IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME
Ukosefu
na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo
linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani.
Tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini
?
Ukosefu
ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile
hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa
kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu
HATUA
MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUME
Ili
mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa
na andelee kufanya tendo la ndoa, ni
lazima uume wake upitie hatua kuu mbili
kama ifuatavyo :
Hatua ya
kwanza,
ni lazima uume wake uweze kusimama
barabara na kuwa mgumu kama msumari.
Na hatua
ya pili ni lazima, uume wake uendelee
kusimama kwa muda mrefu wakati wa
tendo la ndoa. Hatua zote mbili
zinapo kamilika, ndipo tunapo pata kitu
kinaitwa STRONGER AND
LONGER ERECTION
JINSI HATUA ZA
KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA.
1. HATUA YA KWANZA:
DAMU
KUTIRIRIKA KWA KASI KUINGIA NDANI YA
MISHIPA YA UUME NA KUUFANYA UUME
KUSIMAMA NA KUWA MGUMU.
Unapopata wazo
la kufanya tendo
la ndoa, mishipa ya
fahamu iliyopo kwenye ubongo, hupeleka ishara
kwenye mishipa ya uti wa mgongo, ambayo
nayo hupeleka taarifa hadi kwenye mishipa
ya uume. Taarifa inapofika kwenye mishipa
ya uume huifanya mishipa hiyo ku-relax na hatimaye
kufanya mishipa ya ateri kufunguka
na kutanuka. Mishipa ya ateri inapo tanuka
na kufunguka, huruhusu damu kuingia kwa
kasi ndani ya mishipa ya uume na
hivyo kuufanya huume kusimama.
Ni muhimu
kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax
hupelekea kuisukuma na hatimaye kuiziba mishipa
ya vena iliyo karibu na mishipa ya
uume na hivyo kuiondolea uwezo wa
kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa
ya uume na kuipeleka sehemu nyingine
za mwili.
N.B:
Kazi kubwa ya mishipa ya vena ni
kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa
ya uume na kuipeleka katika sehemu
nyingine za mwili. Au kwa lugha
nyingine unaweza kusema, kazi kubwa ya
mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna
damu kwenye mishipa ya uume.
2. HATUA
YA PILI :
DAMU
KUENDELEA KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI
UUME UKIWA UMESIMAMA NA HIVYO KUUFANYA
UUME UENDELEE KUDUMU
KATIKA TENDO LA NDOA
KWA MUDA MREFU.
Uume ulio
simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa
ya vena isiwe na uwezo wa
kunyonya damu kutoka katika mishipa ya
uume na kuipeleka katika sehemu nyinginezo
za mwili. .
Mishipa ya
Vena ndio inayo husika na kunyonya
damu kutoka kwenye mishipa ya uume na
kupeleka sehemu nyingine za mwili.
Ili uume uendelee kusimama lazima mishipa
hii ya vena iwe imezibwa. Ili iweze kuzibwa
ni lazima misuli laini ya kwenye
uume iwe - ime relax na hivyo kuifanya
mishipa ya vena kushindwa ku nyonya damu kutoka kwenye uume.
Endapo mishipa ya
vena itazibuka , basi itanyonya na kutoa damu
yote kutoka kwenye mishipa ya uume uliosimama
na kuipeleka sehemu
nyinginezo za mwili na hatimaye uume huo
ulio simama na utasinyaa mara
moja.
JINSI
UUME UNAVYO SIMAMA NA KUSISIMKA.
Tumeisha zifahamu hatua mbili muhimu
katika kusimama kwa uume
Jinsi
Uume unavyo simama: Katika uume kuna
chemba yenye mishipa laini sana, ambayo
ndio huufanya uume kusimama.
Mishipa hii ipo kama
sponji hivyo huweza kunyauka na kutanuka.
Damu inapoingia ndani
ya mishipa hii huufanya uume kusimama
na kuwa mgumu kama msumari.
Damu inapoendelea
kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati
wa tendo la ndoa, huufanya uume
uendelee kusimama.
Mwanaume unapo patwa
na wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa
ya fahamu iliyo kwenye ubongo hupeleka
ishara kwenye uti wa mgongo, ambao nao hufikisha
taarifa kwenye mishipa ya uume.
