Posts

LIBYA MABINGWA CHAN 2014

Image
TIMU ya taifa ya Libya imetwaa ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2014 baada ya kuifunga Ghana kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya bila kufungana Jumamosi Uwanja wa Cape Town. Ushindi huo ni sawa na Libya kulipa kisasi kwa Ghana baada ya kufungwa kwa penalti 7-6 miaka 32 iliyopita kwenye fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Kipa wa Ghana, Stephen Adams aliokoa penalti mbili za Mohamed Elgadi na Abdelsalam Omar na kufanya mikwaju mitano mitano ya awali imizike kwa sare ya 3-3. Ahmed El Trbi aliifungia penalti ya sita Libya kabla ya Joshua Tijani kukoa upande wa Ghana na kuamsha shamrashamra za wafalme wa Mediterranean Knights wa Libya. Katika mchezo uliotangulia kusaka mshindi wa tatu, Nigeria iliifunga Zimbabwe 1-0 na kushinda Medali ya Shaba ya michuano hiyo ya tatu. Libya inakuwa bingwa wa tatu tangu kuanzishwa CHAN, michuano inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee, wakifuata nyayo za DRC 2009 nchini Ivory Coast na Tunis

ANGALIA PICHA ZA BINADAMU ALIYEAMUA KUJIGEUZA KUWA MBWA ..."HIZI NDIZO PICHA ZA UPASUAJI WAKE KUBADILISHIKA KUWA MBWA

Image

UKATILI KWA WATOTO KAMA HUU UTAISHA LINI?

Image
 Mkono wa Fikiri Haus 13 uliounguzwa unavyo onekana kwa karibu huo ni ukatiri ulio kithiri Mtoto Fikili Hausi Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule ya Msingi ya Majengo Mansipaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya Mkoa baada ya Kunguzwa Moto na Mama yake. Jeshi la Police lina endelea kumtafuta mama yake Fikili Hausi   Msomaji hebu angalia Jamii ya watanzania kila siku inafanya makongamano ya kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na mama, je kitendo kama hiki watanzania tunaenda wapi ?(Picha na Songea Habari)

ANGALIA PICHA AUNGUZWA NA MAFUTA YA MOTO KISA VOCHA

Image
MKASA MZIMA ULIKUWA HIVI..... Kijana mwenye umri wa miaka 17 ambaye ni mke wa mtu anateseka hospitalini baada ya kuchomwa na mafuta ya kupikia ya moto na ndugu yake baada ya kuhisiwa kuiba vocha ya simu ya mtandao wa Telecel yenye thaman ya senti 50 huko Zimbabwe. Kijana huyo aliyejulikana kwa jina la Otilia Kosa anayeishi Plot 16, Tsungwizi Ridge maeneo ya Nyazura huko nchini Zimbabwe anateseka katika hospitali ya Rusape General Hospital akiuguza majeraha aliyoyapata baada ya kumwagiwa mafuta ya moto na ndugu yake. Inadaiwa kwamba mnamo tarehe 27 Decemba 2013, Otilia alimuuliza ndugu yake Kudakwashe kama yeye ndiye aliyetumia vocha yake ya mtandao wa Telecel yenye thamani ya senti 50 za kizimbabwe.Kudakwashe alikataa kuwa hakutumia vocha hiyo na hapo ndipo mtafaruku mkubwa ulipotokea kati ya wawili hao. Cha kushangaza ,siku iliyofuata kikao cha familia kilikaa ili kuwapatanisha wawili hao ambao walishindwa kuelewana na mpaka kufikia hatua mbaya ambayo in

Kikwete to meet political parties’ council members

Image
President Jakaya Kikwete President Jakaya Kikwete is expected to hold a meeting with political parties council members on February 6, this year at Mwalimu Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam. According to official statement issued in Dar es Salaam on Friday and signed by the Registrar of Political Parties, Judge Francis Mutungi, the main agenda to the meeting will be “The Role of Political Parties in the Constitutional Assembly.” He said the session offers the opportunity to all council members drawn from different political parties to reflect on the need to focus on issues of national interests, instead of thinking about individual party interests. Delegates to the meeting, (council of political parties) who by virtue of their positions are national leaders of the registered political parties with members in Zanzibar and the Mainland, will deliberate on important aspects for discussion during the constitutional Assembly, slated to b

