohammed Shein atangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Zanzibar akiwa na kura 299,982. Mgombea wa CCM, Dkt Ali Mohammed Shein akikabidhiwa cheti cha ushindi wa urais. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Salim Jecha akiongea jambo wakati akitangaza matokeo. Kulikuwa na wagombea 14 kwenye karatasi za kura za kumchagua rais. Majina yao ndiyo haya: 1 Khamis Iddi Lila ACT-W 2 Juma Ali Khatib ADA-TADEA 3 Hamad Rashid Mohamed ADC 4 Said Soud Said AFP 5 Ali Khatib Ali CCK 6 Ali Mohamed Shein CCM 7 Mohammed Massoud Rashid CHAUMMA 8 Seif Sharif Hamad CUF 9 Taibu Mussa Juma DM 10 Abdalla Kombo Khamis DP 11 Kassim Bakar Aly JAHAZI 12