ANGALIA PICHA SIMBA WALIVYOICHAPA RHINO RANGERS
Ramadhani
Singano 'Mess' (kulia), akishangilia bao pekee aliloifungia timu yake
katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Rhino Rangers
ya Tabora katika mchezo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam..
Ramadhani Singano akiipangua ngome ya Rhino Rangers ya Tabora.
Kipa wa
Rhino Rangers, Charles Mpinuki akidaka pelnati ya mshmambuliaji wa
Simba, ramadhani Singano 'Mess' katika mchezo wa Ligi Kuu.
Beki wa Rhino Rangers, Julius Masunga akitafuta mbinu za kumtoka Haruna Chanongo wa Simba.
Moja ya Jeka heka zilizotokea katika lango la Rhino Rangers.
Mwamuzi
wa pembeni, Frank Komba kutoka Pwani alilalamikiwa na wachezaji wa Simba
baada ya kukataa moja ya goli lililofungwa na timu hiyo.
Beki
wa timu ya Rhino Rangers, Julius Masunga akiusindikiza mpira wavuni
katika harakati za kuokoa, hata hivyo mwamuzi wa mchezo huo alilikataa
bao hilo na kulalamikiwa na wachezaji wa Simba, wakati wa mchezo wa Ligi
Kuu ya Soka Tanzania Bara kuliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0.
Comments
Post a Comment