Posts

NEEMA KWA WANAMTWARA WASHUSHIWA UMEME HADI SH27,000

Image
Serikali imetangaza neema kwa vijiji vinavyopitiwa na bomba la gesi ambavyo vipo mkoani Mtwara na Lindi, sasa wataunganishiwa kwa Sh27,000.  Hatua hiyo ilitangazwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo mbele ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uzinduzi mradi wa umeme wilayani Nanyumbu na Masasi. Profesa Muhongo alisema gharama za kuunganisha umeme kwa sasa ni Sh177,000. Alisema zaidi ya vijiji 50 vimepewa upendeleo huo ili kuwawezesha wananchi kuwa na maisha bora. Lengo la Serikali ni kufikia asilimia 30 ya wasasatu waliounganishwa na umeme na kwamba, hivi sasa ni asilimia 23 pekee wanaopata umeme nchini wakati Mtwara ni asilimia nne. Kuhusu umeme wa gesi, Profesa Muhongo alisema Mtwara wanatarajia kuzalisha megawati 600 ambazo baada ya matumizi nchini, zitauzwa nchi za Malawi, Zambia na Msumbiji Awali, akizungumza na mamia ya wakazi wa Mangaka waliofika kushuhudia uzinduzi huo, Pinda alisema mradi huo ni utekelezaji wa azma ya

BEYONCE NA JAY Z WALIVYOFANYA MAKAMUZI KWENYE 56TH GRAMMY AWARDS

Image
Mwanamuzki ayejuu kwenye anga za uimbaji nchini Marekani  Beyonce akifanya makamuzi kwenye  56th GRAMMY Awards iliyofanyika Staples Center siku ya Jumapili January 26, 2014 mjini Los Angeles, Jimbo la California. Mwanamuzki ayejuu kwenye anga za uimbaji nchini Marekani  Beyonce akifanya makamuzi kwenye  56th GRAMMY Awards iliyofanyika Staples Center siku ya Jumapili January 26, 2014 mjini Los Angeles, Jimbo la California. Mwanamuzki ayejuu kwenye anga za uimbaji nchini Marekani  Beyonce akifanya makamuzi kwenye  56th GRAMMY Awards iliyofanyika Staples Center siku ya Jumapili January 26, 2014 mjini Los Angeles, Jimbo la California. Mwanamuzki ayejuu kwenye anga za uimbaji nchini Marekani  Beyonce pamoja na mumewe mwanamuziki mkali wa kufokafoka Jay-Z wakifanya makamuzi kwenye  56th GRAMMY Awards iliyofanyika Staples Center siku ya Jumapili January 26, 2014 mjini Los Angeles, Jimbo la California. Mwanamuzki ayejuu kwenye anga za uimbaji nchini Marekani  Be

BAYPORT TANZANIA JOBS JAN 2014

JOB TITTLE: CHIEF OPERATIONS OFFICER REPORTING TO:CEO,BAYPORT TANZANIA DUTY STATION:DAR ES SALAAM Main Duty:To manage all Bayport Tanzania business and operational  related matters.Responsible for all business objactives(P&L responsibilities) as well as stakeholders engagement Resiponsibilities: 1.Management activities: -Assumes responsibilities for ensuring effective and proffessional business relations with customers and all staff members -Keep the Board informed on all business and operations related matters as well as potential risk and give regular feedback on queries raised by all stakeholders/shareholders -Manage all operation expenses for the business and responsible for deliver revenue expected ensure that the business is meeting all financial and commercial objectives -Respomsible for all commercial objectives including launching of new products and services -Maintain a "delivery of good service" -Organize and attend management meetings -Al

AFUMANIWA NA MKEWE, MAMA MKWE AINGILIA KATI NA KUMTEMBEZEA BAKORA MKWEWE

Image
Katika tukio la aina yake lilitoka huko mkoani mwanza misungwi kijana mmoja iliyefahamika kwa jina la Festo alijikuta anapata aibu ya mwaka baada ya kufumaniwa na mkewe akila unyumba na mwanamke mmoja ambae inasemekana ni jarani yao, mke baada ya kupewa tarifa na majirani alikimbilia kuomba msaada kwa mama yake, mama huyo ambaye inasemekana ni mwanajeshi mstaafu alitoka na bakora na kuelekea eneo la tukio, ambapo majirani walimsaidia kuwatoa wizinzi hao ndani... mama mkwe bila kupoteza wakati alimkunja mkwewe na kuanza kumpa kichapo cha mbwa mwizi huku majirani wakimshanglia wa kitendo chake cha kishujua.." huyu mama kiboko sijawahi ona nadhani hii itakua fundisho maana huu mtaa wamezidi" alisema mama mmoja ambaye akutaka jina lake kwenda hewani.

