Posts

BREAKING NEWS :MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA APATA AJALI NA KUFARIKI DUNIA

Image
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa Vijijini  Ndg.Sinkala Mwenda amepata ajali jana  jioni  eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu lakini bahati mbaya akafariki dunia muda mfupi wakati madaktari wakijitahidi kuokoa uhai wake. Pumzika kwa amani Kamanda Sinkara.!

Gardner G Habash Anajuta Kuachana Na Huyu Mke Wake, Vipi Kuhusu Lady Jaydee?

Image
Mtangazaji wa Clouds FM, Gardiner G Habash amesema miongoni mwa vitu anavyojutia katika maisha yake ni kuachana na mke wa kwanza aliyezaa naye mtoto wa kike, Karen, ambaye kwa sasa yupo mwaka wa pili chuoni. Akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gardiner alisema kutokana na kubadilisha kazi ya awali na kuwa mfanyabiashara kipindi anaishi Mwanza, alijikuta akiiweka kwenye mawe ndoa yake kwa kukosa muda nayo. “Yale mazingira niliyokutana nayo Mwanza ya kibiashara yalisababisha nikaachana na mke wangu wa kwanza, ni kitu ambacho najuta,”alisema staa huyo. “Nisije nikasema sana mwisho nikalia hapa bure,” alisisitiza. karen_riri Mtoto wa Gardiner  Amesema mke wake huyo kwa sasa aliolewa japo wana mawasiliano mazuri sababu ya mtoto wao. Kuhusu kama anajuta kuachana na Lady Jaydee, Gardiner alisema: Siwezi kusema najuta kwamba alitokea kwenye maisha yangu na siwezi kusema kwamba najuta tuliachana.  Lakini ninachoweza kusema tu kwamba kwa sua

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME WAZINDUA RASMI DARAJA LA KIMATAIFA LA RUSUMO NA KITUO CHA HUDUMA

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na  Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakikata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi rasmi wa  daraja la kimataifa la Rusumo, mchana huu. Tukio hilo limehudhuriwa na viongozi wa ngazi za juu serkalini kutoka Nchi zote mbili, Mabalozi, na Viongozi wa Taasisi mbambali za Kitaifa na Kimataifa.    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na  Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakifurahia mara baada ya kuzindua rasmi  daraja la kimataifa la Rusumo, mchana huu. Tukio hilo limehudhuriwa na viongozi wa ngazi za juu serikalini kutoka Nchi zote mbili, Mabalozi, na Viongozi wa Taasisi mbambali za Kitaifa na Kimataifa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 6, 2016 amezindua daraja la kimataifa la Rusumo na Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani (OSBP) cha Rusumo.  Zoezi hili la uzinduzi  limefanyika kwa pamoja kwa kuwahus

Mkurugenzi Manispaa ya Ilala aahidi kuisafisha Dar

Image
    Baadhi ya magari yanayotumika kuzoa taka  yakiwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja . Mwonekano wa baadhi ya magari ya makampuni yanayozoa uchafu katika Manispaa ya Ilala jijini Dar. Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi,  (wa kwanza kushoto) akikagua baadhi ya vifaa vinavyotumika kufanyia usafi. Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni binafsi inayojishughulisha na kufanya usafi wakiwa mbele ya vifaa vyao vya kazi baada ya ukaguzi. Mngurumi (wa pili kushoto) akizungumza jambo mara baada ya ukaguzi. MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Isaya Mngurumi,   amesema atahakikisha kuwa jiji la Dar linakuwa safi na lenye kuvutia. Hayo ameyasema leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar alipokuwa akifanya ukaguzi wa  vitendeakazi  vinavyotumiwa na makampuni binafsi  kusafisha mazingira yaliyopo ndani ya wilaya yake. Mngurumi  amesema kila kampuni iliyochukua tenda ya kufanya usafi  ihakikishe ina vifaa vya kutosha ambavyo ni kama

Mwisho mwampamba kortini

Image
Mwisho Ephraim Mwampamba akiwa Mahakamani. NA Dustan Shekidele, RISASI mchanganyiko MOROGORO: Ikiwa takriban siku 40 tangu baba yao, Dk. Ephraim Njawala Mwampamba, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) afariki dunia, mwanaye Mwisho Ephraim Mwampamba ameburuzwa mahakamani na kaka yake, Robert Ephraim Mwampamba, Jumatatu iliyopita. Kesi hiyo namba 197/2016 ilisikilizwa katika  Mahakama ya Mwanzo Chamwino iliyopo Mazimbu mkoani hapa, ambapo Robert alimburuza mahakamani hapo mdogo wake huyo waliyechangia baba, akimtuhumu kumtukana matusi ya nguoni huku sehemu kubwa ya matusi hayo yakiwa ya kibaguzi. Robert Ephraim Mwampamba anayedaiwa kumbuluza Mwisho mahakamani. Kabla ya kufikishwa mahakamani hapo, Mwisho alitokea mahabusu alikolala kwa siku moja ambapo baada ya kesi kusikilizwa, alipata dhamana huku ikidaiwa kuwa kesi hiyo imemkalia vibaya kutokana na ushahidi unadaiwa upo. Akisoma kesi hiyo mahakamani hapo, Hakimu Amina Chungulu alidai Mwisho anatuh