Zanzibar president to visit Barefoot College on India trip

Image
African women being trained as solar power engineers in the Barefoot College in Tilonia, Rajasthan state, India. (Foto: The Barefoot College) New Delhi : President Ali Mohamed Shein of Tanzania's semi-autonomous region Zanzibar visits India Feb 1-9 and one of his important engagements, besides official talks in New Delhi, would be a visit to the Barefoot College in Rajasthan's Tilonia, that has taught 100 women from his country to make solar lamps. Shein, who is arriving on an official visit at the invitation of Indian Vice President Hamid Ansari, would be leading a delegation of senior ministers and officials. On Feb 3, delegation level talks will be held and the Tanzanian leader is expected to meet President Pranab Mukherjee and some cabinet ministers in Delhi, said an official statement. "Impressed by the skills of the Zanzibari rural women in assembling, installing and maintaining solar lamps for providing electric power to nearly 100 homes

HIVI NDIVYO JOKATE ALIVYOMSHANGAZA WEMA STEGINI KWA KUMWAGIA MINOTI ....MATUKIO KATIKA PICHA

Image
Unaweza kujikuta ukishindwa kuielewa hii hali lakini inabidi ukubaliane na ukweli halisi wa hiki kilichotokea,Jokate na Wema historia yao ilianzia kwenye shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2006 ambapo Mshindi alikua ni Wema Sepetu akifatiwa na Jokate kisha mshindi wa tatu akiwa Lissa Jensen. Headline zilikuja kutengenezwa tena zikiwahusisha warembo hawa kuonekana wako na mtu mmoja ambapo magazeti mengi yaliandika mahusiano haya  yaliyokua yakimhusu Diamond Platnumz kutoka na warembo hawa. Kimepita kimya kirefu sana juu ya hawa watu wawili hadi usiku wa February 01 huko Arusha kwenye Tamasha la Divaz Night Endless Fame ambalo ndani yake kulikua na mastar kadhaa akiwemo Wema Sepetu,Aunt Ezekiel,Martin Kadinda,Kajala,Zamaradi Mketema,Chid Benzi,Mirror,Jordan na wengine kibao. Wakati Madam Wema Sepetu akimwaga mauno kwenye jukwaa bila kutegemewa na mtu yoyote Jokate alipanda Jukwaani na kuanza kumtunza Wema pesa na wakati huo Wema alikua a

HUU NDIO UFIRAUNI UNAOTOKEA CLUB ZA USIKU....!

Image

JE, NI KWELI UKIMFANYIA MSICHANA MAMBO HAYA HATAKUACHA?

Image
Habari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema.     1.   KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri. Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri anaona una mthamini kuliko msichana yeyote awaye. 2. Wakati wowote ukipata nafasi muandikie barua au msg kwenye simu mueleze hisia zako kiasi gani unampenda. Kumbuka wasichana hupenda kusikia zaidi kutoka kwa wapenzi wao ni kiasi gani wanapendwa. Haitakiwi iwe tu katika kipindi cha siku ya wapendanao ndio umuoneshe kuwa unampenda. Muoneshe msichana ni kiasi gani yeye ni muhimu sana kwako. 3. Busu la ghafla na kumshika mkono wakati mkitembea pamoja itamfanya yeye kujisikia raha zaidi. Na wakati mwingine msuprise kwa kumtembelea mara kwa mara hi humfanya akuone wewe ni mtu muhimu pale usipokuwa naye karibu na kumfanya kukuhitaji zaidi ukiwa naye mbali 4. Tambua mahitaji yake. Uwe msaada kwake kipindi ambacho mpenzi wako amekasirika kuwa pale kwa aji

