KOLETA NA MAPENZI YA ‘KURUKA UKUTA’
BISHOSTI anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka kuwa analaani mastaa wanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume na maumbile akidai kuwa wapo ambao wamekuwa wakifanya kitendo hicho kwa tamaa ya pesa.
“Wanaume siku hizi ni matapeli sana, wengi wanataka kuwatumia wanawake kinyume na maumbile hivyo wasanii wa kike tuwe macho. Alishawahi kunitokea mwanaume mwenye heshima zake, alinipigia simu na kuniambia licha ya kuwa na mke kuna vitu anavikosa.
“Nilipomuuliza ni vitu gani akaniambia anataka anitumie kinyume na maumbile na nichague zawadi isiyopungua milioni tano aniletee, nikakataa na kumwambia sifanyi biashara hiyo, ukweli mimi nakemea na ninawachukia sana wanaofanya mchezo huo,” alisema Koleta.
Coletha Raymond ‘Koleta’.
Akistorisha na Ijumaa, Koleta alisema anachukizwa na tabia hiyo kwani ni uchafu na kujidhalilisha kulikopitiliza.“Wanaume siku hizi ni matapeli sana, wengi wanataka kuwatumia wanawake kinyume na maumbile hivyo wasanii wa kike tuwe macho. Alishawahi kunitokea mwanaume mwenye heshima zake, alinipigia simu na kuniambia licha ya kuwa na mke kuna vitu anavikosa.
“Nilipomuuliza ni vitu gani akaniambia anataka anitumie kinyume na maumbile na nichague zawadi isiyopungua milioni tano aniletee, nikakataa na kumwambia sifanyi biashara hiyo, ukweli mimi nakemea na ninawachukia sana wanaofanya mchezo huo,” alisema Koleta.
Comments
Post a Comment