Posts

MASKINI SNURA AANDAMWA NA MAJANGA!!!!

Image
BAADA ya hivi karibuni kufungiwa video ya wimbo wake, staa wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amesema ameendelea kuandamwa na majanga ambapo hivi karibuni alipata msiba wa babu yake huku mdogo wake akipata ajali. Akizungumza kwa huzuni, Snura alisema mwaka huu umekuwa wa majanga kwake kwani babu yake huyo alimlea na kushika nafasi ya baba yake tangu alipozaliwa hadi kufikia utu uzima. “Ukweli nimeumia sana na mwaka huu umekuwa ni wa majanga kwangu kwani babu yangu huyo nilikuwa namuita baba kwa sababu yeye ndiye aliyenilea mpaka nikafikia umri huu nilionao, mdogo wangu naye alipata ajali mbaya yuko hoi hospitali, utumbo ulitoka nje na kwenda kufanyiwa oparesheni,

TAZAMA PICHA UONE BALAA JINGINE LA MSICHANA TOKA BONGO MOVIE:

Image
Tanzanian actress Salma Tamim(Sabby Angel) has posed topless for a photoshoot in Kenya. The actress who has already started to make waves in the industry with movies opposite big names including Vicent Kigosi(Ray) and Muhsin Awadhi(Dr.Cheni) looks extremely hot in the shoot. Sabby was in Kenya for almost two weeks and news is that there are some Kenyan film companies which have already shown interest to work with this Tanzanian bombshell actress. No doubt Sabby is one of the most sexiest actresses in Tanzania. She is also a singer and model. Check out the exclusive images below.

MAMBO HAYA HUCHANGIA MWANAUME KUWA MCHOVU KITANDANI!!!

Image
Kuna malalamiko mengi sana yamekuwa yakitolewa na wanawake na wengine kufikia kuvunja ndoa au mahusiano kwa sababu tu wanaume wao wameshuka kiwango au ham imeisha kabisa ya tendo. Lawama hizo wamekuwa wakiwatupia wanaume bila kuangalia uhalisia wake. Ukweli ni kuwa wanawake wenyewe ndo wamekua chanzo kikubwa cia tatizo hili. Sababu zifuatazo kwa ufaham wangu ndo zinasababisha: UCHAFU: Wanawake siku hizi wanashindwa kujifanyia usafi ipasavyo miili yao kitu kinachosababisha mwanaume kukereka na hamu kwisha. KAZI: Wanawake wa siku hizi inafahamika kuwa wanafanya kazi,mwanamke anarudi kazini na uchovu, stress, katukanwa na bosi wake, amepata loss, ametongozwa na boss na kutishiwa kufukuzwa kazi kama atamkataa, amesikia fununu za ridandasi n.k,mwanamke kama huyu hawezi kuwa na ndoa imara. KUTOKUWA MUWAZI: Hili ni tatizo kubwa, wanawake hawapo wazi kama hawajatosheka kitandani hivyo wanaenda kulalamika nje na pindi mume apatapo taarifa hunyong'onyea kwa sababu ...

UMUHIMU WA CHAKULA KATIKA MAPENZI/MAHUSIANO!!!!

Image
  Chakula ni moja ya kitu ambayo huchukuliwa saana for granted katika maisha yetu ya kila siku… Kana kwamba hakina umuhimu wowote mpaka pale utaposikia njaa – However if you are lucky enough waweza jua/tambua kua with food… Great food at that you can do wonders katika mambo mengi, - mahusiano yakichukua kipengele chake pia. Hayo mahusiano yaweza kua mahusiano ya urafiki/undugu/ujamaa na la muhimu zaidi yanaweza kua ni Mahusiano ya Mapenzi ikienda hand in hand na tendo husika… Najua na naamini kua usasa umetuingia na kututawala saana… tumefika wakati tunashindwa kujua kitu gani katika culture za watu (hasa magharibi) tuige na zipi tutupie mbali. Bahati mbaya saana katika jamii saizi sio ajabu kabisa kukuta mdada mtu mzima hajui kupika na ata admit kwa wazi kabisa kua hajui kupika… (sijui haoni aibu?? – lkn ngoja niachane na hawa niendelee na topic!) Na wengine akina mama anaendekeza binti yake asipike kwa sababu eti yuko busy na masomo, kuna msichana wa kazi or h...

STAREHE NA WABONGO NI KAMA MAPACHA...HATUOGOPI KITU TUNAPOSIKIA MATANUZI....!SOMA ZAIDI HAPA...!

Image
Taasisi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na masuala ya Madeni ya Taifa na Maendeleo (TCDD), kila mwaka imekuwa ikitoa taarifa kuhusu kukua kwa deni la taifa na kuihadharisha Serikali ya Tanzania kuhusu tabia yake ya kupenda kukopa kwa ajili ya matumizi yasiyo na msingi. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo, Hebron Mwakagenda, Serikali imekuwa ikikopa fedha kwa ajili ya matumizi yasiyo muhimu na ndiyo sababu ya kukua kwa deni la taifa. Serikali imetamba kuwa itaendelea kukopa kwa sababu Tanzania ina rasilimali nyingi ambazo inaweza kuzitumia kuweka rehani ili ipate mikopo na haijafikia hatua ya Serikali ishindwe kukopesheka. \ Hii ni akili ya ajabu kabisa, kwamba unakopa kwa rasilimali ulizonazo ambazo nyingine hata hujaanza kuzivuna, bila ya kuzingatia kuwa rasilimali hizo siyo zako peke yako ni kwa ajili pia ya vizazi vingi vijavyo. Serikali inachofanya ni ulafi, ponda mali, kufa kwaja. Kwa sababu inafahamu awamu hii itaondoka madarakani na itakuja awam...

RUKUVI ARIDHIKA UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA

Image
  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi jana alitembelea ukumbi wa Bunge maalum la Katiba, linalotarajia kuanza Februari 18, mwaka huu na kujiridhisha na marekebisho ambayo yamefanyika. Akizungumza na waandishi wa habari, Lukuvi alisema viti 676 vimeshafungwa pamoja vipaza sauti vyake. Alisema maeneo kwa ajili ya chakula kwa wajumbe tayari yamekamilika, ofisi za viongozi wakiwemo Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti watakaoteuliwa tayari pamoja na kumbi nyingine ndogo. Lukuvi alisema Ofisi ya Bunge imeshatafuta kumbi nyingine nje ya Bunge, kwa ajili ya kufanyika mikutano itakayohitaji wajumbe wengi. "Maandalizi ya msingi sasa yameshakamilika, kilichobaki Katibu wa Bunge na Naibu wake ambaye ni Katibu wa Baraza la Wawakilishi watangaze siku ya kuja," alisema Lukuvi. Hata hivyo, alisema wabunge wote watatakiwa kuwepo Dodoma kabla ya Februari 18, siku ambayo vikao vya bunge hilo vinaanza. "Siku moj...

Wastara adaiwa Kunywa Sumu

Image
Stori: Gladness Mallya IKIWA imetimia mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu kifo cha mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, Jumamosi iliyopita amedaiwa kufanya jaribio la kutaka kujiua kwa kunywa sumu. Wastara akiwa kitandani baada ya kunywa sumu. KABLA YA YOTE Awali, staa huyo ambaye amepitia mitihani mingi, alitundika picha katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram na kulalamika kuumwa tumbo. Katika maelezo aliyoyaandika sambamba na picha hiyo, Wastara alimshukuru msanii mwenzake, Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa msaada aliompatia kwa kuwa alikuwa katika hali mbaya. SUMU YATAJWA Siku chache baada ya kuweka picha hiyo, Risasi Mchanganyiko lilipata kisa kizima kupitia kwa chanzo chake makini kuwa staa huyo alisumbuliwa na maumivu ya tumbo baada ya kuokolewa katika jaribio lake la kutaka kukatisha uhai wake kwa kunywa sumu. SUMU ILIYOTUMIKA Inadawa kuwa Wastara aliamua kunywa vidonge aina ya fragile kwa kuchanganya na pom...

A father has allegedly beaten his four-year old son to death

Image
A father has allegedly beaten his four-year old son to death, padlocking his mouth to prevent him from shouting while the beating lasted. The incident occurred on Monday afternoon at 7, Adetola Adelaja Street, Meiran area of Lagos. It was gathered that the man, Mr. Chris Elvis, who claims to sell computer accessories, allegedly locked his son, Godrich in the room, padlocked his mouth and beat him to death with an object that inflicted deep cuts all over his body, claiming that the boy was an Ogbanje (evil child that dies and reincarnates repeatedly). The man landed in trouble when his landlady, Mrs Popoola who was in the market, was informed that something was happening in her house. She rushed home and discovered that the boy had been beaten to death by his father. She rushed to Meiran Police Station to report the matter. The police stormed the house around 9 O’clock last night to arrest Elvis who was about to escape. After allegedly killing the boy, he locked ...

