Posts

WANACHUO UHASIBU ARUSHA WAWEKA PICHA ZA UCHI MTANDAONI

Image
Hivi karibuni Mwanafunzi anayejulikana kwa jina la JACKY anayesoma Chuo cha Uhasibu - ARUSHA  amevuliwa nguo hadharani baada ya picha zake  (hapo juu ) kusambazwa kwenye mitandao mbalimbali na mpenzi wake baada ya wivu uliompata kaka huyo ,  Wambea wa mji tumezinyaka hizi picha na habari toka kwa mmoja wa watu wa karibu wa wapenzi  hao  na kunyetisha kuwa  Kaka huyo alifanya hivyo baada ya kugundua kuwa mpenzi wake JACKY sio muaminifu na anatoa penzi kwa mtu mwingine. Angalizo Haya wanafunzi mnaoenda kwenye mavyuo na kuanza kuiga staili mpya za maisha au kujifanya watu wa mjini sana mnadhalilisha wazazi wenu!!! wengine hela za kuungaunga  halafu nyie mnaangukia huku? acheni kuiga mambo yasiyofaa mbona hatuna utamaduni wa kupiga picha za uchi ? jamani hizi simu zifungiwe tu hata kama utamu wa penzi ndio mpige picha za uchi? je wazazi wenu wakiziona watajisikiaje? ONYO:WAKUBWA TU KUANGALIA PICHA HAPA >>>BOFYA HAPA PIC...

MEZA YETU YA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 27.03.2014

Image
  MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI MAGAZETI YA UDAKU LEO

Kupotea kwa Ndege ya Malaysia Picha zaonyesha mabaki baharini'

Image
Picha ya Satelite ikionyesha kinachodhaniwa kuwa mabaki ya MH320   Serikali ya Malaysia imesema kuwa picha mpya za Satelite zimeonyesha zaidi ya vifaa miamoja vinavyodhaniwa kuwa mabaki ya ndege yake iliyotoweka zaidi ya wiki mbili zilizopita. Waziri wa usafiri wa nchi hiyo, Hishammuddin Hussein, amesema kuwa picha hizo zilizotolewa na Ufaransa, zinaonyesha vifaa hivyo kuwa zaidi ya mita ishirini kwa urefu. Hadi kufikia sasa, hakuna taarifa rasmi ya mabaki ya ndege hiyo kuonekana. Ndege hiyo iliyokuwa na abiria 239, ilikuwa safarini kutoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing zaidi ya wiki mbili zilizopita. Msako uliofanywa baharini na angani, kuitafuta ndege hiyo umeanza tena katika pwani ya Australia baada mawimbi kutulia baharini.

JE, WAJUA NAMNA YA KUMUANDAA MWENZI WAKO KABLA YAKUANZA MAPENZI?. SOMA HAPA

Image
Katika suala la mapenzi, watu wengi wameshindwa kufikia kilele cha raha kwa kutoelewa ni jinsi gani wawaandae wapenzi wao.. Tatizo hili lipo pande zote wanaume na wanawake.. Lakini kwa kiwango kidogo wanaume wanajitahidi kuwaandaa wapenzi wao kabla ya kuingia uwanjani. Baadhi yao wanatambua sehemu za kuamsha hisia za wapenzi wao na wengi hawajui kabisa.. Mnapoandaana vizuri kabla ya mechi kuna wasaidia wote kuingia uwanjani huku akili na mwili vimechangamka kwa hisia kali za mahaba.. Kwa mwanamke inamsaidia asiweze kuchubuka wakati wa tendo kwa sababu sehemu zake za siri zitakuwa tayari zimelainika.. Pia huwasaidia kusogeza hisia zao karibu kwani wanawake wengi hisia zao huwa ziko mbali, ndio sababu wengi wao huwa hawafikii mshindo kwa sababu ya kukosa wanaume wanaojua kuandaa vizuri. JINSI YA KUMUANDAA MPENZI WAKO: Potezeni saa moja mkiwa katika maongezi ya kimahaba.,huku mkiwa mmekaa 0 distance. Taaratibu mikono yenu ianze kutembea kwenye...

