Posts

MWANAFUNZI AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO BAADA YA KUFUMANIWA NA BOYFRIEND WA RAFIKI AKE.

Image
Mwanafunzi wa chuo kimoja alimwagiwa mafuta ya moto na rafiki yake kipenzi baada ya kumkuta na boyfriend wake wakifanya mapenzi. Ilikuwa ni siku ya ijumaa Nasra alipokuwa akitoka darasani na kurejea hostel alipokea sms ikisema "Nenda kwa Rafiki yako kipenzi Naima kuna Bonge la Surprize, tafadhali usikose nenda sasa hivi" Nasra aliamua kuchukua pikipiki hadi kwa rafiki yake alipofika tu alikuta viatu vya boyfriend yake nje, akashtuka kwanza kwani sio kawaida ya jamaa huyo kwenda kwa Naima bila ya kuwa na Nasra, Nasra alijaribu sana kugonga lakini hakufunguliwa, na baadae aliamua kupiga simu zote mbili ya rafiki yake na ya boyfriend wake pia zote zikaita tu bila kupokelewa, Alikaa pale nje hadi majira ya saa sita usiku, ambapo alishajua kunakitu kinaendelea. Muda ulivyozidi kwenda  Nasra alitoka na kwenda kuchukua marafiki zake wengine wawili, aliporudi alikuta bado hawajatoka ndani. Mpaka majira ya saa saba hivi usiku, Nasra akiwa amebeba mafuta ya moto

SHILOLE AOGESHWA KAMA MTOTO MDOGO VILE KWENYE PARTY YAKE

Image
Shilole akijiandaa kukata keki pembeni ni Steve Nyerere. Said Fella na Faraji wakimmwagia Shilole maji na bia. Shilole akipiga kelele baada ya kumwagiwa maji na bia. ….akiogelea. Sehemu ilipofanyikia sherehe hiyo. Msanii Mziwanda ambaye ni mpenzi wa Shilole akiwa na Steve Nyerere. Shilole akiwa na wadau. Wadau mbalimbali wakiwa kwenye sherehe hiyo.MWANADADA Zuwena Mohamed ‘Shilole’ jana alidondosha bonge la pati alipokuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika moja ya apatiment iliyopo nyuma ya Baraka Plaza Mikocheni, jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wasanii kama Ditto, Linah, Chegge, Mhe. Temba, Shetta, Mziwanda pamoja na wadau wengine.

BOYFRIEND WA MTOTO WA OBAMA AFUNGUKA JUU YA UJAUZITO ALIOBEBA MALIA OBAMA..!

Image
Baada ya story kuhit sana kwenye vyombo vya habari kwamba mtoto wa rais Barack Obama, Malia Obama kuwa ni mjazito zimethibitishwa na yule alikuwa akishutumiwa kuwa ndie aliyempatia ujazito huo Mitandao mikubwa ya nchini marekani imekuwa ikiripoti kuwa mtoto wa raisi huyo amekuwa akiwa na tabia za kutoka usiku kwenda kwa huyu mwanaume anayesadikiwa na ni mpenzi wake na na hujui funika koti la ngozi likiwa ni mali ya mwanaume huyo ambao hutoka ikulu usiku huo na kwenda kupunga hewa. Mama yake na Malia Obama, Michelle Obama alipofanya interview na moja ya vituo vikuwa vya Tv nchini marekani alikuwa na haya ya kusema “Teen pregnancy is common in our family on her father’s side of course.My mother-in-law had Barack when she was 18, so I see where Malia gets it from. I’m just so excited to decorate the nursery. The White House hasn’t seen a baby since oh, 1884 or so.” Alimaliza kwa kusema hivyo sasa na na wengine pia ndio imekuwa sehemu ya

RONALDO AWEKA REKODI NYINGINE

Image
Cristiano Ronaldo amekua mchezaji wa kwanza duniani kuzoa vikombe vyote kwa ngazi ya club vya ligi ya ndani ya nchi husika anayocheza akiwa na vilabu viwili tofauti. akiwa na Man united Ronaldo alifanikwa kushinda mataji yafuatayo> TUZO MBALI MBALI BINAFSI ALIZOSHINDA AKIWA NA VILABU VYA MAN UTD NA REAL MADRID l

SALAMU ZA PONGEZI NA KUTAKIANA KHERI YA KRISTMASS NA MWAKA MPYA TOKA PHARS BLOGSPOT.

Image
Ndugu zangu Marafiki wa phars blog tunapenda kuwashukuru kwa ushirikiano mlionesha/ mnaonesha kupitia mitandao yetu ya jamii kwa kushiriki nasi kwa namna moja au nyingine katika kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha jamii kwa ujumla, Natambua kuwa tunaelekea kipindi cha mwisho wa mwaka na inawezekana kwa namna moja au nyingine kuna ambao tuliwakwaza au kuwakera kwa namna moja au nyingine, kama wapo kupitia mtandao wetu tunaomba msamaha sana na kikubwa ni kurekebisha pale tulipokosea. Lakini kwa wale ambao hawakuweza kukwazika kwa namna moja au nyingine pia tunapenda kuwashukuruni sana ndugu wadau. Sisis sote tu kitu kimoja na kama tunapofunga mwaka huu na kuanza mwaka mwengine tunaomba  Mungu azidi kutupatia maisha marefu ili tuendelee kushirikiana nasi kupitia mitandao yetu yote ya kijamii inayohusika na phars yaani( blogs, email, website,facebook,twitter, instagram,google, youtube,viber, whastApp n.k) katika kuhabalisha, kuelimisha na kufurahisha jamii kwa ujumla. Mwisho tunap

BIRTHMARK ARE DISCOLORED AREA ON THE SKIN THAT APPER AT BIRTH

Image
Birthmarks are discolored areas on the skin that appear at birth or shortly after birth. Most birthmarks are not cause for concern. In most cases doctors don’t know why birthmarks appear, and  there is nothing that can be done to prevent them. Here's the list of the most rare birthmarks that challenged medical science: 1. Zhang Hongming from Chongqing, south-eastern China, is nicknamed “Chimpanzee.” He appealed to doctors for help in getting rid of the thick black hair that covers part of his body. The man has a rare birthmark that also covers a large part of his body. 2. Connie Lloyd was born with a benign tumor that grew to cover her nose. She was told that the rare condition could not be cured. However, the shy little girl has a reason to smile at last after surgeons defied the odds and left her with a “nose like mum’s.” PICHA KIBAO BOFYA HAPA>>

UBOVU WA MELI YA MV VICTORIA WAZUA MAKUBWA, ABIRIA WAANDAMANA HADI KWA MKUU WA MKOA

Image
Meli ya MV Victoria inayofanya safari zake kutoka mkoani Kagera kuelekea jijini mwanza  imezuiliwa kuondoka mjini bukoba kutokana ubovu ilionao hali ambayo imewalazimu wananchi waliokuwa wanataka kusafiri na meli hiyo kuandamana hadi kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kagera kwa ajili ya kutoa malalamiko yao. Wakiongea   nnje ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kagera  John Mongela wananchi hao wamelalamikia kuto kuwepo kwa usafiri wa meli kwa zaidi ya mwezi moja  sasa na kwamba jana meli hiyo imewasili mjini Bukoba na kuambiwa wapakie mizigo yao ndani ya meli hiyo kwaajili ya kuisafirisha  kutoka mkoani kagera kueelekea jijini Mwanza ambapo wamesema wamepakia mizigo yao ndani ya meli hiyo na leo wameambiwa meli hiyo haitosafiri kutokana na meli hiyo kuwa na hitilafu tangu muda mrefu na kwamba mazao yao biashara sasa  yamekuwa yakiharibika ndani ya meli hiyo  hali Ambayo imewalazimu wananchi hao kuandamana mpaka kwenye ofisi za mkuu wa mkoa wa kagera kwaajili ya kutoa mala

CHADEMA WATOA MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU

Image
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya chama hicho iliyokutana juzi juzi. Kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema. (Na Mpiga Picha Wetu) Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya chama hicho iliyokutana juzi juzi. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema.  Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.

WEMA BADO ANAMUWAZA DIAMOND ,WEMA SEPETU AMEPANIKI

Image
Usiku wa juzi tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda ulipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa burudani ambazo ni Show kubwa ya mwanamuziki Jose Chameleone iliyofahamika kama 1Man Show Million na Pati ya mwanamama Zari iliyofahamika kama Zari All White Ciroc Party. Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana matukio hayo kama ifuatavyo; Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa shabiki mkubwa wa msanii Jose Chameleone alitokea nchini Ghana na kutua jijini Kampala kuhudhuria show ya mwanamuziki huyo ambayo ilifanyika Serena Hotel. Wakati Diamond Platnumz ambae kwa sasa ana “Le Project” na mwanamama Zari alihudhuria pati ya Zari kama “Special Guest”.Baadhi ya watu wamechukulia kitendo hiki ni kama mwanadada Wema “Amepaniki” hivi, huku wengine wakisema kuwa Wema ana uhuru wa kufanya kile anachokitaka bila ya kuhofia watu watasemaje. Jambo hili halijatokea kwa bahati mbaya kwani wiki kadhaa zilizopita, Diamond alipoon

AISHA MADINDA AMEUAWA, MWANAE ASIMULIA MAMBO MAZITO

Image
Stori:waandishi wetu MENGINE yameibuka! Kifo cha aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ kimeibua mengine ambapo baadhi ya watu wa karibu wanaamini kimetokana na kudungwa sindano tano za majimaji yenye madawa ya kulevya, ‘unga’ na rafiki yake, Ijumaa ‘Kubwa’ linakupa zaidi. Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Aisha alidungwa kwa makusudi sindano hizo na rafiki yake… Stori:waandishi wetu MENGINE yameibuka! Kifo cha aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ kimeibua mengine ambapo baadhi ya watu wa karibu wanaamini kimetokana na kudungwa sindano tano za majimaji yenye madawa ya kulevya, ‘unga’ na rafiki yake, Ijumaa ‘Kubwa’ linakupa zaidi. Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Aisha alidungwa kwa makusudi

KAMATI MPYA ZA SIMBA SC.

Image
     

PICHA ZA SHOW YOTE YA DIAMOND NA ZARI WALIVYOFUNIKA UGANDA JANA

Image
Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' akiwekwa sawa kabla ya shoo yake ya All White Ciroc party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Guvnor nchini Uganda. Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (kulia) akiwa na Zari au 'The Boss Lady' kabla ya kuelekea katika shoo. The Boss Lady akiwa katika pozi. Diamond Platnumz na The Boss Lady wakitoka hotelini. ... Wakipanda gari. Umati wa watu waliojitokeza katika shoo ya AllWhite Cirocparty usiku wa kuamkia leo.   Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook