REDD'S MISS TANZANIA 2013 WATEMBELEA RADIO 5 ARUSHA
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 walipotembelea Kituo cha Redio cha Radio 5 cha mjini Arusha kujionea shughuli mbalimbali na kufanya mahojiano maalum. Warembo wa Redd’s Miss Tanzania wapo mkoani Arusha kwa ziara ya kimafunzo.
Comments
Post a Comment