RONALDO AING'ARISHA URENO DHIDI YA SWEDEN YA IBRAHIMOVIC KOMBE LA DUNIA
- Get link
- X
- Other Apps
BAO
pekee la Cristiano Ronaldo dakika ya 82 limeipa usindi wa 1-0 Ureno
katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali
za Kombe la Dunai usiku huu dhidi ya Sweden, Uwanja wa Estadio da Luz.Ureno sasa itahitaji kuulinda ushindi huo katika mchezo wa marudiano Jumanne mjini Stockholm ili kukata tiketi ya Brazil.
Kikosi
cha Ureno kilikuwa: Patricio, Pereira, Coentrao, Veloso, Pepe, Regufe
Alves, Meireles/Josue dk78, Moutinho, Postiga/Almeida dk66, Nani na
Ronaldo
Sweden:
Isaksson, Lustig, Olsson, Elm/Wernbloom dk72, Nilsson, Antonsson,
Larsson, Kallstrom/Svensson dk77, Ibrahimovic, Elmander/Gerndt dk88 na
Kacaniklic.
Vita ya wakali: Cristiano Ronaldo w Ureno (kushoto) na Zlatan Ibrahimovic wa Sweden wakisalimiana kabla ya mechi
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment