AFUMANIWA NA MKEWE, MAMA MKWE AINGILIA KATI NA KUMTEMBEZEA BAKORA MKWEWE

Katika tukio la aina yake lilitoka huko mkoani mwanza misungwi kijana mmoja iliyefahamika kwa jina la Festo alijikuta anapata aibu ya mwaka baada ya kufumaniwa na mkewe akila unyumba na mwanamke mmoja ambae inasemekana ni jarani yao, mke baada ya kupewa tarifa na majirani alikimbilia kuomba msaada kwa mama yake, mama huyo ambaye inasemekana ni mwanajeshi mstaafu alitoka na bakora na kuelekea eneo la tukio, ambapo majirani walimsaidia kuwatoa wizinzi hao ndani... mama mkwe bila kupoteza wakati alimkunja mkwewe na kuanza kumpa kichapo cha mbwa mwizi huku majirani wakimshanglia wa kitendo chake cha kishujua.." huyu mama kiboko sijawahi ona nadhani hii itakua fundisho maana huu mtaa wamezidi" alisema mama mmoja ambaye akutaka jina lake kwenda hewani.

Comments

Popular posts from this blog