BALAA JIPYA LA AGNESS MASOGANGE HILI HAPA

Image
  Unamkubali Agnes Masogange , Basi hizi ndizo picha alizo share na fan wake wa Instagram akiwa ufukweni weekend iliyoisha. Picha hii ameandika " With my frnd mjeda nishida tupu Leo na Cheus wangu @linexsundaymjeda #Beach life"

Majibu ya Msanii Linah Kuhusu tetesi za Yeye Kuwa Mama Kijacho

Image
Muimbaji wa THT, Linah Sanga amesema tetesi za kuwa ni mjamzito si za kweli. Linah ameiambia Mdadisi Mambo blog kuwa masuala ya ujauzito, kuolewa na kuwa na familia ni ya muhimu kwa kila msichana lakini kwa sasa bado hajaweza kuvifanya hivyo. “Hakuna kitu kama hicho na wala hakijawahi kutokea kitu kama hicho,” Linah amesema kujibu swali kama kweli ni mjamzito. “Mipango ipo lakini unajua mimi ni mtoto wa kike na mipango kama hiyo lazima iwepo. Nikiwa kama mtoto wa kike, nitahitaji familia, vitu kama hivyo ntavihitaji apart from kazi yangu, hata hayo masuala ya mimba na kila kitu, kuzaa na nini, ntakuwa tayari endapo Mungu atanisaidia mume, ndoa. Kwahiyo hayo yote sijui kuonekana ni maneno tu, rumors haziishi, kwa msanii kama mimi lazima rumors ziwepo, lazima watu wataongea vitu vingi vya tofauti. Hayo mambo ya ujauzito walishaongea sana lakini mwisho wa siku wanaishia kunyamaza kwasababu hakuna mtu mwenye uhakika wa hicho kitu,” amesema Linah. Kuhusu ukimya wake, L...

FUKWE ZA TANZANIA UCHOCHORO WA DAWA ZA KULEVYA

Image
  Baada ya kikosi kazi cha Jeshi la Polisi cha Kudhibiti Uharamia Baharini kukamata kilo 201 za dawa za kulevya aina heroini zilizokuwa zikiingizwa nchini kutoka Iran. Sasa imefahamika kuwa madawa ya kulevya yanapitishwa kwenye bahari ya hindi. Hii imethibotishwa  kwenye gazeti la MWANANCHI kutoa maelezo ya kina kuhusu madawa hayo. Polisi wa kikosi  kupambana na dawa za kulevya wakizifungua dawa hizo zilizokamatwa jana kwenye jahazi liitwalo Kunarak-Iran iliyokutwa katika bahari ya Hindi eneo la Tanzania ikiwa na Heroin kilo 201, pamoja na raia wa nane wa Iran na  wapakistan wanne.Picha na Michael Jamson Gazeti la mwananchi linaeleza kuwa; wakati vita ya kupambana na biashara ya dawa za kulevya ikiendelea nchini, wasafirishaji wa dawa hizo wameanza kutumia fukwe ndogondogo za bahari nchini kuziingiza kutoka Mashariki ya mbali, gazeti hili limebaini. Januari 10, mwaka huu saa 6:30 usiku, mwandishi wetu alishuhudia mzigo unaoaminika kuwa ni dawa za kul...

HII NDIO HISTORIA KAMILI YA MWANADADA AUNT EZEKIEL, KUANZIA ALIPOZALIWA NA MAISHA YAKE KIUJUMLA

Image
  JINA la Aunt Ezekiel siyo geni kwa wadau mbalimbali wa burudani hapa nchini, ni staa ambaye hivi sasa ana jina kubwa kupitia sanaa yake ya uigizaji wa filamu aliyoianza miaka sita iliyopita. Japokuwa kwa sasa ni staa, amepitia mambo mengi magumu katika safari yake ya maisha mpaka kufikia hapo alipo hivi sasa. Aunt alizaliwa mwaka 1988 mkoani Dar es Salaam, baba yake akijulikana kama Ezekiel Grayson’ Jujuman’ ambaye alikuwa ni mchezaji hodari sana wa timu ya Simba. Alipata elimu yake ya msingi katika Shule ya Bunge mwaka 1993 hadi 1998. Alienda kumalizia darasa la saba katika Shule ya Msingi Chanzige iliyopo Kisarawe, mkoani Pwani. Vipi maisha yalikuwaje baada ya kumaliza shule? “Kwa kweli maisha yalikuwa ni magumu mno kwa maana nilipomaliza shule tu, alijitokeza mwanaume na kutaka kunioa kitu ambacho mimi sikukipenda kabisa lakini baba yangu alitaka hivyo kwa vile uwezo wa kunisomesha hakuwa nao tena na maisha yalikuwa ni magumu sana. “Baada ya ku...

HUYU NDIE MDADA MWENYE SEHEMU 2 ZA SIRI

Image
A British woman who's become a celebrity in the U.K. because she was born with two fully formed vaginas may finally be able to cash in on her crotch ... Her name is Hazel Jones -- and the 27-year-old beauty has been making the media rounds across the pond to discuss " uterus didelphys " ... a condition which caused her to develop 2 sets of female reproductive organs. In other words, two vaginal canals with two openings. Hazel recently told British tabloid The Sun that she's not shy about her condition -- insisting she and her husband have shown it off at sex clubs around the U.K. Enter Vivid Entertainment honcho Steve Hirsch ... who heard Hazel's story ... and immediately reached out to the woman with a MASSIVE offer to film her double hoo-hah in action. In the letter, Hirsch writes, "You are obviously an extraordinary woman and I would like to make you an offer to star in an upcoming Vivid production. We would pay you up to...

