Posts

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
Posted by JAFE MALIBENEKE at Thursday, May 19, 2016 Email This BlogThis! Share to Twitter

Edward Lowassa na Fredrick Sumaye Watajwa Katika Sakata la Uuzwaji wa Nyumba za Serikali.......Mbowe Atoa Ufafanuzi

Image
Uuzwaji wa nyumba za serikali umegeuka mwiba huku wabunge wakiendelea kuhoji hatua zilizochukuliwa kutokana na kadhia hiyo Hatua hiyo iliyotekelezwa mwaka 2002  hadi 2004 ilizusha malalamiko mengi tangu wakati huo na sasa imeibuka tena bungeni Akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano jana, mbunge wa Nachingwea, Hassani Masala (CCM) alihoji mfumo uliotumika kuuza nyumba za serikali Alisema haungi mkono kwa vile umesababisha viongozi wapya wa serikali wanaoteuliwa kujikuta wakiishi katika nyumba za wageni. Mjadala huo uliibuliwa juzi na msemaji wa kambi ya upinzani Bungeni kupitia kwa waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Godbless Lema kabla ya Mwenyekiti wa Bunge Mussa Azzan Zungu kumtaka kuondoa baadhi ya maneno katika hotuba yake likiweo suala la uuzwaji wa nyumba za serikali.  Ritha Kabati Amvaa Lowassa Akichangia mjadala huo jana, Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Ritha Kabati alimtaja aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demok

SEVILA MABINGWA TENA EUROPA LEAGUE 2016,WAICHAPA LIVERPOOL

Image
Sevilla players pose with the trophy after completing a stunning second-half comeback to win a record third consecutive Europa League Liverpool coach Jurgen Klopp (centre) tries to console his players after losing a fifth consecutive cup final as a manager The Spanish side, who have not won an away game in La Liga all season, celebrate victory in front of their fans in Basle The Liverpool manager gives goalscorer Daniel Sturridge a hug (left) while Martin Skrtel puts an arm around Philippe Coutinho (right) Sevilla captain Coke wheels away after scoring the first of his two goals in the 3-1 victory over Liverpool Coke netted his second six minutes after his first despite calls for offside from enraged Liverpool players France striker Kevin Gameiro grabs the badge on his shirt after bringing Sevilla level 17 seconds into the second half Sturridge (centre) opened the scoring for Liverpool with a stunning long-distance shot struck with the outside of his boot Both sides line up

A-Z Fumanizi la Shilole, Madee!

Image
Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Stori: Gabriel Ng’osha na Sifael Paul YAMEIBUKA tena? Ni takriban mwaka mmoja na ushee tangu skendo ya msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na staa mwenzake wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ kudaiwa kufumaniwa na aliyekuwa mpenzi wa Shilole, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ambapo kila mtu alijitetea kwa upande wake.   Shilole na Madee Lakini wikiendi iliyopita, Nuh aliibuka na kuifunua upya skendo hiyo ya kumfumania Shilole laivu akimsaliti na Madee wakiwa hotelini, jambo lililomuuma kila anapokumbuka tukio hilo. Kwa mujibu wa Nuh, aliwakuta wawili hao wakivunja amri ya sita huku mmoja wao akiwa mtupu kama alivyozaliwa. Nuh alidai kuwa hapendi sana kuzungumzia suala lake la uhusiano wa kimapenzi kwani linawafanya watu kusahau muziki wake na kusikiliza mambo mengine nje ya kazi zake. Lakini kuhusu kumfumania Shilole na Madee hotelini walipokuwa kwenye shoo katika moja ya Mikoa ya Tanzania Bara (hakusema mko

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inataka Bilioni 864 kwenye bajeti ijayo

Image
May 16 2016 Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewasilisha Bungeni Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2016/2017 pamoja na kuwasilisha maombi ya fedha zaidi ya Bilioni 864. Hotuba imesomwa na Waziri wake Charles Kitwanga . Waziri Kitwanga amesema..>>>  ‘ Wizara yangu imeendelea kupokea na kushughulikia malalamiko ya watumishi ndani ya vyombo Wizara pamoja na wananchi wanaolalamikia utendaji wa vyombo hivyo ’ ‘ Katika kipindi cha Julai 2015 hadi Machi 2016 Wizara kupitia idara ya malalamiko 238 yanayohusu utendaji kazi wa vyombo vya kijeshi ndani ya Wizara kutoka kwa wananchi kupitia njia ya barua, simu, barua pepe, nukushi pamoja na mahojiano ’                ‘ Ili kuiwezesha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kutekeleza majukumu yake katika mwaka wa fedha 2016/2017, naliomba Bunge lipitishe makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ya jumla ya Shilingi 864,106,290,105 ‘ ‘ Kati y

WAZIRI UMMY MWALIMU AMETAKA WATUHUMIWA WANAOONEKANA KATIKA VIDEO INAYOSAMBAA MITANDAONI WAKIMBAKA MWANAMKE WAFIKISHWE MAHAKAMANI

Image
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametaka watuhumiwa waliombaka mwanamke eneo la Dakawa mkoani Morogoro na video yake kusambazwa wafikishwe mahakamani haraka. Haya ndio maneno ya Waziri Ummy Mwalimu katika Akaunti yake ya Facebook: Ndugu zangu! Nimeiona dakika chache zilizopita video ya mwanamke akidhalilishwa na wanaume wawili (mashuka yanaonyesha eneo la Tiff Lodge Wami - Dakawa). Nakemea kwa nguvu zangu zote waliofanya kitendo hiki. Ni unyama uliopitiliza. Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu. Hatuwezi kuuvumilia. Nimeshamuomba Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP wachukue hatua stahiki haraka. Pia nawaomba sana ndugu zangu msisambaze hizo video. Hiyo ni kuendelea kumdhalilisha huyo dada. Amebakwa na pia wamerekodi hilo tukio! Hii haistahimiliki na haivumiliki. Wanawake wote na wanaume wapenda haki na maendeleo ya wanawake tukemee kwa nguvu zetu zote unyama huu. SOMA MAELEZO YA MDADA ALIYELETEWA VIDEO HIYO  Jana usiku kaka yangu mmoja kaniletea video

kikis

Image
Msanii wa filamu, Aunt Ezekiel na mpenzi wake Mose Iyobo pamoja na mtoto wao ‘Cookie’, wapo kwenye mchakato wa kuandaa filamu ya fimilia. Mose Iyobo ambaye pia ni dancer wa Diamond, ameiambia Bongo5 kuwa tayari wapo kwenye mchakato wa kauandaa kazi hiyo. “Kuna kazi za filamu zinakuja, mtaziona tu, tena familia yetu yote mtaiyona,” alisema Mose. “Unajua Cookie yupo kwenye mikono ya Mama muigizaji na Baba dancer, kwa hiyo ingawa mwenyewe anaweza kuchagua kwa kwenda lakini sisi ndiyo taa yake, kwa hiyo mambo yakikaa sawa mtamuona, Cookie, Baba yake na Mama yake kwenye filamu moja,” alisema Mose. Pia Mose alisema mtoto wao ‘Cookie’ ataonyeshwa kwa mara ya kwanza hadharani tarehe 21 mwezi huu baada ya kutimiza mwaka mmoja. Bongo5

RC PAUL MAKONDA ASEMA WANAWAKE NDIO CHANZO CHA UFISADI NCHINI

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikagua machinjio ya Vingunguti baada ya kuzungumza na wananchi wa Kata ya Mnyamani Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omari Kumbilamoto. Wananchi wa Kata ya Mnyamani Vingunguti wakiwa kwenye mkutano huo wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (hayupo pichani) Makonda (kushoto), akisalimiana na wananchi na viongozi wakati akiwasili kwenye mkutano huo. Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omari Kumbilamoto (wa pili kulia), akizungumza katika mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuzungumza na wananchi. Kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Mnyamani, Shukuru Dege, RC. Makonda na Meneja wa Benki ya Wananchi Dar es Salaam (DCB), Tawi la Ukonga, Das Ndazi. Meneja wa Benki ya Wananchi Dar es Salaam (DCB), Tawi la Ukonga, Das Ndazi (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu suala zima la utoaji wa mikopo. RC Makonda

COLLABO YA DIAMOND PLATINUMS NA CRIX BROWN YAIVA,CHECK HAPA MIPANGO YOTE LIVE

Image
On Another Move.... Diamond Platnum to make Collabo with Crix brown Good news to Bongo Flavor Artist from Tanzania Diamond Platnumz, After A big Television of MTV BASE Africa wrote this Message;@diamondplatnumz working on a future project with #chrisbrown,” wameandika., due to that message from Mtv it have brought many Understanding between Fans of Diamond Platnumz, Okay let us wait and see the next move from Bongo flavor artist from Tanzania Apart from Crix brown Diamond have got another new connection to Miley Cyrus and Shakira Miley Cyrus Shakira

Mzee Zahir Zorro alivyowakosha wakazi wa Mwanza

Image
Mwanamuziki wa siku nyingi nchini kwenye muziki wa dansi na rhumba, Zahir Ally Zoro (pichani) usiku wa kuamkia Jumamosi aliwaburudisha vilivyo wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kufanya shoo kali katika Ukumbi wa Kilimanjaro Hotel, Nyegezi. Ilikuwa ni shoo yake ya kwanza kwa mwaka huu 2016 ambapo wapenzi wa muziki wa dansi na rhumba walivutiwa na burudani iliyotolewa na Zorro hasa baada ya kuimba live wimbo uitwao “Beatrice” ambao ni wimbo uliofanya vizuri sana wakati anauachia akiwa na bendi yake ya Mass Media. Burudani kutoka kwa Zahir Ally Zorro ikiendelea. JJ Band kutoka Jijini Mwanza, pia walifanya shoo kali katika kumsindikiza Zahir Ally Zorro. Ilikuwa Shoo kali sana ikizingatiwa kwamba wakazi wa Jiji la Mwanza huwa wanaumiss muziki wa dansi/rhumba. Twiga Band kutoka Jijini Mwanza pia walimsindikiza Mzee Zahir Ally Zorro ambapo walifanya shoo nzuri na hivyo kuonyesha kwamba kwa siku za hivi karibuni Mwanza kutakuwa na bendi nzuri. Zahir