BELINA NAYE PIA AJIFUNGUA

Belina Mgeni.
MWANAMITINDO maarafu Bongo, Belina Mgeni amejifungua mtoto wa kike.

Mtoto wa Belina.
Mrembo huyo alijifungua juzikati katika Hospitali ya TMJ, iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam ambapo mwanamitindo huyo hakusita kuanika furaha yake mbele ya paparazi wetu kisha akatangaza jina la kichanga hicho, Naila.
“Kiukweli siku zote ukimuomba Mungu unafanikiwa kwani nilikuwa naomba sana nipate mtoto wa kike na kweli imekuwa, namshukuru Mungu jamani,” alisema Belina pasipo kumuanika baba wa mtoto huyo.

Comments

Popular posts from this blog