Taarifa ikisha fika
kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya
uume ku-relax na mishipa ya uume
inapo relax, hufanya mambo makuu mawili;
i.
Kwanza hufanya mishipa ya ateri kufunguka
na hivyo damu kutiririka kwa kasi
sana kuingia kwenye mishipa ya uume
( Mishipa
ya ateri ndio inayo tumika kama njia
ya kuingiza damu kwenye uume. Bila mishipa
ya ateri imara na yenye afya, damu haiwezi
kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu
isipoweza kuingia kwenye mishipa ya uume, basi uume
hauwezi kusimama )
ii.
Pili huibana mishipa ya vena na hivyo
kuizuia kunyonya damu kutoka kwenye
uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za
mwili. Matokeo yake kuufanya uume uendelee
kusimama kwa muda mrefu wakati wa
tendo la ndoa.
Kumbuka ,kazi kubwa
ya mishipa ya neva iliyo karibu na
mishipa ya uume, ni kunyonya damu kutoka ndani ya
mishipa ya uume na kuipeleka kwenye
sehemu nyingine za mwili. Kwa lugha nyingine,
kazi kubwa ya mishipa ya vena ni
kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya
uume ulio simama.
Kadri
damu inavyo zidi kuingia ndani ya mishipa
ya uume, ndivyo uume unavyo zidi kuwa
mgumu na kukakamaa.
Na kadri
damu inavyo hifadhiwa ndani ya mishipa
ya uume, ndivyo uume unavyo endelea kusimama
wakati wa tendo la ndoa kwa muda
mrefu.
Baada ya
kumaliza kufanya tendo la ndoa,mishipa ya
uume inarudi katika hali yake ya kawaida
(inanyauka ), ikisha nyauka, mishipa ya ateri
inanyauka pia, vena zinafunguka na kunyonya
damu katika mishipa ya uume na
kuirejesha katika sehemu nyinginezo za mwili
na hatimaye uume kurudi katika hali
ya kawaida ( Flaccid ).
Hali hii
itaendelea kujirudia kwa kadri utakavyo kuwa ukiendelea
kufanya tendo la
ndoa.
Mambo
Muhimu Katika Kuufanya Uume Usimame na
Kuendelea kudumu katika kusimama kwa muda
mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Ili uume uweze
kusimama imara kama msumari na uendelee kusimama
imara na kwa muda mrefu wakati wa
tendo la ndoa, ni lazima mambo yafuatayo yawepo.
1.
Mishipa ya uume iliyo
imara na yenye afya njema.
2.
Mfumo mzuri wa damu
katika mwili mzima.
3.
Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka
ndani ya mishipa ya uume.
4.
Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa
ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves),
mishipa ya kwenye uti wa mgongo
pamoja na mishipa ya kwenye uume.
Ili mwanaume aweze kuwa
imara katika tendo la ndoa, ni lazima
mambo manne niliyo yataja hapo juu yawe
sawa sawa bila hitilafu yoyote. Kinyume chake,
mwanaume hawezi kuwa na nguvu za kiume.
MAMBO YANAYO
SABABISHA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA
KIUME.
Tumeshajua nguvu za
kiume ni nini, jinsi uume unavyo simama,
hatua za kusimama kwa uume, pamoja na
mambo yanayo fanya uume uweze kusimama
na kuwa na uwezo wa kuendelea
kusimama wakati wa tendo la ndoa.
Ni vyema tukajua
mambo yanayo sababisha kushindwa kusimama
kwa uume, mambo yanayo sababisha uume ushindwe
kuendelea kusimama kwa muda mrefu wakati
wa tendo la ndoa pamoja na
mambo yanayo fanya mtu ashindwe kurudia
tendo la ndoa.
Yafuatayo ni mambo
yanayo sababisha ukosefu wa nguvu za kiume.
1. MAGONJWA
YANAYO SHAMBULIA MFUMO WA DAMU PAMOJA
NA MISHIPA YA DAMU.
Damu ndio nishati
inayo wezesha kusimama kwa uume na kuufanya
kuwa mgumu na imara kama msumari.
Damu ndio nishati
inayo weza kuufanya uume uendelee kusimama wakati
wa tendo la ndoa.
