Posts
Mgombea Ubunge ‘Aliyetekwa’ Mtwara Apatikana.......Ndugu Wasimulia Tukio Zima, Polisi Wasema Wanachunguza Kama Ni Kweli Au Lilipangwa
- Get link
- Other Apps
Mgombea ubunge jimbo la Mtwara Mjini kupitia CHADEMA, Joel Nanauka alipotea katika mazingira ya kutatanisha tangu juzi na kukutwa ametupwa nje ya mlangoni wa jengo la Kliniki/kituo cha afya hapo Mtwara. Ndugu wa mbunge huyo wameusimulia mkasa huo kama ifuatavyo: "Ndugu yetu Joel Nanauka ambaye anagombea Ubunge Jimbo la Mtwara Mjini kupitia CHADEMA, alipotea katika mazingira ya kutatanisha siku ya Jumatatu Tarehe 5/10/2015. Siku hiyo alitoka kwenye shughuli za kampeni akiwa na wenzake na walirudi nyumbani akiwa amechoka. "Majira ya saa kumi na mbili na nusu, alimtumia mwenzake ujumbe mfupi wa mkononi (SMS) akimjulisha kwamba kuna mtu amekua akimtafuta tangu wiki iliyopita waonena na mchana wa siku hiyo alimfuata ofisi ya CHADEMA lakini hakumkuta, hivyo anakwenda kuonana naye mara moja eneo linaloitwa Mnarani hapa mjini Mtwara. Eneo hilo sio mbali na nyumbani kwao. "Muda mrefu ulipita bila kurudi nyumbani huku giza likiwa lim
RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC MINDU UPANGA DAR ES SALAAM
- Get link
- Other Apps
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe uzinduzi wa jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Jijini Dar es Salaam Oktoba 7, 2015 zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki . Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mama Zakhia Meghji na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi . Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la ufunguzi la jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki. Wanaoshuhudia nia Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mama Zakhia Meghji Jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki linavyoonekana. Baad
KINANA APIGA KAMPENI YA NGUVU VISIWA NANSIO UKEREWE
- Get link
- Other Apps
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye eneo la mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye visiwa vya Nansio Ukerewe. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Nansio kwenye mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye visiwavya Nansio Ukerewe. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Nansio waliojitokeza kwa wingi kwenye eneo la mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli,Ukerewe.
SAMATA: TUNGEKUWA MAKINI TUNGESHINDA KWA IDADI KUBWA YA MAGOLI
- Get link
- Other Apps
Mbwana Samata Baada ya kufanikiwa kuifungia Stars goli moja kwenye ushindi wa goli 2-0 ilioupata Stars ikiwa nyumbani dhidi ya Malawi, Mazembe Mbwana ambaye ni nyota wa Tanzani anaecheza TP Mazembe amesema, kama wachezaji wa Stars wangekuwa makini basi wangeweza kufunga magoli mengi zaidi kwenye mchezo huo. Samata amesema ilikuwa ni rahisi kupata magoli mengi hasa kipindi cha kwanza lakini Malawi walirudi tofauti kipindi cha pili. Samata ameongeza kuwa, Stars inaweza kufuzu kwa hatua inayofuata kwasababu anaamini walimu wameona makosa yaliyojitokeza kwenye mchezo wa Jumatano na watafanya marekebisho kabla ya mechi ya marudiano siku ya Jumapili itakayochezwa nchini Malawi. “Kama tungekuwa makini, tungeweza kushinda kwa idadi kubwa ya magoli lakini sijui tulikuwa na uoga wa kudhani mechi inaweza kuwa ngumu zaidi ya ilivyokuwa. Kipindi cha pili jamaa wakaja wamebadilika kwasababu walikuwa wanaona kwamba matokeo yanaweza kuwa mabaya zaidi kwao”, amesema Samata
IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME
- Get link
- Other Apps
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ? Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu HATUA MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUME Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo : Hatua ya kwanza , ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na kuwa mgumu kama msumari. Na hatua ya pili ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa. Hatua zote mbili zinapo kamilika, ndipo tunapo pata kitu kinaitwa STRONGER AND LONGER ERECTION JINSI HATUA ZA KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA. 1. HATUA YA KWANZA: DAMU KUTIRIRIKA KWA KASI K