Posts

EXCLUSIVE: JOHARI AJIFUNGUA KWA SIRI

Image
Mshtuko! Baada ya kujulikana kwa wengi kuwa hana mtoto na madai ya kutokuwa na uwezo wa kuzaa, mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ ameshangaza baada ya siri kuvuja kuwa amejifungua kwa siri ambapo mtoto ana umri wa miezi 7 sasa, jambo lililozua mkanganyiko na mjadala mzito, Risasi Jumamosi linakupa ‘exclusive story’. Mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ UBUYU WAMWAGWA Mwandishi wetu akiwa katika majukumu yake ya kila siku, ghafla alipigiwa simu na chanzo chake cha kuaminika ambacho ni mtu wa karibu wa Johari na kuanika kila kitu huku kikiomba hifadhi ya jina. Mtoto wa Johari. Sosi: Wewe (kikitaja jina la mwandishi) una habari? Mwandishi: Zimejaa tele lakini hiyo yako inaweza kuwa ya muhimu zaidi. Sosi: Tena ni muhimu kweli, unajua kuwa Johari ana mtoto na sasa anatimiza miezi saba? Mwandishi: Unasema? Kajifungua lini na wapi? Sosi: Kitambo tu, mbona hata kwenye ukurasa wake wa Instagram kaweka hizo picha,

PICHA YA DIAMOND AKILA MISHIKAKI GUMZO

Image
Stori: Musa Mateja PICHA ya staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ inayomuonesha akila mishikika uswahilini imezua gumzo la aina yake mitandaoni. Staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila mishikika uswahilini. Picha hiyo ambayo ilipigwa mwaka mmoja uliopita maeneo ya Tip Top, Manzese jijini Dar, imeibua mjadala mpya juzikati kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengine walimpongeza kwa kitendo hicho wengine wakisema si cha hadhi yake. “Hii ni nzuri kwa mtu kama Diamond akila uswahilini. Anaonesha siyo mtu wa majivuno,” alichangia mdau mtandaoni huku wengine wakidai si sawa kwani anajiabisha. Nasibu Abdul ‘Diamond’. Baada ya chanzo hicho kuipata picha hiyo na kumtumia mwandishi wetu, Mikito Nusunusu ilimtafuta Diamond ili aweze kuizingumzia lakini simu yake haikupatikana lakini Bab Tale alipatikana na kukiri maelezo ya chanzo chetu. “Hakukuwa na ishu zaidi ya kuitamani mishikaki, tukaona tununue, mbona ni ya toka mwaka jana?,” alisema Bab Tale.

FASHION ZAMARADI MKETEMA AFUNIKA KWENYE TUZO ZA WATU 2015

Image
Shukran sana kwa WOTE mlioweza kusupport mpaka siku hii ya leo filamu ya KIGODORO ikaweza kuibuka kama FILAMU BORA kwa mwaka 2014 kupitia TUZO ZA WATU... ni ngumu kutaja mmoja mmoja ila kuna mtu nikimsahau nitakuwa mchoyo wa fadhila... my beautiful FAN marykimodo juhudi zako zimezaa matunda.. nakupenda sana...na WOOOTE walioweza kuchukua muda wao kunipigia kura.. NATHAMINI SANA SANA!! Huu ni ushindi wetu SOTE!!! Na zaidi imenipa changamoto ya kutengeneza kazi nzuri zaidi!! ASANTENI SANA SANA!!

BAADA YA KUPATA UMAARUFU KWA KUFANANA NA WEMA MWANADADA TUERNY SASA AAMUA KUJIMWAGA HUKO INSTAGRAM

Image

ALIKIBA, WEMA, JIDE WAFUNIKA TUZO ZA WATU...DIAMOND CHALI! TAZAMA LIST NZIMA YA WASHINDI HAPA

Image
! Hii ni orodha kamili ya washindi Mtangazaji wa redio anayependwa D’Jaro Arungu – TBC FM Kipindi cha redio kinachopendwa Papaso – TBC FM Mtangazaji wa runinga anayependwa Salim Kikeke – BBC Swahili Kipindi cha runinga kinachopendwa Mkasi – EATV Blog/Website inayopendwa Millardayo.com Muongozaji wa video anayependwa Hanscana Muongozaji wa filamu anayependwa Vincent ‘Ray’ Kigosi Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa Wema Sepetu Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa Hemedy PHD Mwanamuziki wa kike anayependwa Lady Jaydee Mwanamuziki wa kiume anayependwa Alikiba Filamu inayopendwa Kigodoro Video ya muziki inayopendwa Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz Kuna videos 4 za washindi na mastaa wengine walioshiriki tuzo hizo wakiongea baada ya utoaji wa tuzo hizo! KUZICHEKI. BONYEZA HAPA!

