SERIKALI YAZIFUTIA USAJILI TAASISI 24 ZISIZO ZA KISERIKALI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa asasi za kiraia (NGOs) zilizoorodheshwa hapa chini zimefutiwa usajili wake kuanzia tarehe ya tangazo hili; kutokana na kukiuka matakwa ya kisheria katika utendaji kazi. Kwa tangazo hili, uhalali wa kufanya kazi kwa mashirika haya umekoma na kuendelea kufanya kazi baada ya kufutiwa usajili ni kosa la jinai. Viongozi wa NGOs tajwa wanaagizwa kurejesha vyeti vya usajili kwa Msajili ndani ya siku thelathini baada ya tangazo hili. Orodha hii inahusisha mashirika ya kimataifa yanayofanya kazi Tanzania. Orodha ya mashirika ya ndani inachambuliwa na itatangazwa muda wowote kuanzia sasa; 1. AFRICA CALL MANAGEMENT INSTITUTE (ACMI) 2. AFRICA CENTRE FOR PEACE AND DEVELOPMENT 3.AIDOS - TANZANIA 4. ASSOCIAZIONE CASAGLIA ROSETTA 5. COPE-COOPERATION DEVELOPMENT COUNTRIES 6. DAN CHURCH AID 7. DIGITAL LINKS TANZANIA 8. EKKLESIA INTERNATIONAL TANZANIA 9. FEED THE CHILDREN TANZANIA 10. GLOBAL ALLIANCE F