Posts

Picha za UCHI za binti wa kibongo zavuja

Image
  Jinamizi  la  picha  za  utupu  limeendelea  kuwatafuta  akina  dada  ambapo  leo  hii  mpekuzi  wetu  amefanikiwa  kuzinasa  picha  mbaya  za  binti  mmoja  wa  kibongo  anayesadikiwa  kuwa  ni  mwanafunzi  wa  chuo  kikuu .... Picha  hizo  za  laana  zinamuonesha  binti  huyo  akiwa  uchi  wa  mnyama  ndani  ya  vyoo  vya  hotel  na  moja  akiwa  kitandani... <<BOFYA  HAPA  KUJIONEA  PICHA  HIZO>>

Ndugai ataja sababu zake zilizomfanya amtimue Freeman Mbowe Bungeni

Image
NAIBU Spika, Job Ndugai ametetea uamuzi wake wa kuagiza kutolewa ndani ya ukumbi wa Bunge, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akisema alikuwa sahihi. Mabishano hayo ambayo yalisababisha kuibuka kwa vurugu bungeni yalitokea mwishoni mwa wiki, muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu, ambapo kiongozi huyo wa Bunge aliruhusu mjadala kuhusu Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba uendelee. Kutokana na hali hiyo, Mbowe alisimama kutaka kutoa ufafanuzi juu ya mjadala huo, lakini Ndugai alimzima na kumtaka kukaa chini, jambo ambalo halikumfurahisha Mbowe na kumfanya agomee agizo lake. Akizungumza na MTANZANIA jana kwa njia ya simu, Ndugai alitumia muda mwingi kutetea uamuzi wake na kukosoa hoja za watu wanaompinga juu ya uamuzi wake huo. Ndugai alisema katika kikao hicho, Mbowe alifanya jeuri kubishana na kiti na kueleza kuwa kanuni za Bunge zinasema hakuna mbunge yeyote atakayesimama kuzungumza bila kuruhusiwa na kwamba uamu

"Nipo tayari kugombea URAIS endapo wananchi WATANICHAGUA."..Mwigulu Nchemba

Image
  Naibu katibu mkuu wa CCM bara, Mh. Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mbunge wa Iramba  amefunguka  kuwa  vurugu zilizotekea bungeni wiki  iliyopita  zilisababishwa na kambi ya upinzani kukosa akili na kutumia nguvu kubwa .... Akiongea  na  mpekuzi wetu , Mwigulu  ameitupia  lawama  kambi  ya  upinzani  na  kudai  kuwa  kambi hiyo  imekuwa ikitumia nguvu nyingi  badala ya akili na  maarifa  huku  ikisahau  kuwa Spika  pekee ndo  mwamuzi wa mwisho kwa jambo lolote ndani  ya bunge.... Mwigulu  alienda  mbali  na  kudai  kuwa, pamoja  na  vurugu hizo  ambazo  zimekuwa  zikifanywa   na  wapinzani  kwa  lengo  la  kujiimarisha  kisiasa, chama  chake  bado  kina imani  kubwa  ya  kushinda  kwa  kishindo  katika  uchaguzi  mkuu  wa  2015  kwa  kuwa  wapinzani  hawana SERA  wala  UBAVU  wa  kushindana  na  CCM  zaidi  ya  makelele na  vurugu. Baada  ya  Mwigulu  kugusia  michakato  ya  uchaguzi  mkuu  ujao, mpekuzi  wetu  alitaka  kukata  kiu  y

Jokate afunguka baada ya kutuhumiwa kugawa URODA kwa LUCCI ili auze sura

Image
Baada  ya  kutuhumiwa  kugawa  uroda  kwa  Lucci  ili  aweze  kuuza  sura  katika  video  mpya   ya  "dada, kaka" , Jokate  ameamua  kufunguka  na  kuzikanusha  tuhuma  hizo.... Huu  ni  ujumbe  wake  alioutoa  instagram. "Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu.  1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia.  And that's what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani kuliko maneno tufanyeni Kazi kuendeleza nchi yetu  2. Sijifanyi mtakatifu. Ila najitahidi kufanya matendo yanayompendeza Mungu. Na kwasababu kama binadamu sina ukamilifu basi only God can really judge me cause ndio anajua moyo wangu k

Joseph Kaniki anaswa na madawa ya kulevya Ethiopia....