NYOKA MKUBWA AINA YA COBRA AILAZIMISHA NDEGE KUTUA BILA KUFIKA MWISHO WA SAFARI

Image
  NYOKA aina ya Cobra amesababisha kizaza kwenye ndege na kuilazimisha kukatisha safari yake na kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Hurghada nchini Misri, auliwa baada ya kumjeruhi abiria . Nyoka huyo alizua mtafaruku huo baada ya kutoka katika mfuko alipokuwa amehifadhiwa na kumjeruhi abiria mmoja raia wa Jordan aliekuwa amekaa karibu na mfuko uliokuwa amehifadhiwa nyoka huyo. Abiria walianza kumshambulia wakijaribu kumuua kwa kumpiga na viatu na hatimae kufanikiwa kumuua, abiria aliejeruhiwa alipatiwa huduma ya kwanza, na kuhamishiwa hospitalini kwa matibabu zaidi na kuwekwa chini ya uangalizi kwa masaa 24, hali iliopekea kukatisha safari yake. Uchunguzi wa awali uliofanywa umebaini kwamba, mmoja wa abiria alimficha nyoka huyo kwenye mkoba na alifanikiwa kupita katika vizuizi na kuingia na nyoka huyo kwenye ndege.

RAIS KIKWETE ATUA MAGOLE, AKAGUA DARAJA LA DUMILA, AONGEA NA WANANCHI

Image
  Rais Kikwete akishuka katika helkopta aliyokuja nayo. Rais JK akielekea kukagua daraja la Dumila lililokatika kutokana na mvua kubwa iliyonyesha eneo hilo. Rais Kikwete akikagua daraja hilo. Helkopta iliyokuja na Rais Kikwete ikitua eneo la daraja la Dumila mkoani Morogoro leo ***** RAIS Dk. Jakaya Kikwete leo ametua kwa helikopta kijijini Magole, Dumila ili kukagua daraja lililoharibiwa na mvua pamoja na kuongea na wananchi wa eneo hilo waliokumbwa na mafuriko yaliyotokea Januari 22, mwaka huu wilayani Mvomero, Morogoro

A man who goes by the name of Mad Dog cuts off a portion of a burning body to eat

Image
+11 A man who goes by the name of Mad Dog cuts off a portion of a burning body to eat, as the bodies of two lynched Muslim men are burned in a street in Bangui, Central African Republic Shocking photographs have emerged of a cannibal by the name of Mad Dog eating the flesh of a lynched Muslim man for the second time in as many weeks. In one, 'Mad Dog' - real name Ouandja Magloire - cuts a portion of meat from the body of a murdered Muslim lying burning on a roundabout in the capital of the Central African Republic, with the body of another a few yards away. Another photograph shows him licking a bloodied knife as he stands over a body, wearing the same T-shirt he was pictured in during the previous act of cannibalism. 'Mad Dog' licks blood off a knife, as a crowd prepares to burn the body of a lynched Muslim man in Bangui The horrific images were taken in Bangui on Sunday. According to The Associated

ANGALIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA TCRA

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY VACANCIES The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) hereby invites applications from suitably qualified Tanzanians to fill the following vacant posts in its establishment PRINCIPAL ECONOMIST III- (ONE POST) (i) Job Purpose: To provide economic analysis services to the Authority to aid interpretation of economic relationships in the regulatory process. (ii) Person Specifications A: Essential: Qualifications: A Masters Degree in Economics Experience: A minimum of six (6) years post qualification experience in a related field. Having worked in a regulatory or a communications environment will be an added advantage Skills/Abilities:  Excellent command of English and Kiswahili languages  Computer skills/ PC knowledge such as micro soft packages, peach tree, multimedia packages i.e Adobe Premier Pro etc  Interpersonal skills  Organizational skills