Posts

Emmanuel Mbasha asema bado anamuhitaji mke wake Flora ingawa anadai amezaa nje ya ndoa

Image
Msanii wa muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha amesema bado anamuhitaji aliyekuwa mke wake Flora Mbasha ingawa anadai tayari ameshazaa nje ya ndoa na mwanaume mwingine. Muimbaji huyo amedai ameshafanya jitihada mbalimbali bila mafanikio kwa kipindi cha miaka miwili ili kurudiana na mama watoto wake huyo. “Moyo wa kurudiana nilikuwa nao sana, tena sana, ikiumbukwe mambo yametokea 2014, mwaka huo mzima nilikuwa namuomba Flora rudi nyumbani tuendelee na maisha, 2015 nikaendelea kumuomba rudi nyumbani tuendelee na maisha. Tumeitisha vikao vya kila aina ili kusuluishwa lakini bado amekuwa mgumu lakini nadhani tayari alishapanga haya yatokee ndio maana akaamua yeye kuniacha mimi nilikuwa sina mpango huo,” Emmanuel Mbasha alikimbia kipindi cha Enewz cha EATV.. “Mimi sijaachana naye, sema tumetengana na kipindi tumetengana amepata mtoto labda kuna kitu anaogopa, lakini mimi sina tatizo naye, Flora mimi nakuhitaji rudi nyumbani tuendelee na maisha,” aliongeza. Muimbaji h

MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA MAPINDUZI YALIVYOFANYIKA LEO ZANZIBAR

Image
Makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakionyesha uwezo wao wa kupigana bila silaha katika Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye wawnja wa Aman Januari 12, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) Makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakionyesha jinsi matofari yanavyoweza kuvunjwa juu ya kichwa katika maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman, Januari 12, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) Komandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania akiwa amelala juu ya misumari huku wenzake wakipita juu yake ikiwa ni moja ya maonyesho ya ukakamavu yaliyoonyeshwa na Makomandoo hao katika maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman Januari 12. 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein akihutubia katika kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman Januari 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA SHINYANGA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 53 MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuwasalimia wananchi wa Shinyanga waliofika katika uwanja wa mpira wa Kambarage katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar mkoani humo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Kambarage mkoani humo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kuwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Kambarage mkoani humo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Kwaya ya KKKT Shinyanga mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. PICHA NA IKULU

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MWIGUMBI-MASWA (50.3) MKOANI SIMIYU

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3) katika Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka watatu kutoka kulia Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa wakwanza kulia pamoja na viongozi wengine.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengiene  akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mitambo itakayotumika katika ujenzi wa mradi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3) kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS  Mhandisi Cristianus Ako kabla ya kuweka jiwe la msingi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Maswa kabla ya kuweka jiwe la

MAJALIWA AFUNGUA UKUMBI WA SACCOS YA MELI NNE ,ZANZIBA NA KUZUNGUMZA

Image
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kufungua SACCOS ya Melinne mjini Zanzibar ikiwa ni moja ya shamrashamra za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar januari 11, 2017. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Kassim Majaliwa , viongozi mbalimbali wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd wakati alipozungumza baada ya Waziri Mkuu kufungua SACCOS ya Melinne mjini Zanzibar Januari 11, 2017.  Baadhi ya wananchama wa SACCOS ya Melinne ya Zanzibar wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kufungua ukumbi wa SACCOS hiyo Januari 11, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanachama wa SACCOS ya Melinne ya Zanzibar baada ya kufungua ukumbi wao Januari 11, 2017. Kulia kwake ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd. Waziri Mkuu, Kassim Maj

WAWILI WAUAWA KWA KUCHOMWA MOTO KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI

Image
Watu wawili wanaodhaniwa kuwa majambazi wameuawa kisha kuchomwa moto katika kijiji cha Ifumbo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya katika jaribio la kufanya uhalifu eneo la machimbo ya dhahabu ya Kasanga Lupa Market.  Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Afisa Mtendaji wa kijiji cha Ifumbo Emily Rajab amesema waliouawa wametambuliwa kwa majina ya Paschaly Paul Simchimba mkazi wa Ileya Lupa Market na Tegemeo Henus mkazi wa Mjele ambapo waliouawa na wananchi waliamua kujichukulia sheria mkononi walipokuwa wakichukuliwa maelezo katika ofisi ya mtendaji.  Rajabu amesema alitoa taarifa kituo cha Polisi Chunya lakini wakati wakimsubiri kufika wananchi walimtimua Mwenyekiti wa kijiji na yeye kisha kuwafunga kamba majambazi hayo na kuanza kuwapiga kwa silaha mbalimbali kisha kuwachoma kwa kutumia magurudumu ya gari. Polisi walifika walikuta miili imeteketea kabisa.  Uchunguzi wa awali umeonesha marehemu walikuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka thelathini jela mwaka 2014 kwa t

ANGALIA NAFASI YA KAZI KUTOKA UBALOZI WA MAREKANI

Image
EMBASSY OF THE UNITED STATES OF AMERICA The US Mission Dar es Salaam is seeking the eligible and qualified applicants for the pst below POSITION: INFORMATIONS RESOURCES CENTRE DIRECTOR VACANCY NUMBER: 16/137 A copy of the complete position descriptions listing all duties responsibilities and qualifications required is available HERE HOW TO APPLY Effective immediately only online applicants will be acceptable via DarRecruitment@state.gov Applicant must follow instructions in the notice on the website Failure to do will result in incomplete applications Deadline is 19 January 2017 Source Daily News January 5, 2017

ANGALIA NAFASI YA KAZI KUTOKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA UNICEF

