Posts

TASWIRA YA MATUKIO WAKATI WA KUSIKILIZWA PINGAMIZI LA ZITTO KABWE MAHAKAMA KUU JIJINI DAR ES SALAAM.

Image
  Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala Dar es Salaam, SACP Marietha Minangi, wakati akiwasili Viwanja vya Mahakama Kuu.  Mmoja wa kijana aliyekamatwa na askari baada ya kuleta fujo eneo la mahakama.  Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo wananchi eneo la Mahakama Kuu.  Wafuasi wa Zitto Kabwe.  Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwahutubia wananchi waliofika mahakamani hapo baada ya hukumu ya Zitto kuahirishwa mpaka kesho saa nane mchana..  Wanausalama wakipanga mikakati ya kuimarisha ulinzi eneo la Mahakama Kuu jijini Dar.  Polisi wenye mbwa wakipita eneo la mahakama kuimarisha ulinzi.  Mmoja wa wafuasi wa Zitto akiwa na bendera.  Mwanasheria wa Zitto Kabwe, Albert Msando (kushoto) akitoka mahakamani baada ya hukumu kuahirishwa.  Wanahabari wakitoka eneo la mahakama. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa au kutotoa zuio la muda kwa Kamati Kuu ya Chama cha Demok...

BELINA NAYE PIA AJIFUNGUA

Image
Belina Mgeni. MWANAMITINDO maarafu Bongo, Belina Mgeni amejifungua mtoto wa kike. Mtoto wa Belina. Mrembo huyo alijifungua juzikati katika Hospitali ya TMJ, iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam ambapo mwanamitindo huyo hakusita kuanika furaha yake mbele ya paparazi wetu kisha akatangaza jina la kichanga hicho, Naila. “Kiukweli siku zote ukimuomba Mungu unafanikiwa kwani nilikuwa naomba sana nipate mtoto wa kike na kweli imekuwa, namshukuru Mungu jamani,” alisema Belina pasipo kumuanika baba wa mtoto huyo.

MHUBIRI AFA MAJI BAADA YA KUJARIBU KUTEMBEA JUU YA MAJI KAMA YESU

Image
Iikuwa sikitisho kubwa kwa waumini baada ya mchungaji wao kusombwa na maji baada ya kujaribu kutembea juu ya maji kama vile masihi Yesu alivyofanya wakati wake alipokuwa duniani. Pastor Frank Kabele mwenye umri wa miaka 35, aliwaambia waumini wake kuwa mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza yeyote ila tu uwe na imani. Aliwaahidi wafuasi wake kuwa atatembea juu ya maji pindi tu atakapomaliza maombi yake. Lakini mambo yalienda ndivyo sivyo baada ya pastor huyo kujaribu kutembea katika mto mkubwa, alididimia mtoni humo na ilikuwa vigumu kwa waumini wake kumsaidia kwani maji yalikuwa na nguvu nyingi. Tukio Hili la kusikitisha limetokea Huko Nigeria.

RAY C: NATESEKA KUISHI BILA MPENZI JAMANI

Image
STAA aliyebeba ‘taito’ kubwa ndani ya Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’  ambaye alitopea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kisha kuyaacha, amefunguka kuwa yupo fiti na anataka kuishi na mpenzi, hayupo tayari kuteseka. Ray C. Ray C alifunguka hayo kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram hivi karibuni ambapo bila hiyana alishindwa kuzuia hisia zake kama binadamu, akasema anatamani sana kupata mume anayempenda ili azae naye watoto wawili. Ray C ambaye hivi sasa yupo mstari wa mbele katika harakati za kupiga vita madawa ya kulevya, alisema anatamani kuwa na mume kwa sababu hataki familia ya mzazi mmoja kulea watoto kama alivyolelewa yeye na mama pekee. “Mimi nimelelewa na mama tu, malezi hayo siyo mazuri kabisa. Sipendi yatokee kwa wanangu ndiyo maana natamani nimpate mtu ambaye ananipenda kutoka moyoni, tufunge ndoa kabla ya kuzaa,” alisema Ray C. Baada ya mwanamuziki huyo kuandika ujumbe huo mtandaoni, walijitokeza wadau wengi ambao walik...

KAMA KITANDANI NI ZIRO (0), BASI HATA UWE MZURI VIPI NI KAZI BURE TU,,!!SOMA HAPA KUJUA MAUTUNDU

Image
Ni wiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi mzima na bado naendelea kuzungumzia mapenzi, mapenzi haya haya ambayo yamekuwa yakiwaliza baadhi ya watu kila kukicha. Wapo wanaojuta kupenda lakini mbaya zaidi wapo wanaolia kwa sababu ya vitu vidogo vidogo ambavyo vimekuwa haviwaendei sawa katika uhusiano wao. Ni jambo lililo wazi kwamba, usaliti umekuwa ukiwatesa wengi tena ukijaribu kuchunguza sababu za baadhi ya watu kuwasaliti wapenzi wao, kutoyajua mapenzi yale ya faragha ni moja wapo. Wapo wasichana au niseme wanawake ambao kimaumbile wana mvuto sana. Wamejaaliwa uzuri wa sura na kila kitu kiasi cha kutamaniwa na kila mwanaume wanayekutana naye. Lakini linapozungumziwa suala la mapenzi kwa mwanamke, wanaume wanaangalia vitu vingi, achilia mbali hilo la muonenako, pia wanaangalia utundu na ubunifu wa faragha. Hapo ndipo panapowakosesha raha b...

KAJALA AFUNGUKA LIVE :NILIKAA DAWATI MOJA NA WATOTO WA RAIS JK

Image
Na Imelda Mtema HII ni safu mpya ambayo itakuwa ikizungumzia juu ya maisha ya kweli ya mtu yeyote maarufu. Itatokana na mahojiano ya ana kwa ana! Kwa kuanzia, tunaye nyota wa filamu za hapa nyumbani, Kajala Masanja, ambaye kabla ya kujiingiza kwenye sanaa hiyo aliwahi kuishi kinyumba na mmiliki wa studio ya Bongo Records, Paul Matheas, maarufu kama P.Funk na kujaaliwa kupata mtoto mmoja aitwaye Paula. Katika safu hii, Kajala ambaye amewahi kukutwa na misukosuko lukuki ikiwemo kuhukumiwa kifungo jela, anaelezea mambo mengi kuhusiana na maisha yake ambayo hakuwahi kuyaelezea kokote kule au katika chombo chochote cha habari. “Nilizaliwa mwaka 1983 katika familia ya mzee Masanja na walijaaliwa kuwa na watoto wawili tu, mimi na mdogo wangu, Dorice. Sisi tuna tofauti kubwa sana ya umri kati yetu kwa vile tulipishana sana kuzaliwa. Wakati nikizaliwa, wazazi wangu ambao wote ni askari polisi, walikuwa wakifanya kazi na kuishi kituo cha Oysterbay jijini Dar es Salaam. “Kutokana...

Sababu Kesi ya Zitto Kuahirishwa mpaka Kesho Hii Hapa

Image
Dar es Salaam, Tanzania.   Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha kutoan uamuzi HIVI PUNDE na sasa hukumu hiyo itatolewa kesho, saa 8:00 mchana. Kwa mujibu wa taarifa za mahakama, kesi hiyo imeahirishwa mpaka kesho mchana kwa sababu hakimu anayesikiliza kesi hiyo hajamaliza kuandika hukumu ya kesi hiyo.  Nje ya mahakama, wafuasi na wanachama wa Chadema wanaimba nyimbo zinazomgusa Zitto. "Hahaa Zitto akifaa mimi siwezi kulia nitamtupa Kagera kiwe chakula cha mambaaa x2 Kwa upande mwingine, LEO Zitto hakifika katika mahakamani bali aliefika ni wakili wake, Albert Msando.   Awali iliripotiwa kwa makosa kwamba alikuwapo mahakamini. Watu ni wengi. Waandishi wa habari wapo hapa geti la mahakama. Nje ya mahakama wafuasi wa Chadema na wale wa Zitto walikuwa wakirushiana maneno ya hapa na pale huku wafuasi wa Zitto wakiimba "Zitto ni mkombozi x2" pia wafuasi wa Zitto walikuwa na ngoma.   Vile vile wafuasi wa Chadema nao walikuwa waki...

KOLETA ADAI HANA MCHUMBA

Image
  SWALI Dada Koleta nakupenda sana hasa nikiangalia kazi zako lakini dada yangu je, unathamini pombe kuwa ni suluhisho la matatizo yako na wewe ni kabila gani? Anna, Dar, 0687005569 KOLETA: Sithamini pombe kuwa ni suluhisho la matatizo ila nakunywa kama watu wengine wanavyokunywa. WANAUME Koleta eti unajiepushaje na wanaume wakware wanaokutokea kimapenzi wakati ukiwa uswahilini? Salim Liundi, Dar, 0658110395 KOLETA: Mimi ninajitambua na huwa ninakwepa sana vishawishi. HISTORIA Dada Koleta nakukubali sana kwa kazi zako nzuri kifupi nataka kujua historia yako. Rama, Tanga, 0656907070 KOLETA: Nimezaliwa Songea nikaanza shule ya msingi mkoani humo ‘theni’ nikahamia Lindi ndipo nilipomalizia elimu yangu ya msingi, sekondari nimesoma Forodhani, Dar mpaka kidato cha nne na baada ya hapo nikajiunga na chuo cha uandishi wa habari lakini sikufanya kazi. Baada ya kumaliza niliingia kwenye mazoezi ya kuigiza. ANAMPENDA MSANII GANI? Koleta wewe ni msanii ambaye uko poa sana...

AIBU KUBWA...PICHAZ..AKUTWA UCHI AMEANGUKA MBELE YA FREMU ZA MADUKA ILALA DAR, KISA USHIRIKINA

Image
Mzee mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina mnamo alfajiri ya siku ya Jumamosi alikutwa uchi wa mnama akiwa ameanguka mbele ya nyumba moja iliyopo eneo la Ilala, Sharif Shamba kwa kile kinachoaminika kuwa ni masuala ya kishirikina. Kwa mujibu wa mashahidi wa mwanzo kumuona wamenieleza kuwa jamaa huyo alikutwa akiwa uchi wa mnyama huku akiwa hajitambui na akishindwa kuongea kwa kile kinachoonekana kuwa alikuwa amechoshwa kwa kuzidiwa nguvu na wale aliokuwa akipambana nao.   Jamaa huyo alikutwa akiwa na tunguli na vifaa vingine vya kishirikina huku mwili wake ukiwa na hirizi za haja.       "Mazingira aliyokutwa nayo inaonyesha wazi kuwa jamaa alikuwa kwenye harakati zake za kishirikini na ndipo ilipotokea kuzidiwa nguvu na mmoja kati ya wapambanaji wenzake," alisema shahidi mmoja. "Inavyoonekana huyu jamaa alikuwa kwenye safari zake ila baada ya kupita kwenye anga hizi ndege yake ilizidiwa nguvu na kujikuta ikianguka kwenye eneo hili," a...

KAJALA ATOA KALI KUHUSU ALIPOKUWA CHINA

Image
MWIGIZAJI Kajala Masanja amekanusha vikali suala la kujipodoa badala yake amesema kiyoyozi cha nchini China kimeifanya ngozi yake ibadilike. Kajala Masanja. Akizungumza na paparazi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita, Kajala akiwa katika harakati za kuelekea China alisema amekuwa akiipenda nchi hiyo kwani akiwa huko ni ‘full’ kiyoyozi ambacho kimemfanya aonekane mweupe. “Ngozi yangu inabadilika na kuwa nzuri sana, China kunanipenda. Kiyoyozi mwanzo mwisho lazima uwe mweupe,” alisema mwigizaji huyo.

MKE WA MTU ANYOFOLEWA SIKIO

Image
AISEE! Consolata Edward ni mke wa mtu, mkazi wa Igoma jijini hapa ambaye amebaki na kipisi cha sikio baada ya kunyofolewa kiungo hicho kisa kikidaiwa kuwa ni hawara yake. Consolata Edward akionyesha jeraha katika sikio lake. Tukio hilo lilitokea Desemba 16, mwaka jana ambapo mwanamke huyo alidai kuwa alikuwa akizungumza kwa simu na mfanyakazi mwenzake ambaye anauza naye chakula maeneo ya Mlango Mmoja jijini hapa kabla ya mumewe kumvamia na kumpiga. Consolata akiwa na mumewe. Kwa huzuni, Consolatha aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa baada ya mumewe kumpiga yeye aliamua kupigana naye kisha kumchania ‘boksa’ na kusababisha viungo vyake vya uzazi kubaki wazi. Alisema wakati timbwili likiendelea, ghafla alitokea mama mwenye nyumba akifuatana na mwanamke aliyemtaja kwa jina moja la Hawa na kumg’ata sikio lake hadi akalinyofoa na kulitema. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, mume wa Consolatha aliyejitambulisha kwa jina moja la Athuman alidai kuwa siku ya tukio alimuona mk...

BREAKING NEWZZZ: BOTI YA KILIMANJARO 2 YANUSURIKA KUZAMA NUNGWI

Image
  Breaking Newss Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka chanzo chetu cha habari kinasema boti ya MV Kilimanjaro II mali ya Bharlesa imepigwa na dhoruba maeneo ya kisiwa cha Nungwi imekosakosa kuzama ikiwa inatoka Pemba kuelekea Unguja kwa mujibu wa mtoa habari wetu ni kwamba kuna Abiria wengine wameachwa baharini pamoja na mizigo mingine kutokana na Boti hiyo kupigwa na wimbi kubwa na kuyumba na kujikuta kuwadondosha abiria pamoja na mizigo katika bahari kwa sasa boti hiyo inaendelea na safari, mabaharia wa Boti hiyo wamejitahidi wamewarushia maboya abiria hao ambao inasadikiwa ni zaidi ya kumi ambao wamewaacha eneo hilo chafu karibu na kisiwa cha Nungwi eneo ambalo ni chafu sana kwa vipindi mbali mbali katika bahari ya Hindi, tatizo la ajali hiyo inasadikiwa ni kutokana na upepo mkubwa uliotokea maeneo hayo na si Boti hiyo kujaza abiria kwa mujibu wa mtoa...