PRESIDENT MAGUFULI’S FIRST WORKING VISIT TO THE REPUBLIC OF RWANDA

Image
H.E Dr. John Pombe Joseph Magufuli, President of the United Republic of Tanzania will pay his first working visit to the Republic of Rwanda on the 6-7th of April 2016, following an invitation from President Paul Kagame. During the visit, President Magufuli and his host President Kagame are expected to preside over the grand opening of the Rusumo International Bridge and One Stop Border Post (OSBP), which are significant facilities developed under the auspices of the East African Community. The said infrastructure located on the Tanzania-Rwanda border, is vital in not only accelerating cross border interaction between the two countries, but also enhance linkage between the land locked countries of Eastern and Central Africa and the Indian Ocean. After the inaugural ceremony, the two leaders will proceed to Kigali where they will hold bilateral talks and together lay a wreath at the Kigali Genocide Memorial, commemorating the 1994 Rwanda Genocide.  As his fir

TRA wavuka lengo kwa kukusanya Sh trilioni 1.3

Image
Akizungumza na waandishi habari Jijini Dar es salaam kuhusu mwenendo wa makusanyo ya mapato, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata amesema ongezeko la makusanyo linatokana na jitihada zinazofanyawa na TRA katika kuongeza kasi ya usimamizi wa ufuatiliaji na ukadiriaji wa kodi kwa usahihi. “Tumejitahidi kudhibiti biashara za magendo katika maeneo ya Ukanda wa Pwani wa Bahari ya Hindi, mipakani na maziwa yote, Alisema Kamishna Mkuu. Amesema hadi kufikia Machi 2016, tayari TRA imekusanya shilingi Trilioni 9.89 sawa na asilimia 99 ya lengo la makusanyo ya shilingi trilioni 9.99 mwaka wa fedha 2015/2016. Bw. Alphayo amewasisitiza wafanyabiashara ambao hawajasajili biashara zao kufanya hivyo mara moja kupitia ofisi za TRA zilizoko katika maeneo ya biashara zao na kwa wale wanaoshiriki vitendo vya uingizaji bidhaa za magendo nchini amemewata kuacha mara moja kwani vinaipotezea serikali mapato. “Wakikamatwa katika msako unaoendelea watachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kutaif

HAWA NDO MAJAMBAZI MAARUFU WA KUIBA MAGARI HAPA DAR...WADAKWA NA POLISI WAKIWA NA MAGARI YA WIZI NYUMBANI KWAO .TAZAMA HAYA MAGARI WALIYO IBA

Image
wamedakwa waligeuza nyumba yao maeneo ya Boko/Bunju Yard ya Magari ya Wizi , Kama kuna ndugu jamaa au Rafiki aliibiwa Noah mpe Taarifa afike Oysterbay police ‪#‎ UlinziShirikishi‬

Ndege Zagongana na Kuwaka Moto, Jakarta – Indonesia

Image
Ndege ya kubeba abiria ya Shirika la Batik Air Jakarta – Indonesia UWANJA wa Ndege wa Mji wa Jakarta nchini Indonesia umefungwa kwa muda baada ya ndege mbili kugongana usiku wa kuamkia leo. Ndege ya kubeba abiria ya Shirika la Batik Air ambayo ni Air Boeing 737-800, yenye namba za usajili PK-LBS na namba ya safari 7703 kutoka Jakarta Halim Perdanakusuma kwenda Ujung Padang (Indonesia) ikiwa na abiria 49 na stafu 7 wakati ikipaa, ubawa wake uligonga sehemu ya nyuma ya ndege ya Shirika la TransNusa yenye namba za usajili PK-TNJ iliyokuwa ikibururwa kwenye njia ya kutumiwa na ndege kupaa au kutua. Ndege ya kubeba abiria ya Shirika la Batik Air iliyopata ajali. Ubawa wa pembeni wa ndege ya Batik Air uligonga mabawa ya nyuma ya ndege ya TransNusa na bawa la kushoto na kusababisha tenki la mafuta la ndege ya TansNusa kupasuka na kushika moto papo hapo. Muda mfupi tu kikosi cha zimamoto cha uwanjani hapo kilifika eneo la tukio na kuanikisha kuuzima moto huo. Hata h

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 05.04.2016

Image

MAGAZETI YA UDAKU EO TAREHE 05/04/2016

Image

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image