Posts

BIRTHMARK ARE DISCOLORED AREA ON THE SKIN THAT APPER AT BIRTH

Image
Birthmarks are discolored areas on the skin that appear at birth or shortly after birth. Most birthmarks are not cause for concern. In most cases doctors don’t know why birthmarks appear, and  there is nothing that can be done to prevent them. Here's the list of the most rare birthmarks that challenged medical science: 1. Zhang Hongming from Chongqing, south-eastern China, is nicknamed “Chimpanzee.” He appealed to doctors for help in getting rid of the thick black hair that covers part of his body. The man has a rare birthmark that also covers a large part of his body. 2. Connie Lloyd was born with a benign tumor that grew to cover her nose. She was told that the rare condition could not be cured. However, the shy little girl has a reason to smile at last after surgeons defied the odds and left her with a “nose like mum’s.” PICHA KIBAO BOFYA HAPA>>

UBOVU WA MELI YA MV VICTORIA WAZUA MAKUBWA, ABIRIA WAANDAMANA HADI KWA MKUU WA MKOA

Image
Meli ya MV Victoria inayofanya safari zake kutoka mkoani Kagera kuelekea jijini mwanza  imezuiliwa kuondoka mjini bukoba kutokana ubovu ilionao hali ambayo imewalazimu wananchi waliokuwa wanataka kusafiri na meli hiyo kuandamana hadi kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kagera kwa ajili ya kutoa malalamiko yao. Wakiongea   nnje ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kagera  John Mongela wananchi hao wamelalamikia kuto kuwepo kwa usafiri wa meli kwa zaidi ya mwezi moja  sasa na kwamba jana meli hiyo imewasili mjini Bukoba na kuambiwa wapakie mizigo yao ndani ya meli hiyo kwaajili ya kuisafirisha  kutoka mkoani kagera kueelekea jijini Mwanza ambapo wamesema wamepakia mizigo yao ndani ya meli hiyo na leo wameambiwa meli hiyo haitosafiri kutokana na meli hiyo kuwa na hitilafu tangu muda mrefu na kwamba mazao yao biashara sasa  yamekuwa yakiharibika ndani ya meli hiyo  hali Ambayo imewalazimu wananchi hao kuandamana mpaka kwenye ofisi za mkuu wa mkoa wa kagera kwaajili ya kutoa mala

CHADEMA WATOA MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU

Image
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya chama hicho iliyokutana juzi juzi. Kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema. (Na Mpiga Picha Wetu) Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya chama hicho iliyokutana juzi juzi. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema.  Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.

WEMA BADO ANAMUWAZA DIAMOND ,WEMA SEPETU AMEPANIKI

Image
Usiku wa juzi tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda ulipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa burudani ambazo ni Show kubwa ya mwanamuziki Jose Chameleone iliyofahamika kama 1Man Show Million na Pati ya mwanamama Zari iliyofahamika kama Zari All White Ciroc Party. Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana matukio hayo kama ifuatavyo; Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa shabiki mkubwa wa msanii Jose Chameleone alitokea nchini Ghana na kutua jijini Kampala kuhudhuria show ya mwanamuziki huyo ambayo ilifanyika Serena Hotel. Wakati Diamond Platnumz ambae kwa sasa ana “Le Project” na mwanamama Zari alihudhuria pati ya Zari kama “Special Guest”.Baadhi ya watu wamechukulia kitendo hiki ni kama mwanadada Wema “Amepaniki” hivi, huku wengine wakisema kuwa Wema ana uhuru wa kufanya kile anachokitaka bila ya kuhofia watu watasemaje. Jambo hili halijatokea kwa bahati mbaya kwani wiki kadhaa zilizopita, Diamond alipoon

AISHA MADINDA AMEUAWA, MWANAE ASIMULIA MAMBO MAZITO

Image
Stori:waandishi wetu MENGINE yameibuka! Kifo cha aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ kimeibua mengine ambapo baadhi ya watu wa karibu wanaamini kimetokana na kudungwa sindano tano za majimaji yenye madawa ya kulevya, ‘unga’ na rafiki yake, Ijumaa ‘Kubwa’ linakupa zaidi. Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Aisha alidungwa kwa makusudi sindano hizo na rafiki yake… Stori:waandishi wetu MENGINE yameibuka! Kifo cha aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ kimeibua mengine ambapo baadhi ya watu wa karibu wanaamini kimetokana na kudungwa sindano tano za majimaji yenye madawa ya kulevya, ‘unga’ na rafiki yake, Ijumaa ‘Kubwa’ linakupa zaidi. Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Aisha alidungwa kwa makusudi

KAMATI MPYA ZA SIMBA SC.

Image
     

PICHA ZA SHOW YOTE YA DIAMOND NA ZARI WALIVYOFUNIKA UGANDA JANA

Image
Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' akiwekwa sawa kabla ya shoo yake ya All White Ciroc party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Guvnor nchini Uganda. Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (kulia) akiwa na Zari au 'The Boss Lady' kabla ya kuelekea katika shoo. The Boss Lady akiwa katika pozi. Diamond Platnumz na The Boss Lady wakitoka hotelini. ... Wakipanda gari. Umati wa watu waliojitokeza katika shoo ya AllWhite Cirocparty usiku wa kuamkia leo.   Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook

MWANAMKE APOTEZA NYETI ZAKE MARA BAADA YA KUFAMANIWA NA MUME WA MTU

Image
Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya kula uroda na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma,baada ya muda mama huyu alijikuta baada ya umati kuwa mkubwa police walifika maeneo

PICHA MWILI WA AISHA MADINDA WASWALIWA KABLA YA MAZIKO

Image
Mwili wa Aisha Madinda ukiswaliwa kabla ya maziko huko Kigamboni jijini Dar hivi punde.  Akina mama wakiuombea mwili wa marehemu Aisha Madinda. Jeneza lenye mwili wa marehemu Aisha Madinda likiwa mbele ya waombolezaji.  Mtoto wa kike wa marehemu akiwa amezimia baada ya mwili wa mama yake kuwasili Kigamboni.  Jeneza lenye mwili wa marehemu Aisha Madinda wakati likiwasili nyumbani kwao marehemu Kigamboni, Dar. Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Aisha Madinda, Kigamboni jijini Dar leo. Waombolezaji wakisubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda Kigamboni. Ali Choki (kushoto) akiwa na Dogo Rama wakiwa msibani Kigamboni. Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu.