Posts

WATUHUMIWA WALIOKUTUNGUA HELKOPTA SERENGETI WATIWA MBARONI.

Image
Njile Gonga (28) Huyu ndiye Jangili anadaiwa kutungua helkopta katika pori la Akiba la Maswa lililopo katika Wilaya ya Meatu Mkoani, ambapo katika tukio hilo rubani wa helkopta hiyo Rodgers Gower (37) raia wa uingereza huku Mwenzake Nicholas Beste (43) raia wa Afrika Kusini akinususrika kifo.   Iddy Mashaka (49) ambaye ndiye alikuwa Mkuu wa kitengo cha Interejensia katika hifadhi ya taifa Ngorongoro, ambaye anadaiwa kuwa kiunganishi Mkuu wa kutekeleza tukio la kutunguliwa kwa helkpta hiyo.  Hali ya ulinzi na usalama ilivyokuwa imehimarsihwa mahakamani pamoja na kituo cha polisi Bariadi leo hii.  Watuhumiwa wakiwa ndani ya gari la polisi, baada ya kufikishwa kituo cha polisi Bariadi wakitokea wilayani Meatu kwa ajili ya kufikishwa mahakamani.

IMPORTANT OF HAVING SEX

1 . Having sex relieves headaches. Every time you make love , it releases the tension in the veins of the brain. 2 . A lot of sex can clear the stuffy nose. Sex is a natural antihistamine . It helps to fight against asthma and spring allergies . 3 . Making love is a spectacular beauty treatment. Scientists have discovered that when a woman has sex , it produces a large amount of estrogen that gives shine and softness to hair. 4 . Sex is one of the safest sports. Make love often strengthens the muscles of male and female body. It's more enjoyable than swimming 20 laps in the pool and there is not need special shoes! 5 . Make love slowly , smoothly and in a relaxed way reduces the chances of suffering dermatitis, skin rashes and acne . The sweat produced cleanses the pores and makes your skin glow . 6 . Lovemaking can burn all the calories you have accumulated during the romantic dinner before bedtime. 7 . Sex is a divine remedy for depression. It releases endorphins in

Bifu Za Mastaa Bongo… Zilizoacha Historia

Image
Makala: Chande Abdallah Ukiacha bifu nzito zilizotikisa dunia mpaka kusababisha vifo vya mastaa wakubwa kama Notorious BIG na Tupac, zifuatazo ni orodha ya bifu zilizotikisa kwenye tasnia ya muziki Kibongobongo na kuacha historia kubwa kiasi kwamba hata mastaa hao walivyopatana mashabiki wao walibaki vinywa wazi kwa kutoamini kilichotokea. Ali ChockVs Asha Baraka Ali Chock Asha Baraka Bifu lao lilianza baada ya kuhitilafiana kwenye uhamisho wa mpiga gitaa wa Twanga Pepeta, Shakashia ambapo Asha Baraka akaanza kudai gari alilomnunulia Chocky na kufikishana mahakamani ambapo bifu lao likazidi kushika kasi kiasi cha kuapiana kutozikana. Hata hivyo, wawili hawa walimaliza bifu lao na kukumbatiana ndani ya Studio za Global TV Online zilizopo Bamaga-Mwenge. Dudu Baya Vs Mr Nice Dudu Baya Mr Nice Wawili hawa walionesha kuwa na bifu zito baada ya Dudu Baya kumtwanga makonde Mr Nice mbele ya mashabiki wake na kufikishana mahakamani ambapo Dudu baya aliswekwa rumande. H

BREAKING NEWZ:HIVI NDIVYO WATU WALIVYO NUSURIKA NA KIVUKO CHA MV MAGOGONI

Image
Kigambon majanga  abiria imebidi wajitose baharini kuokoa maisha yao baada ya kivuko kupoteza muelekeo asubuhi hii baada ya kuzidiwa na idadi kubwa ya mizigo na abiria

BREAKING NEWZ:Ajali ya basi la Simba na lori yaua Tanga

Image
WATU kadhaa wanahofiwa kufariki dunia wakiwemo madereva wawili baada ya basi la abiria la Simba Mtoto lililokuwa linakuja jijini Dar es Salaam kupata ajali kwa kugongana na lori uso kwa uso katika kijiji cha Pangamlima mkanyageni, Barabara ya Tanga-Segera mkoani Tanga leo asubuhi na inasaidikiwa watu kadhaa wamefariki. Tovuti hii imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga ambaye amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa zoezi la uokoaji bado linaendelea hivyo likimamilika atatoa taarifa rasmi kuhusu ajali hiyo. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde

RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA TANZANIA PAMOJA NA KUFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA WODI YA WAZAZI YA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir ambaye amelazwa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir akimuombea Dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya Rais Dkt. Magufuli kumjulia hali Hospitalini hapo.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa Dua na ndugu na jamaa mbalimbali ambao walifika Muhimbili kuwaona wagonjwa wao. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea katika Wodi ya Wazazi kufanya ukaguzi wa ghafla mara baada ya kuwasili akitokea Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Wazazi na amewahidi kutatua kero zao ndani ya muda mfupi ujao.PICHA NA IKULU