HAWA NDIO POLISI WATANO WALIOFARIKI DUNIA PAPOHAPO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI DODOMA

Image
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Askari polisi watano mkoani dodoma wafariki dunia papohapo katika ajali ya gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya 23.45 hrs katika barabara kuu ya Dodoma – Morogoro eneo la Mtumba Center, Kata ya Mtumba Tarafa ya Kikombo Manispaa ya Dodoma, ambapo gari namba T.770 ABT Toyota Corolla lililokuwa likiendeshwa na Askari namba H. 3783 PC DEOGRATIUS wa Polisi Wilaya ya Kongwa likitokea Dodoma mjini likielekea Wilayani Kongwa liligongana uso kwa uso na gari namba T.997AVW Scania Bus mali ya Kampuni ya Mohamed Trans lililokuwa likiendeshwa na JUMA s/o MOHAMED, miaka 38, Mkazi wa Mwanza, likitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma na kusababisha vifo kwa askari watano papohapo.  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amewataja Askari hao waliofariki katika ajali hiyo kuwa ni:- 1.          D.9084 D/CPL. ADOLF S/O MESHACK SILLA mwenye miaka 51, Mgogo. 2.          F.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA JUMUIYA YA ISTIQAAMA DAR

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Jumuiya ya Istiqaama, uliofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Feb 01, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa Karimjee kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Istiqaama, leo Feb 01, 2014. Baadhi ya Wanachama wa Jumuiya ya Istiqaama, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akihutubia kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo leo katika Ukumbi wa Karimjee. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, baada ya kufungua rasmi Mkuu wa Jumuiya hiyo leo katika Ukumbi wa Karimjee. Picha ya pamoja baada ya kufunguliwa mkutano huo.Picha na OM

ANGALIA NAFASI ZA KAZI CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

Image
HUMAN  RESOURCES  AND ADMINISTRATIVE OFFICER  I - 2 POSITIONS Qualifications: Holder of Bachelor degree in Public/Business Administration,Human Resources,or Industrial Relations from a recognised university/Institution Apply: Rector Institute of Accountancy Arusha Box 2798, Arusha Details:Daily News 23 Jan, 2014 Deadline: 7 February, 2014 PUBLIC RELATIONS OFFICER I Qualifications: Holder of Bachelor degree in Business Administration,Marketing Mass Communication,Public Relations or its equivalent from a recognised university/Institution Apply: Rector Institute of Accountancy Arusha Box 2798, Arusha Details: Daily News 23 January, 2014 Deadline: 7 February, 2014 PROCUREMENT AND LOGISTICS OFFICER  I Qualifications: Holder of Bachelor degree in Procurement and Logistics Management or its equivalent from a recognised university/Institution Apply: Rector Institute of Accountancy Arusha Box 2798, Arusha Details: Daily News 23 January, 2014

ANGALIA NAFASI ZA KAZI MUHIMBILI

Image
PERSONAL SECRETARY II  - 2 POSITIONS Qualifications: Form IV Certificate with credit passes in Kiswahili and English,plus 80 shorthand and 50 w.p.m typing speed Apply:  The Deputy Vice Chancellor, Planning Finance and Administration Muhimbili University of Health and Allied Sciences Box 65001, Dar es Salaam Details: Daily News 22 January, 2014 Deadline: 04 February, 2014 LECTURER  - 2 POSITIONS Qualifications: Appropriate PhD or MMed/MDent. A Minimum GPA of 3.8 in the Undergraduate Training from recognised University Apply:  The Deputy Vice Chancellor, Planning Finance and Administration Muhimbili University of Health and Allied Sciences Box 65001, Dar es Salaam Details: Daily News 22 Jan, 2014 Deadline: 4 February, 2014 SENIOR  INTERNAL  AUDITOR GRADE II Qualifications: CPA(T),ACC/ACA OR CMA with a working experience of four years at a similar position in a reputable organisation Apply:  The Deputy Vice Chancellor,Planning Fina

ANGALIA PICHA AJALI YA BASI BARABARA YA NYERERE

Image
Kikosi cha jiji cha uokoaji na zimamoto wakishirikiana na polisi trafiki kuzima moto uliokuwa ukiteketeza basi la abiria katika eneo la Vingunguti Barabara ya Nyerere Dar es Salaam leo . (PICHA NA ROBERTOKANDA BLOG) Mizigo iliyookolewa kutoka kwenye basi hilo kabla ya kushika moto. Y