BREAKING NEWZ:Ajali ya basi la Simba na lori yaua Tanga

ajali ya basi na lori (1)
WATU kadhaa wanahofiwa kufariki dunia wakiwemo madereva wawili baada ya basi la abiria la Simba Mtoto lililokuwa linakuja jijini Dar es Salaam kupata ajali kwa kugongana na lori uso kwa uso katika kijiji cha Pangamlima mkanyageni, Barabara ya Tanga-Segera mkoani Tanga leo asubuhi na inasaidikiwa watu kadhaa wamefariki.
ajali ya basi na lori (2)
Tovuti hii imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga ambaye amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa zoezi la uokoaji bado linaendelea hivyo likimamilika atatoa taarifa rasmi kuhusu ajali hiyo.
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde
ajali ya basi na lori (3)

Comments

Popular posts from this blog