KIJANA AMCHINJA MAMA YAKE MZAZI NA KUTOA TAARIFA UONGOZI WA KIJIJI!!-SINGIDA,SHUHUDIA HAPA



Jeshi la Polisi mkoani Singida, linamshikilia Jumanne Yusuph (33), Mkazi wa Kijiji cha Mtamaa ‘A’ Manispaa ya Singida kwa kumuua mama yake mzazi, Tausi Abdalah (56) kwa kumchinja na kisu shingoni, juzi alfajiri katika kijiji hicho.
Baada ya kumchinja mama yake, kijana huyu alikwenda kwa mama yake mkubwa kutoa tarifa, kisha tena akaenda kwa mwenyekiti wa kijiji kumjulisha kuwa amefanya mauaji ya mama yake.
Kabla ya mauaji hayo, mtuhumiwa huyo aliwaua ng’ombe watatu wa mama yake kwa kuwacharanga na mapanga.
Pia inadaiwa kuwa aprili 16 mwaka huu, mtuhumiwa huyo alifika kwa mama yake na kubomoa sehemu ya nyumba yake kisha akatokomea kusikojulikana.Kabwe Zuberi Zitto (born 24 September 1976), popularly known as Zitto Kabwe, is a Tanzanian politician.He was a member of the opposition party, Chadema, from 1992 until his expulsion in March 2015. He served as a Member of Parliament for the Kigoma North constituency from 2005 to 2015.On 20 March 2015, he officially joined the Alliance for Change and Transparency.

Comments

Popular posts from this blog