Posts

Mtoto wa Whitney Houston kaolewa na Kaka yake

Image
  Stori inaamplfy kwamba mtoto wa mwimbaji staa Marehemu Whitney houston, Bobbi Kristina amevunja mapendekezo ya familia yake ya kutoolewa na kijana ambae ni kama kaka yake, mshkaji ambae alilelewa toka mdogo na Whitney na wao wote kuishi nyumba moja. Pamoja na kushupaliwa kutoolewa, Bobbi ambae ana umri wa miaka 20 amethibitisha kuolewa na boyfriend huyu aitwae Nick Gordon ambae wamekua mapenzini kwa miaka kadhaa ambapo sasa hivi kama wanajipanga kuja na show yao ya TV. U

ANGALIA PICHA RAIS DK. SHEIN ALIVYOTUNUKU VYETI

Image
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na kamati ya Nishani alipowasili katika uwanja wa Ikulu Mjini Unguja katika sherehe za kutunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wastaafu,Viongozi walioasisi,kuenzi na kudumisha Mapinduzi,pamoja na Viongozi mbali mbali wenye sifa za Kipekee na wenye Sifa Maalum,katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisimama pamoja na Viongozi,Wananchi pamoja na Wakuu wa vikosi vya Ulinzi wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika sherehe za kunuku Nishani ya Mapinduzi,katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Rais Mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,katika hafla kutunuku Nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu M

‘Mijimama’ inavyoingiza waosha kucha, miguu katika hatari ya kuambukizwa VVU

Image
Biashara hii inazidi kukua huku pia huduma zinazotolewa zikizidi kuongezeka kila kukicha, ambapo mara nyingi wanaotengeneza kucha, hujihusisha na usuguaji wa miguu, uchoraji wa tattoo ukandaji wa mwili (massage)na nyingine zinazofana na hizo.  Kwa ufupi Eneo alilotaka nimchore ndilo lilianza kunipa wasiwasi, lakini kwa sababu ya pesa nikapiga moyo konde Kazi hiyo huchangia kwa kiasi kikubwa pia kuwaweka vijana katika hatari ya kupata maradhi ya ngozi hasa fangasi kutokana na wengi wao kutotumia vifaa vya kujikinga. Utengenezaji wa kucha na uoshaji miguu ni biashara inayokuwa kwa kasi hasa maeneo ya mijini ambapo wanawake wengi wanahusudu na kujihusisha na masuala ya urembo. Biashara hii inazidi kukua huku pia huduma zinazotolewa zikizidi kuongezeka kila kukicha, ambapo mara nyingi wanaotengeneza kucha, hujihusisha na usuguaji wa miguu, uchoraji wa

Rais wa Comoro Awasili Zanzibar Kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi

Image
   Rais wa Jamhuri ya Comoro Mheshimiwa DR. Ikililou Dhoinine akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar na Kupokea na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa ajili ya kuhudhuria kilele cha maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.   Rais wa Jamhuri ya Comoro Mheshimiwa Dr. Ikililou Dhoinine akisalimiana na baadhi ya wana jumuiya ya Wakfi ya Wangazija hapa Zanzibar waliofika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar Kumpokea.   Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akibadilishana mawazo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Comoro Mheshimiwa DR. Ikililou Dhoinine  kwenye chumba cha watu mashuhuri(VIP)hapo uwanja wa ndege wa Zanzibar. Picha na Hassan Issa-Ofisi ya   Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Image
:   Kwa kipindi kirefu sasa vijana ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tumeshuhudia na kusikia kauli na vitendo vya baadhi ya wanachama wa CCM vinavyoashilia ukiukwaji wa makusudi wa maadili, miiko na kanuni za Chama. CCM katika uhai wake wa miaka 37 baada ya kuunganisha TANU na ASP, imeendelea kukua na kushamiri kutokana na misingi imara ya kikatiba tuliyojiwekea tangu mwaka 1977, ambayo wana CCM wote kwa utashi na hiari tumeienzi na kuifuata. Asiyetaka, ni ruksa kuondoka na kutuachia chama chetu. Ni kwa njia hii tumeweza kuimarisha mshikamano ndani ya Chama Cha Mapinduzi na kutuwezesha kushinda katika chaguzi mbali mbali, hivyo kuendelea kutoa uongozi katika ngazi zote za utawala nchini.  Hivyo basi, kitendo chochote kile chenye mwelekeo wa kubomoa mshikamano ndani ya Chama, ni kitendo cha kutudhoofisha, hivyo kutuengua katika uongozi wa nchi. HILI KWA VIJANA WA CCM, HALIKUBALIKI! Tunasema hivyo kwa sababu kuanzia mwaka huu tunaingia kwenye mchakato wa chaguzi m

WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA ISIRAELI ARIEL SHARON AMEFARIKI DUNIA

