MAJIBU YA "NGOMA" YA IRENE UWOYA HAYA HAPA
Sio tu watu maarufu bali binadamu wengi huingiwa na uoga kila wanapofikiria swala la kwenda kupima kama wana maambukizi ya virusi vya ukimwi au la na hata akifanikiwa kupima pia ugumu huja pale mtu anapofikiria kwenda kuchukua majibu.
Mama Krish “Irene Uwoya” best actress wa bongomovie awards 2013 ameweka wazi majibu yake ya vipimo vya VVU na kuhamasisha watu wengine wafanye maamuzi ya kwenda kupima afya zao, cheti na maneno ya kuhamasisha watu wengine kupima vyote ndio hivi hapa chini….
Comments
Post a Comment