Posts

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUPANDA MITI KATIKA KAMBI YA KIKOSI CHA JESHI LA KUJENGA TAIFA RUVU

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani, wakati alipofika kwenye Kambi ya JKT Ruvu kwa ajili ya kupanda miti ikiwa ni sehemu ya uzinduzi huo, ambapo jumla ya miti 8,000, imeandaliwa kupandwa katika eneo hilo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.

ANGALIA PICHA ZA WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA MAREHEMU GERGE TYSON

Image
Baadhi ya wafanyakazi wa TV1 wakiwasili msibani Wafanyakazi wa TV1 wakiwa nyumbani kwa marehemu.  Baadhi ya waombolezji nyumbani kwa marehemu  Nyumbani kwa marehemu mbezi makonde  Mwanamuziki Mad Ice akiwa msibani nyumbani kwa marehemu Picha Zote na Gabriel Ng'osha GPL

SOMA ALICHOKISEMA MONALISA BAADA YA KUPATA TAARIFA YA MSIBA WA TYSON

Image
Hii ndio Post ya kwanza ya Monalisa baada ya kupata taarifa kuwa mume wake wa zamani na baba wa mtoto wake amefariki.

KIFO CHA TYSON CHAMLIZA ZAIDI MBONI, AY AOKOA JAHAZI

Image
Mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba akilia kwa uchungu akiwa nje ya Hospitali ya Mkoa wa Morogoro wakati wakisubiri kusafirisha maiti kuelekea Dar. Marehemu Tyson ndiye alikuwa Mtayarishaji wa kipindi chake na walikuwa wote katika safari hiyo, ingawa walikuwa magari tofauti. Mboni (kushoto) akiwa na Mtangazaji wa ITV, Devota Minja Mboni akifarijiwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka. AY AOKOA JAHAZI Katika hatua nyingine, msanii wa Hip Hop nchini, Ambwene Yessaya 'AY' (anayehesabu pesa) aliamua kujitole kununua jeneza la kusafirishia mwili w marehemu, jeneza hilo liligharimu kiasi cha shilingi laki sita ambazo AY alizitoa cash! .....wakisaidiana kubeba jeneza hilo kuelekea hospitalini baada ya kulinunua Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba (mbele), akiongozana na AY kuelekea hospitalini (PICHA: Dastun Shekidele/GPL Morogoro)

JE UNA FURAHIA KAZI YAKO KAMA ZAMANI? JIFUNZE HAPA NJIA TISA(9) ZA KUIFURAHIA TENA KAZI YAKO KIKAMILIFU

Image
Je unafurahia kazi yako? Kama sivyo basi ni wale watu ambao wamesahau sababu ya kufurahia kazi yao kama mara ya kwanza.Lakini labda ni si kazi yenyewe lakini tatizo likawa mtazamo wako kuelekea tatizo au changamoto. Je, inawezekana kwamba kazi imekudhoofisha kiasi kwamba umeshindwa kuhudumia mahitaji ya msingi au kuyachukulia kwa uzito wa hali ya juu. Umekuwa ukisingizia au kuwalaumu kazi yako? Je, si ni wakati wa kuanza kufurahia kazi yako tena? Kuna njia tofauti ya kuanza kufurahia kazi yako badala ya kuona kama stress( msongo wa mawazo). Hebu tuangalie baadhi ya mbinu kwa ajili ya kufurahia kazi yako. 1. Kuendeleza tabia chanya au mtizamo chanya Hiyo ni pamoja na kuwa na ufahamu wa mawazo yako hasi na kupambana na changamoto hiyo. Kama unawasilisha mchanganuo wa mradi, je mawazo yako yanaingilia utendaji wako, kwa mfano ‘je wataniona sijiamini? Kama ni hivyo kuyasaidia mawazo yako na mawazo muhimu na ukweli kwamba kila mtu ujihishi kutojiamini wakati wao wa kutoa m...

KWANINI NI MUHIMU WAKATI MWINGINE KUWA NA MTU WA KUKUSHAURI

Image
Maisha yanavyokwenda unahitaji kuwa mtu mwangalifu na nani yuko karibu yako. Unahitaji mshauri wa mambo yako ya karibu, kama biashara, Maisha kwa ujumla, ndoa, taaluma na hata Kiroho. Kuwa na mshauri ni dhana ambayo watanzania wengi hatujaizoea na hufikiri tunaweza kufanya kila kitu, lakini mambo yako yanakuwa bora zaidi unapokuwa na mshauri mwenye uzoefu mkubwa kuliko wewe na aliyekutangulia kwa namna fulani. Fikiria kuhusu wewe mwenyewe, Je unahitaji mshauri?  Watu wengi huwa tunajitahidi kujilinda ili tusijulikane makosa yetu au udhaifu tulionao kwenye biashara, taaluma, ndoa na hata maisha ya kawaida. Ukweli ni kwamba bado hujafika kiwango unachotakiwa kufika, unahitaji ushauri hasa kwa kile unachofanya. Ikiwa wewe ni kiongozi tafuta kiongozi bora kuliko wewe apate kukusaidia mambo kadha wa kadha. Mshauri wako anahitajika kuwa mtu mwenye uadilifu mkubwa, aliyefanikiwa, mwenye hekima na upeo mkubwa kimaisha na hata kifikra. Si kila unayemwona mbele yako a...

KILA MTU NI MROHO WA MADARAKA LAKINI UROHO UNATOFAUTIANA, WEWE UMESIMAMA WAPI?

Image
Nguvu ya madaraka na uwezo wa madaraka yenyewe yamefanya watu wengi kufanya vitu vingi ili angalau aonekane anastahili kuwepo kwenye hayo madaraka. Wiki hii sizungumzii viongozi wa serikali, vyama na mashirika bali ni katika maisha ya kawaida ambayo sisi wengine tupo huko kwa wingi wetu. Kwa tafsiri rahisi ni uwezo anaopewa mtu juu ya jambo fulani yeye kulisimamia au kusimamia kitengo fulani cha watu fulani ndipo tunaposema mtu huyu ana madaraka ya kitu fulani. Ukifuatilia kwa makini uroho wa madaraka hauko huko juu tu, bali hata huku mtaani mambo yanaendelea hivyo hivyo. Sikujua kuna watu wanatamani wawe ndo wenyeviti wa harusi, wasipowekwa utalijua kasheshe lake, inabidi waanze kwa kusema unajua huyu mwenyekiti hana uzoefu kabisa na nina wasiwasi kama ana hekima. Nikajaribu kuwaza je tatizo ni mwenyekiti au tatizo ni wewe? Upo kwenye kamati kwa ajili ya kusaidiana na huyo mwenyekiti ili mfanikishe hiyo harusi. Kwani kwenye harusi zaidi ya michango na kujua har...

BREAKING NEWS: AJALI YATOKEA KALOLENI BAINA YA TRENI NA GARI

Image

PICHA ZA MSIBA: NYUMBANI KWA GEORGE TYSON

Image
Yvonney Chery ‘Monalisa’ akiwa na simanzi kubwa. Kulia ni mke wa marehemu George Tyson akiwa msibani.

ANGALIA PICHA SANDUKU NA NI USAFIRI PIA

Image
Mkulima mmoja nchini China ametengeneza sanduku ambalo pia ni kama pikipiki. Sanduku hilo lina matairi mawili, na linaweza kubeba watu wawili, na linaweza kwenda umbali wa kilomita 60 kwa kasi ya kilomita 20 kwa saa. Linatumia nishati ya betri. Mkulima huyo He Liang ametumia miaka 10 kuunda sanduku hili. Lina nafasi ya kutosha kuweka nguo na likiwa tupu lina uzito wa kilo 7.

MUONGOZAJI MAHIRI WA FILAMU NA VIPINDI TANZANIA GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA MKOANI MOROGORO

Image
George Tyson enzi za Uhai wake Taarifa zilizotufikia katika meza yetu ya habari Usiku huu ni kuwa Muongozaji mahiri katika Tasnia ya Filamu Nchini na Mzazi Mwenza wa Msanii Nguli wa Filamu nchini Vyonne Cherry Au Monalisa, Bwana George Tyson amefariki Dunia mara baada ya kupata ajali ya gari Mkoani Morogoro Katika Eneo la Gairo wakati wakitokea Mkoani Dodoma ambapo walienda kwaajili ya Kuadhimisha Miaka Miwili ya Kipindi Cha Mboni Show. Bw Tyson Mauti yamemfika mara baada ya Gari walilokuwa Wakitumia kusafiria Kutoka Mkoani Dodoma Kupasuka Matairi na kupelekea Kupoteza maisha na kupelekea hali ya watu wengine wanne waliokuwemo katika Gari hilo kuwa mbaya baada ya Kuumia vibaya na kukimbizwa katika hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwaajili ya Matibabu. Ajali hiyo imetokea majira ya Saa Moja Usiku katika Eneo la Gairo Tutaendelea Kupeana taarifa zaidi kadri tunavyozipata Tunapenda kutoa Pole kwa Mmoja wa Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents amb...