Image
View gallery JERUSALEM (AP) — Ariel Sharon, the hard-charging Israeli general and prime minister who was admired and hated for his battlefield exploits and ambitions to reshape the Middle East, died Saturday, eight years after a stroke left him in a coma from which he never awoke. He was 85. As one of Israel's most famous soldiers, Sharon was known for bold tactics and an occasional refusal to obey orders. As a politician he became known as "the bulldozer," a man contemptuous of his critics while also capable of getting things done. He led his country into a divisive war in Lebanon in 1982 and was branded as indirectly responsible for the massacre of hundreds of Palestinians at the Sabra and Chatilla refugee camps outside Beirut when his troops allowed allied Lebanese militias into the camps. Yet ultimately he transformed himself into a prime minister and statesman. Sharon's son Gilad announced the death on Saturday af

MTOTO WA AJABU JIJINI DAR...HIVI NDIVYO VITU VYA KUSHANGAZA ANAVYOWEZA KUVIFANYA

Image
    Mkazi wa Mbezi-Kibanda,  Andrea Marcus.   AMA   kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao, Andrea Marcus (13), mkazi wa Mbezi-Kibanda cha Mkaa, Dar anadaiwa kuwa wa ajabu kutokana na vitendo vyake. Mtoto huyu amedaiwa kuwa ni wa kichawi kutokana na maajabu yafuatayo:   Ana uwezo wa kula ubwabwa sufuria moja la familia, anamudu kunywa maji ndoo moja, ana uwezo wa kuingiza tumboni mikate mikubwa saba kwa mlo mmoja,  amewahi kula mchele (si ubwabwa) ndoo nzima. Mbaya zaidi baada ya kula milo hiyo huwa haoneshi ameshiba. Maajabu mengine ambayo yanawashangaza watu wanaoishi naye ni jinsi anavyokula chakula kwa kumwaga chini kisha kukomba mpaka udongo. “Sina amani ya moyo, naomba Watanzania wanisaidie, mwanangu ananiuma sana, hata kujisaidia ni hapohapo, chakula anakula kupita kiasi, kama nilivyosema hashibi na bado hali kama mwanadamu wa kawaida,” alisema mama wa mtoto huyo. Akizungumzia madai ya uchawi, mama huyo, Angelina Marcus alisema mw

JKT WATANGAZA NAFASI, MAFUNZO KUANZA MACHI 2014

Image
  JESHI LA KUJENGA TAIFA LITAANDIKISHA VIJANA WA KUJIUNGA NA JKT KWA KUJITOLEA KUANZIA JANUARI 2014. NAFASI HIZO ZIMETOLEWA KWA TANZANIA BARA NA VISIWANI. USAILI UTAANZIA NGAZI ZA WILAYA HADI MIKOA. VIJANA WANAOPENDA KUJIUNGA NA JKT KWA KUJITOLEA KWA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI WAPELEKE MAOMBI YAO KWENYE WILAYA WALIKO. MAFUNZO YATAANZA MWEZI MACHI KWA WATAKAOCHAGULIWA. SIFA NA MASHARTI KWA MWOMBAJI 1. Awe raia wa Tanzania. 2. Awe na umri wa miaka 18 hadi 23. 3. Awe na elimu ya darasa la saba hadi kidato cha sita. 4. Asiwe ameoa, kuolewa na asiwe na mtu anayemtegemea. 5. Awe tayari kurudi nyumbani baada ya kumaliza mkataba wake na Jeshi la Kujenga Taifa. 6. Awe na tabia na mwenendo mzuri. 7. Awe tayari kufuata sheria zote  za K ijeshi zitakazokuwa juu yake wakati akiwa Jeshini (kutoroka, wizi, ulevi, uvutaji bangi, madawa ya kulevya , upatikanaji wa mimba n,k) Jeshini ni makosa makubwa na utaweza

RAY, CHUCHU HANS KUOANA RASMI ... MIKAKATI YA HARUSI YAANIKWA .... JOHARI PRESHA INAPANDA, PRESHA INASHUKA

Image
BAADA ya kuzagaa kwa fununu za chini ya kapeti kuwa mastaa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi na Chuchu Hans kutarajia kufunga ndoa, wenzao wa Bongo Movie wameonesha hadharani kuwa wanaiunga mkono ndoa hiyo na kutoa baraka zao. Ray na Chuchu Hans wakiwa katika pozi la kimahaba. Tukio hilo lilijidhihirisha wazi hivi karibuni katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar katika uchaguzi wa viongozi wa Klabu ya Bongo Movie ambapo Ray ambaye alikuwa mwenyekiti mstaafu wa klabu hiyo, aliambatana na ‘bebi’ wake huyo (Chuchu) na kupozi katika staili ya ‘mista na misezi’. Bila kupepesa macho, kwa nyakati tofauti mastaa hao waliokuwa wakifuatilia uchaguzi huo, wa kiume walimuita Chuchu shemeji huku wa kike wakimuita Chuchu wifi ambapo bibie aliitikia bila hiyana. “Tunajua kuwa Ray na Chuchu ni wapenzi na tuko tayari kushuhudia ndoa yao na tutatoa mchango wowote utakaohitajika kwa ajili ya kufanikisha harusi yao kwani wanaonekana kupendana, tangu nianze kuona uh