WEMA BADO ANAMUWAZA DIAMOND ,WEMA SEPETU AMEPANIKI

Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana matukio hayo kama ifuatavyo;
Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa shabiki mkubwa wa msanii Jose Chameleone alitokea nchini Ghana na kutua jijini Kampala kuhudhuria show ya mwanamuziki huyo ambayo ilifanyika Serena Hotel.
Wakati Diamond Platnumz ambae kwa sasa ana “Le Project” na mwanamama Zari alihudhuria pati ya Zari kama “Special Guest”.Baadhi ya watu wamechukulia kitendo hiki ni kama mwanadada Wema “Amepaniki” hivi, huku wengine wakisema kuwa Wema ana uhuru wa kufanya kile anachokitaka bila ya kuhofia watu watasemaje.
Jambo hili halijatokea kwa bahati mbaya kwani wiki kadhaa zilizopita, Diamond alipoonyesha kum-support Zari kwenye pati yake,Wema nae alibuka na kum-support Jose. Kama unavyoona hapa chini.
Maoni yako tafadhari, Je wawili hawa wanatafutana au wanarushana roho?!!
Comments
Post a Comment