SALAMU ZA PONGEZI NA KUTAKIANA KHERI YA KRISTMASS NA MWAKA MPYA TOKA PHARS BLOGSPOT.


Ndugu zangu Marafiki wa phars blog tunapenda kuwashukuru kwa ushirikiano mlionesha/ mnaonesha kupitia mitandao yetu ya jamii kwa kushiriki nasi kwa namna moja au nyingine katika kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha jamii kwa ujumla,
Natambua kuwa tunaelekea kipindi cha mwisho wa mwaka na inawezekana kwa namna moja au nyingine kuna ambao tuliwakwaza au kuwakera kwa namna moja au nyingine, kama wapo kupitia mtandao wetu tunaomba msamaha sana na kikubwa ni kurekebisha pale tulipokosea.
Lakini kwa wale ambao hawakuweza kukwazika kwa namna moja au nyingine pia tunapenda kuwashukuruni sana ndugu wadau.
Sisis sote tu kitu kimoja na kama tunapofunga mwaka huu na kuanza mwaka mwengine tunaomba  Mungu azidi kutupatia maisha marefu ili tuendelee kushirikiana nasi kupitia mitandao yetu yote ya kijamii inayohusika na phars yaani( blogs, email, website,facebook,twitter, instagram,google, youtube,viber, whastApp n.k) katika kuhabalisha, kuelimisha na kufurahisha jamii kwa ujumla.

Mwisho tunapenda kutoa shukrani kwa ndugu wasomaji wetu na wadau kwa ujumla, lakini kwa wale waliosaidia kwa namna moja au nyingine kudhamini matangazo haya na kufika hewani. na tuzidi kusaidiana kwa kutuma matangazo mbalimbali kupitia blog hii.
MAONI NA USHAURI MBALIMBALI TUWASILIANE KUPITIA BLOG HII AU email: pharsnyanda@gmail.com au whastApp no. 0765957698

Comments

Popular posts from this blog