Image
Mshambuliaji wa nyota wa zamani wa timu ya soka ya Simba na Taifa, Joseph Kaniki ‘Golota’ na bondia Mkwanda Matumla wanashikiliwa huku Addis Ababa, Ethiopia wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya.  Kukamatwa kwao kumezidi kuongeza idadi ya Watanzania maarufu waliotiwa mbaroni nje ya nchi katika siku za karibuni wakituhimiwa kwa makosa hayo. Tukio hilo limetokea miezi miwili baada ya Watanzania wawili, wasanii Agnes Gerald Masogange na Melisa Edward kukamatwa kwenye Uwanja wa Oliver Tambo, Afrika Kusini wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya zenye uzito wa kilo 150 na thamani ya Sh6bilioni. Aidha, hilo limetokea baada ya meli ya mizigo ya Gold Star iliyosajiliwa nchini kukamatwa na maofisa Forodha na askari wa doria wa Italia katika Pwani ya Sicily, Bahari ya Mediterranean ikiwa na tani 30 ya dawa za kulevya aina ya bangi zenye thamani ya Pauni za Uingereza 50milioni (Sh125 bilioni).

DADA ZANGU MKITEGEMEA WANAUME WA MIAKA HII MTALALA NJAA.., ONA KILICHOMKUTA MWENZENU..!

Image
  basi bwana kuna jamaa mmoja bwana nimejuana nae miezi ya karibuni..ofisi zetu zipo jirani so tunakutana saaana lunch time..basi kila siku ananiomba tukutane jioni tupate hata lunch na story mbili tatu!kiukweli nimemtolea nje toka siku nyingi unajua huyu jamaa sio type yangu na mimi sitaki kuingia majaribuni si mnajua tena roho i radhi ila mwili ni dhaifu! yaani the guy ni bonge la hb!financial yupo vizuri magari mazuri ! former mbeba box nk! mimi napenda mwanaume simple hata kama ni kulala nae kwenye mkeka hawa masuperbrand mimi nawaogopa kwa kweli!tuachane na hayo! sasa alhamisi kiukweli akanibembeleza sana toka asubuhi dinner! dinner! !!!!!! basi nikaona ngoja nijiachie wkend nirefresh mind na huyu kijana from obama land nibadilishie mwili vitamin! basi bwana huyu jamaa kama nilivosema ni mjanja mjanja na kuishi mbele huko nikajua nitapata bonge la meal kwa jioni ya jana! kwa hiyo mchana sikula ila tumbo liwe vizuri kupokea vitu vya ukweli!sikutak

Yaliyojiri kwenye show ya FUSE ODG viwanja vya USTAWI WA JAMII Dar es Salaam

Image
  Banana Zorro akiwa kwa steji pamoja na B Band Madee na Chidi Beenz kwa steji  Fuse ODG akikamua kwa wakazi wa Dar es Salaam  H.Baba na Penina  Janjaro  Magenge  Mabeste  Wakazi  Tunda Man  Penina  Fuse ODG  Mrap na Dj Choka Jux, Mrap & Pancho Latino  Water Chilambo  H.Baba  Jux  Vaness Mdee  Fuse ODG  Snura  Marco Chali Foundation  Nahreel & Aika  Vanessa Mdee & Gosby  Gosby  Deddy & Mabeste