BONGO MOVIES WAPATA VIONGOZI WAPYA-STEVE NYERERE ALA SHAVU KUBWA

Image
Kundi la Bongo movie unity limepata  uongozi mpya wa club hapa nchini hapo jana baada ya kufanyika kwa uchaguzi wake kwenye viwanja vya leaders kinondoni jijini Dar es Salaam. Katika uchaguzi huo viongozi wapya walichaguliwa ni; Mwenyekiti.  Steven Nyerere. Makamu mwenyekiti : Mahsein awadhi "Dr cheni" Katibu mkuu:  William Mtitu Katibu mkuu msaidizi : Devotha mbaga  Mtunza hazina: Issa musa “cloud"  Msaidizi wake ni:  Cathy rupia

JAGUAR MSANII WA KENYA AZUA UTATA BAADA YA PICHA ZAKE 6 KUSAMBAA AKIWA KATIKA MAVAZI YA MAGEREZA HUKU AKIWA CHINI YA ULINZI

Image
Picha hizi 6 zimefanya watu wengi haswa mashabiki wa muziki ndani na nnje ya kenya kutaharuki kwakuamini kuwa msanii wao kipenzi kakumbwa na msala na kwenda jela. Maswali yalikuwa mengi na  kuzua mshtuko kwenye internet kwamba Jaguar ameshikiliwa na polisi lini na ilikuwaje hadi kwenda jela?. Baada ya kashi kashi hiyo kuzidi jaguar aliona awaondowe mashabiki zake wasi wasi kwani ni kama watu walipagawa kuona kipenzi chao kipo jela na hawaijui sababu ndipo alipotoa jibu na Jibu lake ni kwamba msanii huyu anajiandaa kutoa kazi mpya inaitwa “Kioo”. Thesuperstarstz ilimtafuta msanii huyo na kumuuliza kulikoni ambapo alikiri kweli kuingia jela ila si kama mtuhumiwa bali ni kwaajili ya kazi....Unajua mimi ni msanii na huwa nafanya vitu ya maisha haswa kwa watu wote ni kweli nilikuwa jela ila ni kwaajili ya kazi na si kama nilikosea kitu no ni kwasababu niliona ilikupata video nzuri ya wimbo wangu huu ni vizuri ikawa na mandhari ya jela ndio sababu iliyonifanya...

BONGO MAJANGAZZZ .. PICHA ZA UTUPU ZA MSANII HUYU SUPERSTAR WA BONGO MOVIE ZAVUJA

Image
Sasa ni Zamu ya  Esha Salimu Buheti  Aliyecheza  Movie za Mrembo Kikojozi , Kisasi   cha Utata  na  Samantha Huyu demu ni Staa wa Bongo Movie ila anajulikana sana kwa kupiga picha za utupu. Hapo alikua mtandao wa BBM akawa anachat na mtu wa Marekani madai yake ndio buzi sijui tuite ng`ombe basi kwa kutaka kumdatisha jamaa akawa anamrushia mapicha yake ya utupu......kama unavyoyaona

WIVU WA MAPENZI ULIVYOUA WENGI 2013

Image
 Christina Alfred akiwa amejipumzisha nyumbani kwao Ilala baada ya kutoka hospitali kutibiwa jeraha la risasi. Picha ya Maktaba Tumefunga mwaka 2013, milio mingi ya risasi ilisikika, watu walipigwa mapanga,  wengine kunywa sumu kutokana na kukithiri kwa matukio mbalimbali yanayoambatana na visa na visasi vya wivu wa mapenzi yaliyojeruhi hata kupoteza maisha ya watu. Matukio ya wivu wa mapenzi yalikithiri miongoni mwa jamii katika mwaka uliopita, hali iliyojenga hofu na kuondoa furaha ya kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi. Wachambuzi wa masuala ya uhusiano wanasema kuwa hatua hiyo inatokana na idadi kubwa ya wapenzi kukosa uaminifu, kutokana na tamaa ya fedha, udhaifu wa kingono, tendo la ndoa, kasumba, tamaa za kimwili na mambo kama hayo. Baadhi ya takwimu za matukio hayo zinaonyesha kuwa kwa Mkoa wa Tanga pekee kuanzia Januari hadi Agosti mwaka jana, watu 16 waliuawa katika matukio 377 ya wivu wa mapenzi, baada ya kukamatwa ugoni. Mbali na takwimu hizo...