Lemutuz: Aliyevuruga Matokeo ya Jana Tuzo za Watu Yupo Busy Pia Kuvuruga Matokeo ya KTMA, Nitamtaja Laivu

Image
lemutuz_nation 'Well, huwa ninaongea na FACTS with   EVIDENCE   toka jana Usiku nimesema I smell fish kama nilivyo smell Fishy kwenye matokeo ya Miss Tanzania ya Mwaka jana kuna wajinga akili ndogo walioanza kunirushia matusi   LE AKILI KUBWAZZZZ   now ninasema jana HAKI HAIKUTENDEKA kuna wanaojaribu kuninyamazisha na matusi...great ninarudia tena sikuenda Shule kuwa mjinga so toka jana niliingia kwenye uchunguzi wa FACTS and   EVIDENCE of WHO IS BEHIND LAST NIGHT MESS   tayari nimeshaanza kupata the TRUTH....tena the   TRUTH   ni aliyevuruga jana yupo busy pia kuvuruga Matokeo ya KMTA....soon nitakuwa na " LE TAMKOZZZ FOUR LIVE"   and I mean it...stay tuned hahahaha U know makelele yangu toka jana yameleta kizungu zungu behind the scene wameshaanza kuvurugana na kunipigia niache hahahaha..now stay tuned   NITAMTAJA ALIYEVURUGA SHOW YA JANA NA FACTS   and EVIDENCE....na   I HOPE NITASAIDIA KUTOVURUGWA KWA KTMA   maana ni huyo huyo gademu mazafantazzz! Na the

WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WALIVYOTOKELEZEA NA WAKE ZAO KATIKA HAFLA YA KUCHAGUA MCHEZAJI WAO BORA 2014/15

Image
Kipa wa Manchester United, David De Gea (kulia) akiojiwa na Jim Rosethal (katikati) baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2014/15 wa Man Utd usiku wa kuamkia leo. David De Gea (katikati) alipokuwa akiwasili katika tuzo za Mchezaji bora wa mwaka wa Man Utd. Wayne Rooney akiwa na mke wake Coleen. Mshambuliaji wa Man Utd, James Wilson akiwa na mke wake. Marcos Rojo akiwa na rafiki yake Eugenia Lusardo. Ben Amos akiwa katika pozi na Dani Every. Tyler Blackett akiwa na mke wake Naomi Thomas. Phil Jones akiwa katika pozi na mpenzi wake Kaya Hall. Ander Herrera akiwa na mchumba wake Isabel Collado. Chris Smalling akiwa na mpenzi wake Sam Cooke. Jonny Evans akiwa na mke wake Helen. Michael Carrick akiwa na mke wake Lisa. Victor Valdes akiwa na mpenzi wake Yolanda Cardona. Radamel Falcao akiwa na mke wake Lorelei. Anders Lindegaard akiwa na mke wake Misse Beqiri. KIPA wa Manchester United, David de Gea ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Man

VIUNGO VYA BINADAMU VYAKAMATWA HUKO SIMIYU

Image
WAKAZI wawili wa Kijiji cha Bukigi kilichopo Kata ya Malampaka mkoani Simiyu, wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kupatikana na viungo vya binadamu. Waliofikishwa juzi katika Mahakama ya Wilaya ya Maswa mbele wa Hakimu Tumaini Marwa, ni Matheyo Yumbu (50) na Juma Mihangwa (28). Ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Nassibu Swedy kuwa Mei 5, mwaka huu, saa 11 alfajiri katika Kijiji cha Bukigi, washitakiwa hao walikutwa wakiwa na viungo hivyo. Alidai viungo walivyokutwa navyo washitakiwa hao ni fuvu la kichwa, mifupa ya miguu na mikono ya binadamu wakiwa wamevihifadhi katika mfuko wa sandarusi katika nyumba waliyoishi. Hata hivyo, washtakiwa hao walikana kosa hilo na kunyimwa dhamana na walipelekwa mahabusu hadi hapo kesi itakapotajwa tena Mei 29, mwaka huu na upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika.

