Posts

U.S. blocks report telling how UK went to war with Iraq

Image
A draft report challenged the official story of the UK’s entry into the Iraq war, mainly related to exchanges with then-PM Tony Blair and former president George W. Bush.  Four-year inquiry into UK’s role in Iraq war by British government blocked by White House and U.S. State Department officials The United States is behind the delaying a key report’s release showing how the UK went to war with Iraq, London-based daily The Independent reported on Wednesday.White House and State Department officials are behind the blocking of the four-year Chilcot inquiry, which the UK’s Cabinet Office has been criticized for halting.The newspaper saw drafts of the report earlier this year which challenged the official story of the UK’s entry into the Iraq war, mainly related to exchanges with then-PM Tony Blair and former president George W. Bush. A diplomatic source quoted by the independent said that the U.S. is “highly possessive when documents relate to the presence of

RONALDO AING'ARISHA URENO DHIDI YA SWEDEN YA IBRAHIMOVIC KOMBE LA DUNIA

Image
Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Ureno. BAO pekee la Cristiano Ronaldo dakika ya 82 limeipa usindi wa 1-0 Ureno katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunai usiku huu dhidi ya Sweden, Uwanja wa  Estadio da Luz. Ureno sasa itahitaji kuulinda ushindi huo katika mchezo wa marudiano Jumanne mjini Stockholm ili kukata tiketi ya Brazil. Kikosi cha Ureno kilikuwa: Patricio, Pereira, Coentrao, Veloso, Pepe, Regufe Alves, Meireles/Josue dk78, Moutinho, Postiga/Almeida dk66, Nani na Ronaldo Sweden: Isaksson, Lustig, Olsson, Elm/Wernbloom dk72, Nilsson, Antonsson, Larsson, Kallstrom/Svensson dk77, Ibrahimovic, Elmander/Gerndt dk88 na Kacaniklic. Vita ya wakali: Cristiano Ronaldo w Ureno (kushoto) na Zlatan Ibrahimovic wa Sweden wakisalimiana kabla ya mechi

MWILI WA MAREHEMU DK.MVUNGI WAPOKELEWA KWA MAJONZI JIJINI DAR ES SALAAM NAKUTOLEWA RATIBA KAMILI YA MAZISHI

Image
 Mwili wa Marehemu Dk. Sengondo Mvungi ukifanyiwa maombi mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.  Wanachama wa NCCR-Mageuzi wakiwa wamelibeba sanduku lililohifandhi mwili wa kiongozi huyo wa NCCR-Mageuzi na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya.  Waombolezaji waliofika uwanjani hapo kuupokea Mwili wa Dk. Mvungi................  Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akiwa uwanjani hapo.  Baadhi ya waombolezaji waliofika uwanjani hapo. Mjane wa Marehemu, Bi Anna Mvungi akiwa uwanjani hapo kuupokea mwili wa mumewe Ndugu wakilia kwa uchungu... Na Father Kidevu Blog Mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya Katiba mpya na  Mkurugenzi wa Katiba, Sheria na Haki za Binadamu wa  NCCR-Mageuzi, Marehemu Dk. Sengondo Mvungi umewasili nchini kutoka Afrika Kusini. Makumi ya wakazi w

Duma wakiona cha mtema kuni nchini Kenya wakimbizwa na kukamatwa

Image
Duma waliokamatwa na kukabidhiwa maafisa wa huduma za wanyamapori Wanakijiji Kaskazini Mashariki mwa Kenya wamewakimbiza Duma wawili ambao wamekuwa wakiwaua Mbuzi wao na kuwakamata.   Wakaazi hao wanaoishi karibu na mji wa Wajir walisubiri hadi majira ya joto nyakati za mchana kuwafukuza Duma hao ambao baada ya kilomita sita walichoka na kusalimu amri. Jamaa aliyeongoza uwindaji huo amesema aliamua kuchukua hatua baada ya Duma hao kuwaua mbuzi wake 15.   Duma hao walikamatwa wakiwa hai na wamekabidhiwa shirika la wanayapori KWS huku wana kijiji hao wakitaka kulipwa fidia ya mbuzi waliouawa.   Wanakiji hao waliambia BBC kuwa wanyama hao walikuwa wakiwashika Mbuzi wao mmoja baad ya mwingine kila siku.   "Nahitaji kulipwa fidia kwa sababu Duma hawa waliwala mifugo wangu wengi,'' alisema Nur Osman Hassan.  Mifugo ndio njia kubwa zaidi ya kujikimu katika jamii ya wasomali wakenya wanaoishi Kaskazini Mashariki mwa nchi ambako ukame ndio hali

MAJIBU YA "NGOMA" YA IRENE UWOYA HAYA HAPA

Image
Sio tu watu maarufu bali binadamu wengi huingiwa na uoga kila wanapofikiria swala la kwenda kupima kama wana maambukizi ya virusi vya ukimwi au la na hata akifanikiwa kupima pia ugumu huja pale mtu anapofikiria kwenda kuchukua majibu. Mama Krish “Irene Uwoya” best actress wa bongomovie awards 2013 ameweka wazi majibu yake ya vipimo vya VVU na kuhamasisha watu wengine wafanye maamuzi ya kwenda kupima afya zao, cheti na maneno ya kuhamasisha watu wengine kupima vyote ndio hivi hapa chini….

Tattoo na muonekano mpya wa Ray, vyawachefua mashabiki wake....wengi wasema amechemka.

Image
Huu  ni  muonekano  mpya wa  Vicent  Kigosi ambao ni moja ya maandalizi ya movie  yake  mpya ... Ni  muonekano  ambao  kwa  kiasi  flani  umewachefua  mashabiki  wake  ambao  dakika  chache  baada  ya  picha  hizo  kuwekwa  walijimwaga  kwa  comment  ambazo hazikumuunga  mkono  kwa  asilimia  zote.  “Je nageukia bongoflava au kuna nini kinakuja?”. Aliadika  Ray  kwenye  moja  ya  picha  zake.    

SUPER STAR DIMONDO na DAVIDO ..NDANI YA CLUB ZA LAGOS AKIPONDA RAHA

Image

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA THAILAND

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Thailand Nchini Tanzania Ittiporn Boonpracong,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Thailand Nchini Tanzania Ittiporn Boonpracong,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Thailand Nchini Tanzania Ittiporn Boonpracong,baada ya mazungumzo yao,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

MASTAA WAENDELEA KUSHIKANA UCHAWI

Image
Uchunguzi wa gazeti hili ndani ya ulimwengu wa mastaa hao ulibaini kwamba, ukiwaacha wale wa Bongo Fleva ambao wamekuwa wakishikana uchawi kila kukicha, kwenye filamu ndiko hakufai. Ilibumburuka kwamba masuala ya kurogana ndiyo yamesababisha filamu za baadhi yao kudoda na kukosa soko. Inaelezwa kwamba mbali na sinema  zao kubuma sokoni pia wamekuwa wakizibiana riziki za tenda kama ilivyokuwa zamani. Elizabeth Michael 'Lulu'. KIVIPI? Kwa mujibu wa ‘mtaalam’ wao mwenye kituo cha kazi huko Yombo-Buza, Dar, wanachokifanya ni kufifisha na kuzimana nyota hivyo kumpotezea mhusika mvuto kwenye jamii. “Unajua kuna mastaa ambao walikuwa na majina makubwa sana lakini siku hizi siyo kama zamani. “Baadhi wanawaroga wenzao kwa kuwasababishia matatizo ya magonjwa au kwenye familia,” alisema mmoja wa wasanii waliokuwa waking’ara zamani lakini siku hizi kafifia huku akimtolea mfano mwigizaji mmoja wa kiume ambaye mkewe aliwahi kumkuta na hirizi. Katika uchunguzi huo, baa

AUNT, WOLPER, SNURA WAFUNGA MTAA

Image
                                                     Stori: Hamida Hassan Mastaa wa filamu za Kibongo wenye jina kubwa mjini, Aunt Ezekiel, Jacgueline Wolper na Snura Mushi hivi karibuni walitisha kwa kufunga mtaa kutokana na mauno waliyokuwa wakikata mbele za wapiga ngoma wa Kundi la Baikoko, tukio lililojiri Mwananyamala, Dar nyumbani kwa msanii mwenzao Vanitha Omary. Snura Mushi. Wasanii hao waliwashangaza watu jinsi walivyokuwa wakijituma kukata mauno huku Wolper akimtunza mpiga ngoma na kumkatikia kwa staili mbalimbali zikiwemo za chumbani.… Stori: Hamida Hassan Mastaa wa filamu za Kibongo wenye jina kubwa mjini, Aunt Ezekiel, Jacgueline Wolper na Snura Mushi hivi karibuni walitisha kwa kufunga mtaa kutokana na mauno waliyokuwa wakikata mbele za wapiga ngoma wa Kundi l