Damu ndio nishati
inayo upa uume uimara na uwezo wa
kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara
moja.
Hivyo basi ili
uume uweze kuwa imara na wenye nguvu,
pamoja na kuwa na uwezo wa kumudu
na kustahimili tendo la ndoa wakati wowote
, basi ni lazima mwanaume awe na
mfumo imara wa damu utakao ruhusu
kutiririka kwa damu kwenda katika sehemu
mbalimbali za mwili ikiwamo uume.
Ili mfumo uweze
kuwa imara ni lazima mhusika awe na
damu ya kutosha, na pili awe na
mishipa ya damu yenye afya.
Katika mwili wa
mwanadamu,kuna mishipa inayo tumika kusafirisha
damu kutoka katika sehemu moja ya mwili
kwenda katika sehemu nyingine ya mwili
ikiwemo uume. Mishipa hiyo ni kama vile
vena (veins), atery ( ateri) na capillary ( kapilari )
Mishipa hii ya
damu inapaswa kuwa imara na yenye
afya njema wakati wote. Mishipa hii
ikipatwa na hitilifu, basi itazuia kusafirishwa
kwa damu katika sehemu mbalimbali za mwili
wa mwanadamu na hatimaye kufanya suala la
kuwa na nguvu za kiume kwa mhusika
kuwa ugumu kwa sababu ya kushindwa
kupeleka damu kwenye mishipa ya uume.
Magonjwa kwenye
mishipa ya damu huzuia kutirika kwa
damu kwenye ogani muhimu kama vile moyo,
ubongo na figo.
VIASHIRIA
VYA MAGONJWA KWENYE MISHIPA YA DAMU.
Utajuaje kwamba una
magonjwa kwenye mishipa yako ya damu ?
Ukiwa una matatizo
yafuatayo ya kiafya, ni ishara kwamba, una
magonjwa kwenye mishipa yako ya damu:
1. Kolestrol ( Ama
lehemu kwenye damu )
Kolestrol nyingi
kwenye damu, huzuia kutiririka kwa damu.
Kolestrol ikizidi kwenye damu, hupelekea
kuziba mishipa ya ateri ambayo kazi
yake ni kupeleka damu kwenye uume. Matokeo
yake ni mhusika kutokuwa na uwezo wa
kusimamisha uume wake barabara kwa sababu uume
hauwezi kusimama bila damu kuingia ndani
ya mishipa ya uume. Hivyo basi pamoja
na dawa ya nguvu za kiume, yakupasa
kutibu kolestrol. Unaweza kuondoa kolestrol
kwenye damu kwa kutumia dawa mbali za
asili kama vile mdalasini,uwatu, habbat sodah etc.
Jinsi ya kujitibu kolestrol kwa kutumia dawa
asilia tafadhali tembelea
2.
Shinikizo Kubwa la Damu
Shinikizo Kuu la Damu
husababisha mishipa ya ateri ambayo
hutiririsha damu iingiayo kwenye uume
kuziba na kushindwa kutanuka kwa kiwango
inachotakiwa kutanuka.
Pia
huifanya mishipa laini katika uume
kushindwa ku-relax na hivyo kushindwa
kuizuia mishipa ya vena ya kunyonya
damu kutoka kwenye mishipa ya uume na
kuipeleka kwenye maeneo mengineyo ya mwilini.
Matokeo
yake kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha
damu iingiayo kwenye uume na hivyo
kufanya uume ushindwe kusimama.
Vile
vile hata kiasi kidogo cha damu
kinacho ingia kwenye uume, kinashindwa kuendelea
kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume ukiwa
umesimama, na matokeo yake ni uume kusinyaa
ndani ya kipindi kifupi sana tangu usimame.
Pamoja
na kutumia dawa ya nguvu za kiume,
unapaswa pia kutumia dawa asilia
kujitibu tatizo la shinikizo kuu la damu.
Kufahamu jinsi
ya kujitibu tatizo
la shinikizo la
damu kwa njia
ya asilia, tembelea :
3.
Ugonjwa wa kisukari :
Ugonjwa
wa kisukari ni miongoni mwa vyanzo
vikuu vya tatizo la ukosefu wa nguvu
za kiume. Kusimama kwa uume kunategemeana
na kutiririka kwa damu mwilini. Kisukari
huathiri mishipa ya damu pamoja na
usambazaji wa damu kwenye ogani muhimu
mwilini kama vile moyo, ubongo, figo na uume.
Kiukweli,
mwanaume mwenye kisukari yupo katika risk
kubwa ya kupatwa na tatizo la ukosefu
wa nguvu za kiume,m tena katika kiwango
kikubwa sana.
Unashauriwa
pamoja na kutumia dawa ya nguvu za kiume,
tumia pamoja na dawa mbalimbali za
asili kwa ajili ya kubalance sukari yako
mwilini. Zipo dawa mbalimbali za asili
zinazo saidia kubalance kiwango cha sukari
mwilini. Dwa hizo ni pamoja na mdalasini, unga wa
uwatu, mbegu za uwatu, manjano, majani ya
manjano,mbegu za katani, nakadhalika. Namna ya kutumia
dawa hizo kujitibu tatizo la sukari,
tafadhali tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
4. Magonjwa
ya figo
Tatizo la ugonjwa wa figo
huathiri vitu vingi ambavyo ni muhimu sana
katika kuufanya uume uweze kusimama na
kuendelea kudumu katika kusimama.
Tatizo la figo, huathiri homoni, huathiri
kutiririka kwa damu kwenda kwenye
mishipa ya uume. Huathiri mfumo wa mishipa
ya neva pamoja na nishati ya mwili mzima.
Pamoja na dawa
ya kutibu tatizo
la nguvu za
kiume, unapaswa pia, kutibu tatizo
la figo. Kufahamu jinsi
ya kujitibu magonjwa
mbalimbali ya figo
kwa kutumia dawa
mbalimbali asilia, tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
5.
Ugonjwa wa moyo
Moyo
ndio supplier mkubwa wa damu katika
sehemu mbalimbali za mwili. Ugonjwa wa
moyo hupunguza uwezo wa moyo kusambaza
damu kwenye mishipa mbalimbali ya damu
na hivyo kuathiri utendaji kazi wa mishipa
ya damu kama vile ateri na vena.
Matokeo yake ni mishipa hiyo kushindwa
kupeleka damu ya kutosha katika uume
pamoja na kushindwa kuifanya mishipa ya
uume kurelax na matokeo yake,. Ukosefu wa nguvu
za kiume. Hivyo basi, pamoja na
dawa ya nguvu
za kiume, unapaswa pia
kutibu tatizo la
moyo. Kufahamu jinsi unavyo
weza kutibu ugonjwa
wa moyo kwa
dawa asilia, tembelea :
6. Kupwaya
kwa mishipa ya
vena.
Kazi kubwa ya mishipa
ya vena kwenye uume kunyonya damu
iliyomo ndani ya
mishipa ya uume
na kuipeleka katika
sehemu nyingine za
mwili. Mishipa ya
vena iliyopo karibu
na uume kazi
yake kubwa ni
kuhakikisha hakuna damu
yoyote kwenye mishipa
ya uume. ( KUMBUKA KUWA
DAMU NDIO HUFANYA
UUMU USIMAME, HIVYO CHOCHOTE
KILE KITAKACHO FANYA
DAMU ISIKAE NDANI
YA MISHIPA YA UUME
, KITAFANYA UUME USINYAE
)
Ili
uume uendelee kusimama
ni lazima, mishipa ya
vena isiwe na
uwezo wa kunyonya
damu kutoka kwenye
mishipa ya uume
kupeleka nje ya
mishipa ya uume.
Na ili mishipa
ya vena isiwe
na uwezo wa kunyonya
damu kutoka kwenye
mishipa ya
uume ulio simama
na kuipeleka kwenye
sehemu nyingine za
mwili, ni lazima
mishipa ya uume
iwe imara na
thabiti isiyo na
hitilafu yoyote ile.
Mishipa
ya vena ikipwaya, mwanaume hutokuwa
na uwezo wa
kusimamisha uume wako, na
ikitokea umefanikiwa kuusimamisha
basi utasimama ukiwa
legelege sana na
utasinyaa ndani ya
muda mfupi sana, kwa
sababu damu iliyo
ingia ndani ya
uume wako na
kuufanya usimame, itanyonywa ndani
ya muda mfupi
sana na kutolewa
nje ya mishipa
ya uume na
hivyo kuufanya uume
wako usimame.
Tatizo
la kupwaya kwa
mishipa ya vena
linasababishwa na kupiga
punyeto kwa muda
mrefu pamoja na
ugonjwa wa kisukari.
KUPIGA
PUNYETO KWA MUDA
MREFU: Kupiga punyeto
kwa muda mrefu
ni moja kati
ya vyanzo vikuu
vya tatizo la
la ukosefu wa
nguvu za kiume.
Asilimia kubwa ya
vijana wenye tatizo
la ukosefu wa
nguvu za kiume, linasababishwa na
upigaji wa punyeto
kwa muda mrefu.
JINSI
PUNYETO INAVYO SABABISHA
UKOSEFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Unapopiga
punyeto unakuwa unaiminya
mishipa ya uume
ambayo ndio inaufanya
uume usimame.
Matokeo
yake unaifanya mishipa
hiyo ilegee na kutokuwa
na uwezo wa
kusimama tena.
Mishipa
ya uume iliyo
legea kutokana na
upigaji punyeto, huleta madhara
yafuatayo :
i.
Huondoa uwezo
wa mishipa ya uume kurelax.
( Unapopata wazo
la kufanya tendo
la ndoa, mishipa ya
uume ina relax , mishipa
iki relax husababisha
mishipa ya ateri
kupanuka na kuruhusu
damu kingie ndani
ya mishipa ya
uume na hatimaye
kuufanya uume usimame
na kuwa mgumu)
ii.
Mishipa ya
kiume ikishindwa ku relax
husababisha mishipa ya
ateri kuziba
iii.
Mishipa ya
ateri ikiziba, damu haiwezi
kutiririka kuingia kwenye
mishipa ya uume, na
hata ikitokea damu
imeingia ndani ya
mishipa ya uume
basi huingia kiasi
kidogo sana tena kwa
presha ndogo sana
hivyo basi hata kama uume
utasimama basi
utasimama ukiwa legelege
sana
iv.
Mishipa ya
uume ikishindwa kurelax
basi haitakuwa na
uwezo wa kuipush
na kuiziba mishipa
ya vena ambayo
ndio hunyonya damu
kutoka kwenye mishipa
ya uume ulio
simama. Matokeo yake basi, damu
kidogo iliyo ingia
ndani ya mishipa
ya uume na
kuufanya uume kusimama, hunyonywa na
kutolewa nje ya
mishipa ya uume
ndani ya sekunde
chache sana na
hivyo kuufanya uume usinyae
ndani ya muda
mfupi sana.
v.
Mishipa ya
uume kulegea
vi.
Uume kurudi ndani
na kusinyaa na
kuwa kama uume
wa mtoto
6.
Tatizo la unene kupita kiasi : Tatizo la
unene na uzito
kupita kiasi ni
miongoni mwa mambo
yanayo sababisha upungufu
wa nguvu za
kiume. Unene kupita kiasi
humuweka mtu katika
hatari ya kupatwa
na magonjwa kama
vile kisukari, presha, moyo na
shinikizo kuu la
damu. Na magonjwa ya
kisukari, moyo,presha na shinikizo
la damu husababisha
upungufu na ukosefu wa
nguvu za kiume, na
hivyo kumuweka muhusika
katika hatari kuu ya kupatwa
na tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu
za kiume.
Hivyo basi
kwa wewe mwenye
tatizo la unene
na uzito kupita
kiasi , pamoja na kutumia
tiba ya nguvu
za kiume, ni
vyema ukafanya na mpango
wa kupunguza unene
na uzito wako.