Picha za UTUPU za wanafunzi wakinyonyana maziwa zanaswa

Image
Picha  chafu  za  wanafunzi  wa  sekondary  moja  maarufu  zimenaswa  na  mpekuzi  wetu  zikipaa  toka  mtandao  mmoja  kwenda  mwingine.... Katika  picha  hizo, wanafunzi  wawili  wakiwa  na  sare  za  shule  wanaonekana  wakinyonyana  maziwa  huku  kamera  yao  iliyoegeshwa  ikiwachukua..... Tumeifunika  picha  kidogo.Ukitaka  ambayo  haijafunikwa, bofya  hapo  chini  ujionee  mambo  ya  aibu..  source: mpekuzi << BOFYA  HAPA  KUIOANA  PICHA>>

Wanafunzi walipukiwa na bomu mkoani Morogoro

Image
Taarifa kwa mujibu wa ITV — Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Matombo katika wilaya ya Morogoro wamejeruhiwa, baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu, wakati wakitoka shuleni. Wanafunzi hao waliojeruhiwa katika sehemu mbalimbali za miili yao ni Luciani Juma (14) na Anthonia Charles (15), wakazi wa kijiji cha Konde, Tarafa ya Matombo wilayani Morogoro, ambapo Luciani aliyelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro kwa matibabu, ameiambia ITV kuwa walikumbwa na tukio hilo wakati wakitokea shuleni, ambapo njiani walikutana na kitu mfano wa balbu ya tochi ambacho hata asubuhi wakati wa kwenda shule walikiona na kukipuuza, ndipo mmoja wawanafunzi alikirushia ganda la muwa aliokuwa akila, na kililipuka na kutoa mshindo mkubwa. Daktari anayemtibu Lucien katika wadi namba moja ya hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro, aliyejulikana kwa jina moja Dk. Francis amesema majeruhi huyo anaendelea vizuri, na amepata majeraha

REDD'S MISS TANZANIA 2013 WATEMBELEA RADIO 5 ARUSHA

Image
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013  walipotembelea Kituo cha Redio cha Radio 5 cha mjini  Arusha  kujionea shughuli mbalimbali na kufanya mahojiano maalum. Warembo wa Redd’s Miss Tanzania wapo mkoani Arusha kwa ziara ya kimafunzo.

Ndugai awaombe radhi wapinzani

Image
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemtaka Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai aiombe radhi Kambi ya Upinzani kwa kitendo cha kumtoa ndani ya Bunge kiongozi wa kambi hiyo bungeni, Freeman Mbowe. Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Julius Mtatiro alisema kitendo hicho ni ukiukaji wa kanuni na sheria za Bunge, na kimeidhalilisha kambi hiyo. hdg "Tukio lililotokea jana (juzi), si la kawaida, Naibu Spika ni kiongozi wa Bunge lakini wapo watu wakubwa ambao anapaswa kuheshimika sana. "Kambi ya Upinzani ina kiongozi wake ambaye ni Freeman Mbowe mwenye nafasi kubwa kama aliyonayo Waziri Mkuu Mizengo Pinda. "Tofauti ya Pinda ipo nje ya Bunge wakiwa ndani ya Bunge wote wana heshima ya kufanana. "Sijui jeuri ya Ndugai imetoka wapi hivi Pinda angekuwa amesimama Naibu Spika angewaamuru askari wa Bunge wamtoe? Ndugai anapaswa kuomba radhi kwa njia ya ustaarabu tu,"alisema Mtatiro. Naye Oliver Oswa

HATIMAYE MASOGANGE NA MELISA WAAMUA KUWATAJA WALIOWATUMA UNGA A.KUSINI BAADA YA ADHABU KALI.

