Posts

MAYAI YA KUKU WA KISASA YADAIWA KUWA HATARI

Image
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema mayai ya kuku wa kisasa yanayotengenezwa nchini yamedaiwa kuwa na mabaki ya dawa ambazo ni hatari kwa afya ya binadamu. Akizungumza leo wakati alipozindua bodi mpya ya ushauri ya wizara kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA), Mwalimu amesema amehakikishiwa na wataalamu hao kuwa dawa zinazotumika kwenye mayai na kuku hao zinabaki ambapo si salama kwa afya ya binadamu. Mwalimu amesema kutokana na dawa hizo kubaki kwenye mayai na kuku hao ameitaka TFDA kufanya utafiti ili kujua kiwango kipi cha dawa zilizopo ili Serikali iweze kuchukua hatua za haraka. “Hivyo tuwaachie TFDA waendelee na utafiti wao na wanapobaini ni kiasi gani cha dawa zilizomo kwenye mayai na kuku hao watuambie haraka dawa zipi hazitakiwi na zipi zinatakiwa ili kulinda soko la ndani,”amesema. Pia amewatahadhalisha wataalamu wa TFDA wasihofie kutoa majibu haraka kwa kufikiri kuwa watakwamisha soko la ndani hivy

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 23.02.2017

Image

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
 

STAA AGNES GERALD WAYA APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU,AACHIWA KWA DHAMANA

Image
Mrembo anayepamba video za wasanii nchini, Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange au Deal (28), amepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kutumia dawa za kulevya. Mrembo huyo anayeishi Makongo Juu ambaye alikuwa akitumia muda mwingi kujiziba sura yake kwa mtandio na miwani ya Giza alisomewa tuhuma zake mbele ya Hakimu Mkazi Willbard Mashauri. Hata hivyo, ameachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana yaliyowekwa na mahakama. Mahakama ilimtaka Masogange kuwekwa dhamana ya milioni kumi hali kadhalika na wadhamini wake wawili nao walitakiwa kuwekwa kiasi hicho cha fedha. Aidha mahakama imemuamuru kutosafiri nje ya Dar ea Salaam bila ya kupata kibali cha Mahakama. Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali, Constantine Kakula amedai kuwa kati ya Februari 7 na 14 mwaka huu katika Eneo na Wilaya isiyojulikana lakini ndani ya jiji la Dar es salaam, Masogange alitumia dawa za kulevya aina ya Heroin (Di

UHALISIA WA MSHAHARA WA MWALIMU BAADA YA MAKATO MAPYA YA 15% YA BODI YA MIKOPOYA ELIMU YA JUU

Image
Baada ya bodi ya mikopo ya E limu ya juu kufanyiwa makato haya ni baadhi ya mchanganuo wa makato kwa mshahara halisi, Baadhi ya makato katika mshahara wa M walimu ni kama inavyoonekana kwenye mabano;-  Mfuko wa hifadhi ya jamii (35,800 sawa na asilimia 5%)  Bima ya afya (21,480 sawa na asilimia 3% )  CWT (14,320 sawa na asilimia 2%) Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu -HESLB (107,400 sawa na asilimia 15 %)  Income tax  (86,580 sawa na asilimia 12%). Jumla ya Makato tu ni tsh 265,580/=. Mwalimu anayelipwa mshahara wa  tsh 716,000/= anabakiwa na tsh.450,420/= kwa ajili ya kuchangia michango iliyowekwa kwa shuruti na kugharamia maisha yake. *Kila mmoja apige hesabu kutokana na mshahara wake, bila kusahau kuweka makato ya mikopo kutoka kwenye taasisi mbalimbali* Baada ya hapo kinachobaki kipeleke kwenye matumizi yako binafsi:- 1. Maendeleo 2. Chakula 3. Kodi ya pango 4. Umeme 5. Maji 6. Usafiri 7. Mawasiliano 8. Shughuli za kijamii 9. Tegemezi 10.Michango ya mwenge, maabara,

BREAKING NEWZZZ…..TIGO WATOA TAARIFA YA KUMKANA MANJI

Image
G

Ridhiwani Kikwete ajibu shutuma ya kutajwa kwenye orodha ya watuhumiwa wa dawa za kulevya

Image
Mbunge wa jimbo la Chalinze mkoani Pwani kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amekanusha vikali shutuma zilizotolewa dhidi yake kuhusu kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya. Moja ya magazeti ya leo yamechapisha habari inayomtaja mbunge huyo kujihuisha na bishara ya dawa za kulevya ambayo imekuwa ikipigwa vita kila kona ya nchi kutokana na kupoteza nguvu kazi ya taifa. Gazeti hilo limeandika kuwa, jina la Ridhiwani limetajwa katika orodha ya watuhumiwa wa dawa za kulevya na kuwa uchunguzi utafanyika. Pia limesema mbunge huyo ametoa kauli nzito kwa hadhara. Kiongozi huyo kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema kuwa, hafanyi biashara hiyo haramu wala hakuwahi kufikiria kuifanya na kwamba nafsi yake i tayari kufa masikini kuliko kupata utajiri kupitia njia hiyo. Aidha, ameeleza kuwa, anaamini kwamba uchunguzi utafanywa ili kuweza kuweka mambo sawa kwani yeye hana kitu chochote cha kuficha. Amesema kwamba, maneno hayo ya shutuma juu