JINSI
YA KUPUNGUZA UZITO
NA UNENE KWA
KUTUMIA TIBA ASILIA, TAFADHALI TEMBELEA:
7. Matatizo
Katika mfumo wa Ubongo
Uume hauwezi kusimama bila
ya kuwa na
ushirikiano na ubongo. Ili mtu uume
uweze kusimama, mtu lazima
apate wazo la
kufanya tendo la
ndoa (UBONGO UNA HUSIKA
HAPO ), akishapata wazo,
ubungo hupeleka ishara
kwenye mishipa ya
fahamu iliyopo katika
uti wa mgongo
ambayo nayo hupeleka taarifa
kwenye mishipa ya
uume then uume
usimama. Hivyo basi ili mtu
aweze kuwa na uwezo wa kusimamisha uume
wake ni lazima kuwa na mawasiliano mazuri
na imara kati ya mishipa
ya fahamu ( ubongo ),
mishipa ya kwenye
uti wa mgongo na mishipa ya
kwenye uume. Bila
ushirikiano kati ya
vitu hivyo vitatu, uume
hauwezi kusimama.
Magonjwa
yanayoweza kuathiri ushirikiano kati ya
mishipa ya ubongo na mishipa ya uume,
yanaweza kusababisha kushindwa kusimama kwa uume.
Magonjwa hayo ni
pamoja na kiharusi,kupoteza kumbukumbu (
Alzheimer ), multiple sclerosis pamoja na ugonjwa
wa Parkinson.
Ni
vyema mgonjwa akatibiwa
kwanza magonjwa hayo
kabla ya kuanza
kutumia dawa ya
nguvu za kiume.
Kufahamu jinsi ya
kujitibu magonjwa tajwa
hapo juu kwa
njia asilia,tafadhali tembelea
Mambo
mengine
yanayo sababisha ukosefu
na upungufu wa
nguvu za kiume, ni pamoja
na maumivu & majeraha kwenye
uti wa mgongo, chango
la kiume , ngiri na
matatizo katika homoni.
VIASHRIA
VYA MTU MWENYE
TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA
NGUVU ZA KIUME.
Mtu mwenye
tatizo la ukosefu
wa nguvu za kiume huwa
na dalili zifuatazo ;
1. Kushindwa kabisa
kusimamisha uume wake
2. Uume kusimama
ukiwa legelege
3. Kuwahi kumaliza
tendo la ndoa
4. Mwanaume kutokuwa
na uwezo wa kufanya
tendo la ndoa
katika baadhi ya
staili ( Mara nyingi
mwanaume huyu huwa
na uwezo wa kufanya tendo
la ndoa staili moja
tu ). Hapa mwanaume
anakuwa na uwezo
wa kufanya tendo
la ndoa kwa
staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa
staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa
kusimamisha uume wake
japo katika hali
ya u lege lege
5. Uume kutokuwa
na uwezo wa
kusimama wenyewe bila
kushikwashikwa ama kutomaswa kwa
muda mrefu.
6. Uume kusinyaa
ukiwa ndani ya
mwanamke.
7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea
activity yoyote ya
kiungo ama ogani
nyingine ya mwanaume
wakati wa tendo
la ndoa. Kwa mfano, wakati
wa tendo la
ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa
au kupiga chafya, uume
nao unasinyaa.
8. Uume kusinyaa
mara tu baada
ya kutolewa ndani ya uke
( Kwa mfano kama unafanya tendo
la ndoa, halafu uume
ukatoka nje, kitendo cha
kuushika kuurudisha ndani,
tayari una sinyaa )
9. Kutokuwa na
uwezo wa kurudia
tendo la ndoa.
10. Kupatwa na
maumivu wakati wa
tendo la ndoa.
VIASHIRIA VYA
MWANAUME ASIYE NA
TATIZO LA UKOSEFU WA
NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume asiye
na tatizo la
ukosefu wa nguvu
za kiume, huonyesha ishara
zifuatazo ;
i.
Uume husimama
ukiwa imara kama
msumari.
ii.
Hukaa kifuani
kwa muda mrefu
( Wastani ni kati
ya dakika 20
hadi 45 )
iii. Huweza kurudia
tendo la ndoa
zaidi ya mara
tatu bila misuli
ya uume kuchoka.
iv. Huweza kufanya
tendo la ndoa
kwa staili yoyote
ile
v.
Uume husimama
wenyewe bila kushikwa
shikwa wala kuwa
stimulated kwa namna
yoyote ile
vi. Kwa ufupi
anakuwa na uwezo
wa kufanya na kukamilisha
tendo la ndoa
kwa uukamilifu mkubwa.