Angalia Picha:Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mara wakiwa na majonzi wakati wakipokea mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa

Image
Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mara wakiwa na majonzi wakati wakipokea mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa  ulipofikishwa katika hospitali ya mkoa jana. baada ya kuanguka ghafla kutoka kwenye kiti alichoketi wakati akishiriki Kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Tarime nakufariki . Picha na Florence Foc

WATANZANIA 15 WAHUKUMIWA KUNYONGWA CHINA

Image
Matukio ya kukamatwa kwa Watanzania nchini China kwa kesi za biashara ya dawa za kulevya yana idadi kubwa sana ndani ya hii miaka mitano iliyopita. Miezi miwili iliyopita Balozi wa Tanzania China alithibitisha kwenye  kwamba Watanzania wasiozidi mia mbili ndio wamefungwa kwenye magereza mbalimbali ya China kutokana na kesi tofautitofauti ila dawa za kulevya ndio zinaongoza’ Balozi huyu alisema kwa wakati huo hakuwa na rekodi yoyote ya Mtanzania kuhukumiwa kunyongwa au yeyote ambae tayari ameshanyongwa na kwamba kwa taarifa zaidi Wizara ya mambo ya nje itafutwe. Baada ya hayo yote, hatimae katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje John Haule March 25 2014 ametaja jumla ya Watanzania waliokamatwa kwa kesi ya dawa za kulevya kwa kusema‘tuna Watanzania wengi tu ambao wapo kwenye magereza kule China japo tumeshindwa kwa harakaharaka kupata idadi ya waliojihusisha na shughuli ya dawa za kulevya lakini kuna rekodi fupi tulizonazo sasa hivi’ Katika Magereza ya C...

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA SERIKALINI KUPITIA UTUMISHI

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT'S OFFICE Vacancy Announcement Applications are hereby invited from qualified and experienced Tanzanians for the following Vacant post advertised by International Fund for Agricultural Development (IFAD) S / N Position departmen 1. Director D-2 Independent Office of Evaluation Division Rome, Italy Dedline 9th April 2014 2. Technical Adviser - Rural Enterprises and Markets P-4 - Policy and Technical Advisory Division Rome, Italy 10th April 2014 3. Senior Technical Adviser - Rural Enterprises and Markets P-5 Policy and Technical Advisory Division Rome, Italy 10th April 2014 4. Country Programme Officer - Cameroon NOC West & Central Africa Division Yaoundé, Cameroon 10th April 2014 5. Senior Technical Adviser - Institutions and Programme Implementation P-5 - Policy and Technical Advisory Division Rome, Italy 11th April 2014 6. Technical Adviser - Ins...

MOTO WA AJABU WAMUUNGUZA SEHEMU ZA SIRI

Image
Doto Omari kushoto aliyeunguzwa na moto wa ajabu sehemu za siri. Na Chande Abdallah  KATIKA tukio linalohusishwa na ushirikina, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Doto Omari (30, pichani) ameunguzwa na moto wa ajabu sehemu zake za siri. Moja ya jeraha alilolipata. Tukio hilo la aina yake lilitokea alfajiri ya Machi 16 mwaka huu,   Mwananyamala – Kichangani, Dar,  wakati mwanamke huyo alipokwenda chooni kujisaidia. Akizungumza na waandishi wetu, Doto alisema alipoanza kujisaidia, alishangaa kuona moto mkubwa ukitokea ndani ya shimo la choo na kumuunguza sehemu zake za siri, jambo lililomfanya apige kelele kuomba msaada. “Yaani ule moto ulikuwa mkubwa halafu wa kijani huku ukiwa na muungurumo wa ajabu. Mimi nilishangaa kuuona ukinifuata na kuniunguza,” alisema. Kaka wa mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina la Adam, alisema aliposikia kelele za moto, alikimbilia maji akijua ni wa kawaida. “Mpaka sasa tumechanganyikiwa san...

MEZA YETU YA MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 26.03.2014

Image
MAGAZETI YA UDAKU LEO MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA TANZANIA BREWERIES LTD

Image
OPERATOR Job at Tanzania Breweries Ltd Applications are invited from suitably qualified TBL Employees to fill the following vacant position in Brewing Department at Dar Plant. JOB TITLE: OPERATOR (1) REPORTS TO: TEAM LEADER PRIMARY PURPOSE OF THE JOB To safely operate plant and equipment, monitor and control the process to produce a consistent product of the right quality at optimum cost. KEY FOCUS AREAS  Prepare for plant start up  Maintain safe and healthy work environment  Measure performance attributes  Record performance attributes  Monitor and evaluate trends  Perform cleaning of the equipment as per standard  Raising of job cards for equipment problems.  Execute basic lubrication and inspection tasks.  Communicate effectively in the workplace  Maintenance tools in good working order  General Production housekeeping THE PERSON  Min – Full Technician Certificate (FTC) Ideal...