MWENYEKITI WA CCM ATIKISA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA TUNGI MANISPAA YA MOROGORO
Mgombea wa Udiwani Kata ya Tungi manispaa ya Morogoro Kupitia CCM Ndugu Mzeru Paulo Akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mogogoro Mh Juliana Mwenda Wakiwa Katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani kata ya Tungi.Kata hiyo inafanya Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Baada ya Aliyekuwa Diwani Kata Hiyo Mh Mbao Mbao Kufariki Dunia Mwaka jana mara baada ya kusumbuliwa na Ugonjwa kwa Muda Mrefu.Uzinduzi Huo Umeambatana na Uzinduzi wa Sherehe za Chama cha Mapinduzi za Kutimiza Miaka 37. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris Kulia akiwa na Katibu wa CCMwilaya ya Morogoro Katikati Pamoja na Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Romuli John leo wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Tungi. Katibu wa Itikadi na Uenezi Mkoa wa Morogoro Mh Doroth Mwamsiku Aliyevaa Kofia Nyeusi Akiwa Pamoja na Mgombea wa Udiwani Kata ya Tungi manispaa ya Morogoro Kupitia CCM Ndugu Mzeru Paul Mwenyekiti wa U