Image
Human Resources Officer, NOB, Dar es Salaam, TANZANIA (For Nationals only) Job Number: 502262 Location: United Republic of Tanzania Work Type : Fixed Term Staff If you are a committed, creative professional and are passionate about making a lasting difference for children, the world’s leading children’s rights organization would like to hear from you. For 70 years, UNICEF has been working on the ground in 190 countries and territories to promote children’s survival, protection and development. The world’s largest provider of vaccines for developing countries, UNICEF supports child health and nutrition, good water and sanitation, quality basic education for all boys and girls, and the protection of children from violence, exploitation, and AIDS. UNICEF is funded entirely by the voluntary contributions of individuals, businesses, foundations and governments. Purpose of the Position Under the supervision of the Chief of Operations/HR Manager, manage all

ANGALIA NAFASI YA KAZI KUTOKA AZANIA BANK

Image
Description Azania Bank Limited is the first indigenous private bank in the United Republic of Tanzania, formerly known as 1st Adili Bancorp Limited established in 1995 following the liberalization of the banking sector. The Bank is currently owned over 90% by Pension funds Azania Bank Limited being a full commercial bank offers a range of banking services, which includes funds transfers domestically and internationally through TISS, Western union and Money gram. At Azania Bank Limited Customers can open Current (Business/ Cheque) accounts and various savings accounts for SMEs, Children and students. Azania Bank Ltd offers a wide range of loan products, such as business loans, Consumer loans and Mortgage facilities. 1.1 MANAGING DIRECTOR 1.1.1 REPORTING Reporting to the Board of Directors, the Managing Director is responsible for providing a strategic direction to the bank by ensuring effective and efficient operations across the bank network. 1.1.2 DUTIES AND RESPONSIBI

MTABIRI ATABIRI VIFO VYA VIONGOZI ,SIASA WASANII NA WANAHABARI TANZANIA

Image
Mnajimu, Maalim Hassan Yahya Hussein ametabiri vifo vya viongozi mbalimbali wa kidini, kisiasa, wasanii pamoja na wanahabari kama vilivyotokea kwa mwaka 2016. Hassan Hussen ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jiji Dar es Salaam kuhusu utabiri wake wa mambo mbalimbali yatakayotokea mwaka huu. Akiwa katika mkutano huo alitaja baadhi ya mambo ambayo anaamini yatatokea mwaka huu ikiwa ni pamoja na kutokea kashfa kubwa sana ya ngono au fumanizi itakayowahusu viongozi wa dini, siasa na wasanii maarufu itakayosababisha viongozi hao kufedheheshwa na kuanguka kabisa katika tasnia zao. Alisema pia kuwa, viongozi wakubwa wa upinzani duniani na Tanzania watarejea kwenye vyama walivyovihama miaka ya nyuma kutokana na sababu mbalimbali. Mwaka huu pia kutakuwa na vifo vya viongozi wakubwa maarufu wa kisiasa na kidini, baadhi ya vifo vitakuwa ni vya ghafla ambavyo vitasababishwa na msongo wa mawazo na shinikizo la damu. Vifo vya

BILLICANAS YA MBOWE YAANZA KUBOMOLEWA RASMI

Image
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeanza kubomoa jengo la iliyokuwa Klabu Bilicanas na ofisi za Free Media inayomiliki gazeti la Tanzania Daima zinazomilikiwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe, lililopo makutano ya barabara ya Mkwepu na Indira Gandhi lenye kitalu namba 725-726/24 na hati namba C. T No. 186018/15 and C. T No. 186018/10. Ubomoaji huo ulioanza jana unafanyika wakati Mbowe ameingia katika mgogoro na NHC baada ya kampuni ya udalali ya Poster and General Traders kumtolea vyombo nje mwanzoni mwa Septemba, mwaka jana kwa kudaiwa Sh bilioni 1.2 ambayo ni deni la pango ya miaka 20. Mwanzoni mwa Septemba, mwaka jana NHC kwa kushirikiana na Kampuni ya Poster and General Traders, ilifika katika jengo hilo kwa maelekezo ya kutoa thamani mbalimbali zilizokuwa katika ofisi za jengo hilo na kumpa Mbowe siku 14 kulipa deni analodaiwa na kuweza kugomboa mali hizo. Mpango huo ulisimamiwa na Meneja

MAJALIWA ACHARUKA,KUMTUMA CAG KUKAGUA TANCOAL

Image
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa atamtuma mara moja Msajili wa Hazina, aende kufanya uchunguzi wa kina na wa kijinai (forensic investigation) ili kijiridhisha kama mapato na matumizi ya kampuni ya TANCOAL ni halali.Alitoa kauli hiyo jana mara baada ya kupokea taarifa na kutembelea mgodi huo ili kuona shughuli za uzalishaji zikoje.Waziri Mkuu alisema atamuagiza pia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu ya Serikali (CAG) ili apitie mahesabu ya kampuni hiyo tangu mwaka 2011 walipoanza uzalishaji. “Mbali na CAG, itabidi Gavana wa Benki Kuu naye aangalie utumaji wa fedha uliokuwa ukifanywa kama ulifanyika kwa halali,” alisema. Katika maswali aliyoyauliza Waziri Mkuu, alitaka kufahamu ni kwa nini kampuni hiyo haijalipa gawio kwa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) ambao ni mbia (asilimia 30) na kampuni ya Intra Energy Limited (asilimia 70), licha ya kuwa imekuwa ikifanya uzalishaji wa makaa ya mawe na kuyasafirisha kwenye viwanda hapa nchini na nje ya nchi. “Taarifa