MWILI WA DKT. SENGONDO MVUNGI KUWASILI LEO

Image
Tume ya Mabadiliko ya Katiba inawafahamisha wananchi kuwa taratibu za kuusafirisha mwili wa Mjumbe wake, Dkt. Sengondo Mvungi aliyefariki nchini Afrika Kusini zimekamilika na mwili wake unatarajia kuwasili nchini siku ya Leo. Baada ya kuwasili, mwili huo utahifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo iliyopo jijini Dar es Salaam. Aidha, siku ya Kesho, Novemba 16, 2013 kutafanyika Ibada ya mazishi katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi. Baada ya misa, marehemu ataagwa katika Viwanja vya Karimjee kuanzia saa 6:30 mchana siku hiyohiyo ya Jumamosi, Novemba 16, 2013. Aidha, Marehemu Dkt. Mvungi anatarajiwa kusafirishwa siku ya Jumapili, Novemba 17, 2013 kwenda Kisangara Juu, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika siku ya Jumatatu, Novemba 18, 2013. Dkt. Mvungi alifariki jana (Jumanne, Novemba 12,

WOLPER AANIKA A - Z YA KULICHOMNASISHA KWA DALLAS

Image
STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa suala la yeye kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Abdallah Mtoro ‘Dallas’ halikusababishwa na ukata kwani yeye hakufuata fedha kwa mwanaume huyo. Jacqueline Wolper. Akijibu swali la paparazi wetu lililomtaka afunguke kama alifuata mkwanja kwa Dallas, Wolper alisema moyo wake huwa hauna tamaa ya fedha na aliingia katika penzi la Dallas kwa mapenzi aliyokuwa nayo wakati huo na kwa kuwa yaliisha, maisha yanaendelea. Abdallah Mtoro ‘Dallas’. “Sikufuata pesa kwa Dallas, pesa ni pesa na mapenzi ni mapenzi. Kama ni pesa nilikuwa nazo na hata kabla sijawa naye na sasa pia ninazo, waniache,” alisema Wolper.

WOLPER AANIKA A - Z YA KULICHOMNASISHA KWA DALLAS

Image
STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa suala la yeye kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Abdallah Mtoro ‘Dallas’ halikusababishwa na ukata kwani yeye hakufuata fedha kwa mwanaume huyo. Jacqueline Wolper. Akijibu swali la paparazi wetu lililomtaka afunguke kama alifuata mkwanja kwa Dallas, Wolper alisema moyo wake huwa hauna tamaa ya fedha na aliingia katika penzi la Dallas kwa mapenzi aliyokuwa nayo wakati huo na kwa kuwa yaliisha, maisha yanaendelea. Abdallah Mtoro ‘Dallas’. “Sikufuata pesa kwa Dallas, pesa ni pesa na mapenzi ni mapenzi. Kama ni pesa nilikuwa nazo na hata kabla sijawa naye na sasa pia ninazo, waniache,” alisema Wolper.

RAIS DKT KIKWETE NCHINI SRI LANKA LEO

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijijini Colombo leo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola mwaka huu (CHOGM 2013)  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini  kitabu  cha  wageni nchini  sri Lanka   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa pamoja na  viongozi  mbali  mbali  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa katika mazungumzo yao  leo (picha  zote na Ikulu) Im

UCHEKI MJENGO MPYAAA WA DIAMOND ANAOUPOROMOSHA .. NI KUFURU TUPU

Image
Diamond hivi sasa yupo nchini Nigeria kwa ajili ya video zake mbili akiwa na Iyanya na Davido lakini bado yupo karibu na mashabiki wake kupitia mitandao ya kijamii. Kutana na post hii kutoka kwa Diamond kwenye ukurasa wake wa facebook inayohusisha nyumba yake.