KINANA APIGA KAMPENI YA NGUVU VISIWA NANSIO UKEREWE

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye eneo la mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye visiwa vya Nansio Ukerewe.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Nansio kwenye mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye visiwavya Nansio Ukerewe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Nansio waliojitokeza kwa wingi kwenye eneo la
mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli,Ukerewe.

Comments

Popular posts from this blog