WASTARA KAZIDIWA NA KUMUANIKA KIDUME MPYAAAA MTANDAONI ....
Msanii Wastara amepost picha hiyo hapo juu aliyokumbatiwa na mwanaume. Mwenyewe ameandika kuwa ameshasahau kukumbatiwa. Kumbatio hilo lilionyesha dhahiri kuwa ameli-feel maana ameonyesha kurembua macho kiasi kwamba inaleta maswali jamaa huyo ni nani kwake? Tunajaribu kufuatilia na tutakachokipata tutakileta kwenu wadau na wapenzi wa msani huyo,
Comments
Post a Comment