Image
BAADA ya warembo hao kukamatwa ilielezwa kuwa walikuwa wakigoma kueleza mzigo huo wa kilo 150 wa unga ulikuwa wa nani hivyo ikabidi polisi wa upelelezi watafute njia nyingine ya kuwalainisha kwa kuwabembeleza kuwa wakieleza ukweli wataachiwa. Chanzo hicho kilisema kuwa baada ya mbinu hiyo kushindikana ndipo wawili hao wakaingizwa kwenye chumba maalum cha mateso ikiaminika kuwa watasema aliyewatuma. “Unajua Sauzi (Afrika Kusini) huwa hawana utani na ishu za madawa ya kulevya. Jamaa (polisi) wana kila aina ya mbinu ya kumfanya mtu aeleze ukweli. “Katika kutesa unaweza kuingizwa kwenye chumba maalum cha mateso ambayo nayo huwa yana steji zake. “Kwanza utaanzia kwenye chumba kilichojazwa siafu wakubwa na huko unaweza usijue kuwa kuna siafu zaidi ya kuona kitu kama red carpet (zuria jekundu) kuanzia sakafuni, ukutani hadi kwenye dari, kumbe wale wote ni siafu. “Wakishakuingiza mle ndipo utashangaa wale siafu wanacharuka na kuanza kukung’ata mwili m

Azam TV kama Ulaya;

Image
Popote utakapotulia na kutazama pambano lolote litakaloonyeshwa moja kwa moja au kwa marudio, kupitia kituo cha Televisheni cha Azam (Azam TV), usiwe na shaka, utaliona pambano maridadi. Weka soda yako sebuleni kando kisha watazame Jerry Santo na Amri Kiemba wakichuana katikati ya uwanja wowote ule wa soka nchini huku kamera nane za Azam TV zinazorekodi pambano lao zikiwachukua kwa umaridadi. (P.T) Kamera nane zamrekodi mchezaji Katika pambano lolote litakaloonyeshwa na Azam TV kutakuwa na kamera nane uwanjani. Huu ni wastani wa juu wa idadi ya kamera zinazopaswa kuonyesha kwa ufasaha pambano lolote la soka ingawa katika mechi za ligi nyingine au michuano mingine kunakuwa na kamera zaidi za kuonyesha mbwembwe mbalimbali. Kamera hizi ni ghali zikiwa zimegharimu kiasi cha kuanzia dola 180,000 hadi dola 200,000 kwa kila moja. Ndani ya kila kamera kuna mchanganyiko wa mashine ya Sony huku lensi ya kuvutia matukio kwa ufasaha ikiwa ni ya kampuni ya Can

MAMA YAKE DILLISH ATHIBITISHA MWANAUME WA KENYA NDIYE BABA MZAZI WA DILLISH

Image
Delish Mathews After all the denials Ghafla! can now confirm that Kenyan ex-soldier Abdi Galgalo Guyo is Dillish Matthew's real biological father. Dillish's mother, Selma Pashukeni has confirm to Standard Group that Guyo is indeed is the BBA winner's real biological dad. In a Google hangout organized by the Kenyan Embassy in Namibia and the Standard Group, Selma and Guyo were able to talk to each other for the first time in close to 23 years. The hangout was witnessed by the Kenyan Ambassador to Namibia, Peter Gitau, Dillish's uncle and aunt. According to SDE, emotions ran high as Selma positively identified the former KDF soldier. The two former lovebirds took a stroll down the memory lane as they relived their last moment together at the airport where they last saw each other. Guyo explained that whi

TMA yatahadharisha uwepo wa kimbunga:

Image
Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Agness Kijazi MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetahadharisha kuwepo kwa kimbunga katikati ya bahari kitakachosababisha mvua nyingi za muda mfupi. Kwa sababu hiyo mamlaka imewataka wakulima kwenye baadhi ya mikoa hasa ya kaskazini mwa nchi na iliyopo ukanda wa Ziwa Victoria kupanda mazao yanayostahimili ukame na kukomaa mapema. (P.T) Viashiria vya vimbunga hivyo vinasababishwa na joto la bahari kupungua na hivyo kusababisha mvua nyingi za muda mfupi kwa baadhi ya maeneo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Agness Kijazi, aliwashauri wakulima wa mikoa ya kaskazini mwa Dodoma, Singida na Tabora kutafuta ushauri wa maofisa ugani wa maeneo hayo kwa vile inatabiriwa kuwa na unyevunyevu hafifu kwa kipindi cha Novemba hadi Desemba. Alitoa utabiri wa msimu wa Oktoba hadi Desemba na kuwataka wakulima wa mikoa ya Kagera, Geit

Ushiriki wa Jeshi la Tanzania katika Kulinda Amani Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tu

Image
Na Lorietha Laurence-Maelezo JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limetoa taarifa ya maendeleo ya wanajeshi wanaoshiriki kulinda amani kwa nchi mwanachama wa maziwa makuu Jamuhuri ya Demokrasia ya Kongo eneo la Goma. Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa Jeshi hilo Meja Erick Komba alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. (P.T) Meja Komba alisema kuwa baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya Kijamii hususan "blogs" kuandika taarifa zisizo rasmi ambazo zinapotosha umma kuhusu ushiriki wa Jeshi la Tanzania katika nchi ya Kongo. Alieleza kuwa jeshi la Tanzania linashiriki kulinda amani Nchini Kongo kutokana na Rais wa nchi hiyo Mhe.Joseph Kabila kuwasilisha ombi katika kikao cha nchi za maziwa makuu kilichofanyika Julai 12 mwaka jana mjini Addis Ababa, Ethiopia baada ya waasi wa M23 kujitenga na Serikali na kuanzisha mapambano. "Ushiriki wa Jeshi la Tanzania katika kulinda amani nchini Kongo umetokana na

SIMBA SC YAITUNGUA KMKM 2-1

Image
WEKUNDU wa Msimbazi Simba SC, Chini ya kocha wake Abdallah Kibadeni "King Mputa" , kwa mara nyingine tena wamewatambia Wazanzibar baada ya kuwazamisha mabao 2-1 mabingwa wa Zanzibar KMKM katika mchezo wa kirafiki uliofanyika jioni ya leo dimba la Taifa jijini Dar es salaam. (P.T) Bao la kwanza la Simba lilifungwa katika dakika ya 28 na nyota wake Said Ndemla baada ya kupokea pande maridadi kutoka kwa Issa Rashid "Baba Ubaya" Mnyama alitinga tena nyavuni katika dakika ya 41 baada ya beki wake, Mrundi, Gilbert Kaze kupiga shuti la moja kwa moja kufuatia kiungo mwenye uwezo mkubwa wa kupiga chenga ama kupiga rangi mpira, Ramadhan Chombo "Redondo wa Kibongo" kufanyiwa madhambi. KMKM chini yakocha wake, Ally Bushiri ilipata bao lake la kusawazisha katika dakika ya 54 kupitia kwa Iddi Kambi aliyetumia maarifa makubwa kuizidi ngome ya simba na kuandika kimiani bao hilo. Licha ya kufungwa na Simba, K

HUYU NDO BINTI WA KIDATO CHA 4 ALIYEKIRI KUZAA MTOTO NA DIAMOND PLAUNUM

Image
MREMBO aliyetimuliwa shule akiwa kidato cha nne baada ya kutundikwa mimba, Sasha Juma ameibuka na madai kuwa amezaa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. MCHEZO MZIMA Habari kutoka kwa chanzo chetu cha kuaminika zilidai kuwa Sasha na Diamond walikutana katika mgahawa mmoja uliopo kwenye maduka ya Mlimani City, Dar na ndipo walipoanzisha uhusiano. Ilidaiwa kuwa Sasha akiwa na marafiki zake alitoka kwenye moja ya maduka hayo ambapo alimkuta Diamond na binamu yake, Romy Jones wakiwa wamekaa nje ya mgahawa huo. Ilidaiwa kwamba kwa kuwa Sasha anajuana na Romy muda mrefu, aliwafuata kisha akawasalimia ndipo Diamond akaonekana kuvutiwa na mrembo huyo na kumwambia kuwa atachukua namba yake ya simu ya kutoka kwa Romy kwa vile alikuwa nayo. Chanzo chetu hicho kilizidi kutiririka kuwa baada ya hapo Sasha aliondoka na marafiki zake, kipindi hicho akiwa anasoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam Int