TIBA
ASILIA YA TATIZO
LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA
NGUVU ZA KIUME.
Dawa asilia
ya JIKO ni
dawa asilia inayo
tibu na kuponyesha
kabisa tatizo la
ukosefu wa nguvu
za kiume.
MFUMO WA DAWA
Dozi ya
dawa ya JIKO ni
mkusanyiko wa dawa
nne asilia zenye
uwezo mkubwa sana
katika kutibu na kuponyesha
kabisa tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu
za kiume.
Dawa hizi
zipo katika mfumo
wa MIZIZI na
UNGA UNGA.
JINSI
DOZI YA
DAWA YA JIKO
INAVYO FANYA KAZI.
Dozi ya
dawa ya JIKO
inafanya kazi zifuatazo
katika mwili wa
mwanadamu.
KAZI
INAYO FANYWA NA
DAWA YA JIKO .
Dawa
ya JIKO inasadia
katika mambo makuu yafuatayo:
1. Inasaidia kuimarisha
mishipa ya uume
ulio legea na hivyo
kuufanya uume uwe na
uwezo wa
kusimama barabara kama
msumari wakati wa
tendo la ndoa.
2. Inasaidia kusafisha
mishipa ya kwenye
uume na hivyo
kusaidia katika kuongeza
kasi ya msukumo
wa damu kwenye
mishipa ya kwenye
uume.
3. Huongeza damu
mwilini
4. Husaidia kuongeza
msukumo (pressure) wa damu
kwenye mishipa ya
uume na hivyo
kuufanya uume kuwa
na nguvu za
ajabu.
5. Huipa misuli
ya uume uwezo
wa kuziba wa
kuizuia mishipa ya
vena kunyonya damu
kwenye mishipa ya
uume wakati wa
tendo la ndoa
na matokeo yake
kukupa uwezo wa
kufanya tendo la
ndoa kwa muda
mrefu
( Kuzuia hali ya
kufika kileleni haraka
)
6. Husaidia kurelax
mind na hivyo
kumfanya mtu awe
na uwezo wa
kuconcentrate wakati wa
tendo la ndoa bila
kuathiriwa na msongo
wa mawazo
7. Hurejesha, kuimarisha na
kuboresha ushirikiano kati
ya mishipa ya
fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa
ya kwenye uti wa mgongo pamoja na
mishipa ya kwenye uume
8. Humfanya mwanaume
awe na uwezo
wa kurudia tendo
la ndoa mara
nyingi zaidi bila
kuchoka.
9. Husaidia kuongeza
hamu ya tendo
la ndoa.
10.
Husaidia kuurudisha
nje uume ulio ingia
ndani.
11.
Husaidia kutibu
side effects za
punyeto na matumizi
ya muda mrefu
ya dawa kali za (za kizungu ) za
kuongeza nguvu za
kiume.
12.
Husaidia kutibu
chango la kiume.
13.
Dawa hii
huwasaidia hata wanawake
wanao sumbuliwa na tatizo
la ukosefu wa
hamu ya tendo la
ndoa.
BEI YA
DAWA: Dozi ya
dawa ya JIKO
inapatikana kwa gharama
ya SHILINGI ELFU
THEMANINI TU (Tshs.80,000/=)
MAHALI TUNAPOPATIKANA :
Dozi ya
dawa ya JIKO, inatolewa na
duka la dawa
asilia la NEEMA
HERBALIST NUTRITIONAL FOODS
CLINIC. Tunapatikana jijini DAR ES
SALAAM, katika eneo la
TABATA karibu na
SHULE YA SEKONDARI
YA MTAKATIFU ANUARITE.
Kwa
wasio
weza kufika ofisini
kwetu, tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa
mahali walipo ( DELIVERY )
Kwa wateja
waliopo nje ya DAR ES
SALAAM, watatumiwa dawa kwa
njia ya mabasi, wateja waliopo
Zanzibar, watatumiwa dawa kwa
njia ya boti
na kwa wateja
waliopo Ulaya, America na
Arabuni, watatumiwa dawa kwa
njia ya DHL au
POSTA.
WASILIANA NASI
KWA SIMU NAMBA
0766 53 83 84.
source: neema herbalist
Comments
Post a Comment