KAMATI KUU YAMTEUA MGOMBEA WA CCM JIMBO LA KALENGA

Image
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha kwa waandishi wa habari, mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa, Godfrey William Mgimwa (kushoto), leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Nape amemtambulisha Godfrey ambaye ni mtoto wa Marehemu Dk. William Mgimwa, baada ya Kamati Kuu ya CCM kumpitisha, leo kuwania nafasi hiyo ya Ubunge. (Picha na Bashir Nkoromo)

Wanasayansi wa kampuni ya Google: Wabuni magari yasiyotumia dereva Jionee

Image
  Inawezekana kuwa na magari yasiyokuwa na dereva? Kampuni ya mawasiliano ya kompyuta ya Google inasema ndiyo. Magari hayo yapo na yataongozwa kwa kutumia kompyuta pekee, huku yakiwa na uwezo mkubwa wa kuepuka au kutosababisha ajali barabarani. Wanasayansi wa Google wanaosimamia teknolojia hiyo mpya, wanaamini kwamba madereva wanafanya makosa mengi wawapo barabarani, yakiwepo ya kizembe ama bahati mbaya na ndiyo yanakuwa chanzo cha ajali mbaya barabarani. Wakati teknolojia ya kompyuta ilipogundulika, wanasayansi walisema wamegundua mbinu ya kufuta makosa ya kibinadamu katika shughuli za hesabu. Waliamini kuwa kila hesabu 500 afanyazo mtu ambaye ni mtaalamu wa fani hiyo, lazima kuwepo na makosa yasiyopungua mawili. Lakini baada ya kugundua kompyuta, maelfu kwa maelfu ya hesabu yanaweza kufanyika bila makosa. Makosa hayo ya kibinadamu yanayoweza kufanywa na mtu bila kukusudia, ndiyo yanayoaminika kuweza kufanywa na dereva yeyote akiwa barabarani. Magari h...

TAZAMA PICHA ZA DEMU WA PREZZO NA MASANJA MKANDAMIZAJI WAKILA BATA HUKO UGHAIBUNI...!

Image
credit:swahilitz

MADHARA 18 YATOKANAYO NA UNENE WA KUPITILIZA

Image
1. Unene unaongeza kiwango cha mafuta mwilini, ambayo huongeza uwezekano wa kupata kensa. 2. Unene unaongeza mafuta mwilini, ambayo hufanya matibabu ya kansa yawe magumu zaidi. 3. Unene huongeza mafuta mwilini ambayo huushinikiza nu kuubana moyo.  4. Mtu mnene huwa mvivu kufanya mazoezi, suala ambalo humuongezea zaidi unene. 5. Mafuta mengi mwilini yana madhara kwa ubongo. 6. Unene huathiri hata tabia na miamala ya mtu. 7. Unene huongeza uzito katika mifupa na viunga vya mifupa (bone joints). 8. Unene husababishwa kibofu cha mkojo kibanwe suala linalopelekea matatizo mbalimbali ya mkojo. 9. Unene hupunguza uwezo wa mtu wa kijinsia.  10. Unene hupunguza uwezo wa kuzaa na hata kupelekea utasa na ugumba. 11. Unene hupelekea mwili upatwe kwa wepesi na magonjwa mbalimbali kama vile kisukari na presha. 12. Watu wanene wanapohudhuria mahospitali upimaji wao pia huwa wa matatizo. 13. Unene husababisha ujauzito kuwa wenye matitizo mengi. 14...

MAHAKAMA BONGO YAAMURU JENGO LA KARIBU NA IKULU LIPUNGUZWE UREFU

Image
Baada ya hukumu hiyo, Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai alisema ndani ya kipindi cha miezi sita baada ya hukumu hiyo kutolewa, Kifungu cha 40, namba 1 na 2 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kinawaruhusu kutaifisha jengo hilo. Hivyo aliwahukumu washtakiwa hao kila mmoja kulipa faini ya Sh5milioni au kutumikia kifungo cha miaka mitatu kwa kila kosa lililokuwa likiwakabili. Kila mshtakiwa alilipa kiasi cha Sh15 milioni mahakamani hapo na kuepuka kifungo. Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na Msanifu Mkuu, Richard Maliyaga, kila mmoja kulipa faini ya Sh15 milioni au kwenda jela miaka tisa baada ya kuwatia hatiani kwa matumizi mabaya ya madaraka na kuruhusu ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu. Akitoa hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi, Sundi Fimbo alisema jengo hilo lilipaswa kuwa la ghorofa sita na ...