ASIMAMISHWA KAZI BAADA YA KUMTUMIA MESEJI RAIS JAKAYA KIKWETE

Image
Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC,  Paul Mhumba  amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais  Jakaya Kikwete. Kuvuja kwa ujumbe huo na nambari ya simu iliyotuma, kumeibua hisia tofauti kuhusu usiri wa ofisi ya Rais katika kushughulikia malalamiko nyeti ya wananchi na kuwaweka njiapanda watoa habari za siri. Mhumba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Afya na Serikali Kuu  (TUGHE)  Tawi la KCMC anadaiwa  na Menejimenti ya KCMC kuwa ndiye aliyetuma ujumbe huo. Katika barua yake ya Mei 5, ilidai uchunguzi umebaini kuwa Mhumba ndiye mtumaji wa ujumbe huo. “Uongozi umepokea taarifa iliyotumwa mwishoni mwa Aprili na mwanzoni mwa Mei mwaka huu kwa njia ya ujumbe wa simu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete,”  . KCMC imedai katika barua hiyo, taarifa hiyo ya sms ilibeba ujumbe unaohusiana na matumizi mabaya ya fedha za hospitali hiyo unaofanywa na baadhi ya viongozi na Shirika la Msamaria M

JE, WAMJUA DADA YAKE NA DAIMOND?

Image
 

MADENTI MSINGI WAJIUZA SH.2000 HUKO MOROGORO!

Image
UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Farao! Kumekuwa na madai ya baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi mjini hapa kujiuza kwa waendesha bodaboda kwa gharama ya shilingi elfu mbili tu. Mwanafunzi anayedaiwa kujiuza kwa waendesha Bodaboda. Kufuatia madai hayo, mwandishi wa kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ mjini hapa alifanyia kazi madai hayo na kufanikiwa kumnasa Ally Shabani (34) ambaye ni dereva wa bodaboda akiwa na mwanafunzi wa darasa la nne, Shule ya Msingi ya Kiwanja cha Ndege mkoani hapa (jina tunalo).Tukio hilo la kushangaza na kusikitisha pia, lilijiri Jumamosi iliyopita saa 7 mchana katikati ya mashamba ya mkonge yaliyopo Kihonda Kwachambo ambayo yanamilikiwa na Jeshi la Magereza jirani kabisa la Gereza la Kihonda MAMA MZAZI AISAKA OFM Awali, mama mzazi wa denti huyo, Mariam Jongo alimtafuta Kamanda wa OFM Mkoa wa Morogoro na kumweleza kuhusu tabia ya bodaboda huyo na mwanaye, alisema: ”Naomba msaada wako baba, kuna dereva wa bodaboda nimempa tenda ya kumpeleka m

MASOGANGE ACHAFUA HALI YA HEWA TENA

Image
   

AUNTY EZEKEI IMENIFANYA NISIENDE LONDON MOSE IYOBO AFUNGUKA!

Image
    Imelda Mtema MPENZI wa staa maarufu wa filamu Bongo Aunt Ezekiel, Moses Iyobo ambaye pia ni dansa mahiri wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa hakwenda kwenye shoo iliyokuwa ikifanyika katika Jiji la London kutokana na hali ya mpenzi wake. Akichezesha taya na Centre Spread, Mose alisema kuwa alishindwa kujumuika na wenzake akihofia hali ya mpenzi wake hivyo alipenda kuwa naye karibu hadi kwenye hitimisho lake la kumpata mtoto wao. “Unajua nashindwa kwenda mbali sana kutokana na hali ya mpenzi wangu kwa kuwa nakuwa na wasiwasi sana hivyo hata London nimeshindwa kwenda kwani natamani kuona hatua kwa hatua ya bebi wangu hadi kumpata mtoto wetu,” alisema Mose.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS TAREHE 21.05.2015

Image
  MAGAZETI YA UDAKU LEO     MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI