PICHA MWILI WA AISHA MADINDA WASWALIWA KABLA YA MAZIKO


Mwili wa Aisha Madinda ukiswaliwa kabla ya maziko huko Kigamboni jijini Dar hivi punde. 

Akina mama wakiuombea mwili wa marehemu Aisha Madinda.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Aisha Madinda likiwa mbele ya waombolezaji. 
Mtoto wa kike wa marehemu akiwa amezimia baada ya mwili wa mama yake kuwasili Kigamboni. 
Jeneza lenye mwili wa marehemu Aisha Madinda wakati likiwasili nyumbani kwao marehemu Kigamboni, Dar.

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Aisha Madinda, Kigamboni jijini Dar leo.
Waombolezaji wakisubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda Kigamboni.
Ali Choki (kushoto) akiwa na Dogo Rama wakiwa msibani Kigamboni.
Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu.

Comments

Popular posts from this blog

PICHA ZA UTUPU ZILIZOPIGWA NA MWANAFUNZI WA UDOM ILI KUTANGAZA SOKO LA MWILI WAKE. TAZAMA HAPA

ZITTO KABWE AWAPONDA LOWASSA NA MAGUFULI