BREAKING NEWZZ.....Mkuu wa majeshi wa Korea ya Kaskazini amenyongwa kwa tuhuma za ufisadi

Image
​ Mkuu wa majeshi ya Korea Kaskazini kanyongwa kwa tuhuma uhujumu/ufisadi kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Korea ya kusini. Mkuu huyo wa jeshi la Korea Kaskazini hajatajwa kwenye vyombo vya habari vya Korea tangu katikati mwa Januari. Generali Ri Yong-gil inaripotiwa alinyongwa wiki iliyopita na tukio hilo linatokea wakati dunia ikiinyooshea kidole Korea ya Kaskazini juu ya urushwaji roketi ya masafa marefu Jumapili iliyopita.  North Korea has executed its army chief of staff, Ri Yong Gil, South Korea's Yonhap news agency reported on Wednesday, which, if true, would be the latest in a series of executions, purges and disappearances under its young leader. The news comes amid heightened tension surrounding isolated North Korea after its Sunday launch of a long-range rocket, which came about a month after it drew international condemnation for conducting its fourth nuclear test. A source familiar with North Korean affairs also told Reuters that Ri had

Mrembo Adaiwa Kutelekeza Mwanaye Kisa Mlemavu

Image
  Mtoto Ilham Mohamed A RUSHA: Hujafa  hujaumbika! Mtoto Ilham Mohamed  19, (pichani) mkazi wa Ngarenaro jijini hapa amezaliwa akiwa na ulemavu wa viungo kiasi cha kumfanya aonekane mtoto mdogo, lakini bibi wa mtoto huyo, Zuleha Ismail anacholalamikia ni kitendo cha mama Ilham, Sapna Parakash kumtelekeza mwanaye. Mtoto huyo akiwa na bibi yake, Zuleha Ismail BIBI WA MTOTO NDIYE MWENYE KISA Akizungumza kwa masikitiko na gazeti hili mwanzoni mwa wiki hii nyumbani kwake, Ngarenaro, bibi Ilham alisema alitelekezewa mtoto huyo mwaka 1997 na mama yake kwenda kuishi na mwanaume mwingine baada ya kuachana na mtoto wake aliyemtaja kwa jina la Mohammed Ismail. Mama Ilham, Sapna Parakash MSIKIE MWENYEWE “Mama wa mtoto huyu amenitelekezea hapa. Aliwahi kuja mara moja lakini hakutaka kumshika wala kumbeba. Alimwambia ambariki ili apate mdogo wake kwani licha ya kutafuta tiba na mwanaume aliyenaye lakini ameshindwa kupata ujauzito.”  AELEZEA NDOA YA SAPNA NA MWAN

Kwani ni lazima uolewe???

Image
HAKIKA sifa na utukufu zimuendee yeye Jalali ambaye ametupa nafasi ya kuweza kukutana tena siku ya leo hii.Moja ya kitu kinachonishangaza kwa wanawake wengi ni kuwa na ndoto zaidi ya kuolewa kuliko kufikia ndoto zao halisi kwa maana ya maono ambayo wamekuwa wakiyawaza kwa muda mrefu. Tabia hii ya wanawake wengi ya kutaka au kukimbilia kuolewa si jambo baya, kama ikitokea ukapata bahati hiyo ya kuolewa lakini kama haitatokea sio ishu sana bali kumbuka kuwa kuna maisha nje ya kuolewa nayo si mengine ni maisha ya kufikia ndoto zako. Kama haujaolewa Ni kweli Mungu alituumba na kutuweka duniani ili tuujaze ulimwengu lakini hata hilo la upande wa pili nalo ni la kushukuru pindi linapokukuta, linauma ila kupunguza maumivu yake ni kulikuba li na kujifunza vitu vingine vingi ili uweze kuendelea na maisha mengine. Hulka ya wanawake kuolewa imekuwa ni sehemu ya wengi wao, utamsikia binti wa miaka 16 amemaliza darasa la saba anataka kuolewa eti kisa amefeli mtihani wa mwisho,

Mafuta ya Wizi ya Diesel Yakamatwa Bandari ya Dar

Image
Jeshi la Polisi kitengo cha majini limekamata tani zipatazo 20 za mafuta ya dizeli yaliyokuwa katika Jahazi lililokuwa kando ya bandari ya Dar es Salaam likijiandaa kwa safari ya kwenda Zanzibar. Mkuu wa Kitengo hicho cha Polisi cha Wanamaji, Bw. Mboje John Kanga amesema watu watano wanashikiliwa kuhusiana na tukio hilo na uchunguzi zaidi unaendelea.

ALIKIBA NA WILDAID WATOA WIMBO KUPINGA UJANGILI WA TEMBO.

Image
 Video ya wimbo huo imerekodiwa jijini Los Angeles Marekani ambapo Alikiba alikuwa mgeni rasmi kweye hafla maalum iliyoandaliwa na shirika la uhifadhi wanyamapori la kimataifa la WildAid. Chini ya kauli mbiu “Ujangili Unatuumiza Sote”, Alikiba amefanya kazi na WildAid kuongeza uelewa wa Watanzania kuhusu tatizo la ujangili wa tembo ambao wamechinjwa kwa maelfu miaka ya hivi karibuni kwa ajili ya meno yao. Hatimaye Alikiba ametoa wimbo wake “Lupela” uliokuwa ukisubiriwa na mashabiki wake Afrika Mashariki kwa wiki kadhaa sasa. Wimbo huo ni sehemu ya kampeni ya “Ujangili Unatuumiza Sote” iliyozinduliwa mwaka jana na WildAid na African Wildlife Foundation mashirikia yanayofanya kazi pamoja barani Afrika na Asia kupunguza mahitaji ya bidhaa zitokanazo na wanyamapori na kuongeza uelewa wa janga la ujangili linaloikabili Afrika. Katika uzinduzi uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Slipway jijini Dar es salaam, wageni mbalimbali na waandishi wa habari walipata

ASILIMIA 10 YA WATANZANIA WANAMILIKI UCHUMI WA NCHI’

Image
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua  Mkutano wa Wadau wa Uwezeshaji  Wananchi Kiuchumi kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua  Mkutano wa Wadau wa Uwezeshaji  Wananchi Kiuchumi kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kaipata maelezo kutoka kwa Bi Fatuma Kango kuhusu Msimbomilia  au Barcode baada ya kufungua Mkutano wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es slaam Februari 9, 216. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafisi nchini, Reginald Mengi baada ya kufungua mkutano wa  Wadau wa Uwezeshaji Wananchi  Kiuchumi kwenye

Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Apata Ajali Mbaya ya Gari

Image
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa akiwemo mke wa waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda baada ya gari walilokuwa wakisafiria kumgonga mwendesha pikipiki wakati akikatisha barabara katika eneo la Mkundi barabara ya Morogoro Dodoma manispaa ya Morogoro. Ajali hiyo imetokea majira ya saa nane mchana katika eneo la Mkundi ikihusisha gari lenye namba za usajili STK 9242 gari la mke wa waziri mstaafu Mizengo Pinda likitokea Dodoma kwenda jijini Dar-es-Salaam  na pikipiki Majeruhi wengine wa ajali hiyo ni dereva wa gari hilo Bw Anjelo Mwisa, mlinzi wa mke wa waziri mkuu mstaafu Gaudensi Tembo na kijana wa familia ya Mama Tunu Pinda Bwana Gilbert Sampa. Kwa upande wake mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa mkoa wa Morogoro Dr Rita Liamuya amesema hali ya mke wa waziri mkuu mstaafu na majeruhi wengine zinaendelea vizuri na kueleza kuwa  majeruhi hao wanatarajia kuhamishiwa jijini Dar-es-Salaam kwa matibabu zaidi TOA MAONI YAKO

Breaking News.....Watuhumiwa 9 walio tungua HELKOPTA wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu wakiwa na bunduki 27

Image
Watuhumiwa 9 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu wakiwa na bunduki 32 pamoja na meno matatu ya Tembo. .. Watuhumiwa walihusika kumuua Rubani wa Helicopter ya Mwiba. ... Mmoja alikamatwa akafanikisha wengine 8

UN Yalaani Korea Kaskazini Kurusha Kombora la Masafa Marefu

Image
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani hatua ya Korea Kaskazini kulipua Kombora la masafa marefu. Katika taarifa iliyotolewa baada kikao cha dharura mjini New York imesema baraza limekubaliana kuiwekea nchini hiyo vikwazo vya kiuchumi mapema iwezekanavyo,lakini pia baraza hilo limeilaumu Korea Kaskazini kwa kukiuka maazimio ikiwa ni pamoja na hatua yake ya kulipua bomu la nyuklia mwezi January. Kauli hizo za kuilaani hatua hiyo Korea Kaskazini zimetowa maeneo mbali mbali duniani pamoja na kulaumiwa na dunia Korea Kaskani yenyewe imesema imelipua kombora hilo ili kutuma mitambo ya satellite angani,jambo linalopingwa na mahasimu wake kuwa hiyo ni danganya toto kwani ina nia ya kujaribu kombora angani. Akitoa taarifa ya kulaani hatua hiyo Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa ambaye pia ni Balozi wa Venezuela Rafael Ramirez Carreno amesema wanachama wamekubaliana kulaani kile alichosema ukiukwaji Korea Kaskazini wa azimio la Umoja wa Mataifa. Rafael Ra