ANGALIA PICHA ZA MAREHEMU GEORGE TYSON MASAA 4 KABLA YA KIFO CHAKE PAMOJA NA GARI ALILOPATA NALO AJALI.

Image
Marehemu Geogre Tyson pichani hapa alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma. Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni masaa 4 tu toka tuanze safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia GAIRO mjini. Katika gari hilo walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza maisha na wengine kupata majiraha mwilini pamoja na dereva wa gari hilo. Kwa sasa mwili wa marehemu umehifadhiwa Morogoro katika  hospital ya mkoa Morogoro, baadae asubuhi mwili utaanza safari ya kuelekea Dar es Salaam.   Kweli ajuae mwisho wetu ni Mungu pekee. Tunaishi kama vile tunajua maisha yetu yataisha lini kumbe tunajidanganya. Haya matukio yote ni kwa ajili yetu kuamka na kujifunza kitu. Tumrudieni Mungu, tuungame dhambi zetu maana hakuna ajuae siku wala saa yake itakuwa lini. R.I.P Tyson na wote mliotutangulia. P...

HOT NEWS: WANANCHI WENYE HASIRA KALI WAMPIGA NA KISHA KUMCHOMA MOTO KIJANA MMOJA ALIYETUHUMIWA KUIBA NG'OMBE .

Image
Mwili wa Kijana huyo Ukiwa umefunikwa na Majani Kabla ya Kuchomwa Moto Mwili wa Kijana huyo ukiwa unachomwa Moto na wananchi wa Eneo hilo  Akielezea Tukio Lilivyo tokea  Ng'ombe Walioibiwa  Wakichukua Mwili wa Kijana Huyo  Wakichukua Mwili wa Kijana Huyo ********************** WAKATI vyombo mbali mbali zikiendelea na jitihada za kuwaelimisha wananchi juu ya madhara ya kujichukulia sheria mkononi hali hiyo bado ni tete mkoani Mbeya. Hali hiyo imezidi kujitokeza baada ya Wananchi wenye hasira kali wa Mwasanga Ivumwe jijini Mbeya kumpiga na kumchoma moto mwananchi mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja wakimtuhumu kwa Wizi wa Ng’ombe mmoja na ndama. Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo ameuambia mtandao huu kuwa tukio hilo lilitokea mapema leo asubuhi ambapo chanzo ni wizi wa Ng’ombe wa Kongoro Mwakitalima mkazi wa Isyesye kata ya Ilomba. Alisema Ng’ombe huyo aliibiwa jana majira ya usiku ambapo mzee huy...

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU USDM AMEKUTWA AMEFARIKI BAADA YA KWENDA KUPUMZIKA HOSTEL..TIZAMA PICHA HAPA

Image
 

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU USDM AMEKUTWA AMEFARIKI BAADA YA KWENDA KUPUMZIKA HOSTEL..TIZAMA PICHA HAPA

Image
 

Breaking News:Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni Baada ya CCM Kuilinda Wizara ya Nishati na Madini

Image
Jioni hii katika bunge la Bajeti Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya Upinzani kutoka Bungeni kwa kila anachodai wabunge wa CCM wanajaribu kuficha uovu wa Wizara ya Nishati na Madini na Kujadili mazuri tu kuhusu umeme wakati kuna Uozo wa Kujadili ikiwemo Sakata kubwa la Ufisadi la APTL linalohusu Wizara hiyo... Mbowe Amesema ni heri wao watoke na wawaachie CCM wapitishe bajeti hiyo wenyewe kwa vile wameshapanga kuipitisha na kupanga watu wakuongea kumsifia Waziri wa Wizara hiyo.