HIVI NDIVYO MWILI WA MWANAFUNZI WA CBE DODOMA MAREHEMU SAMWEL P. KITULA ULIVYO AGWA CHUONI HAPO JUZI
Mnamo saa nane ( Mchana) mwili wa marehemu Samwel P. Kituliuliwasilishwa chuo cha CBE Dodoma kuagwa na wanafunzi wenzake. Baada ya hapo mwili huo unasafirishwa kuelekea mkoani kwao marehemu. Huu ni upande wa familia ya marehemu mbele yao kukiwa kuna sanduku lililohifadhiwa marehemu Samwel P. Kituli, aliyepatwa na umauti tarehe ya kuamukia December 26,2013 chanzo cha umauti huo ikiwa ni uvimbe wa Ini kwa mjibu wa Madaktari baada ya vipimo kubainisha tatizo hilo. Kwaya ya Mtakatifu Cecilia kutoka CBE Roman Catholic iliyoshiriki kwenye kuaga mwili wa marehemu Watu wakipigwa butwaa kwa msiba huu Wafanyakazi wa chuo hiki nyuso zao zikiwa ni zahuzuni kwa sababu ya kipindi kigumu kilicho jitokeza, ikiwa siku ya leo tena tarehe 27/12/2013 wameondokewa na mfanya kazi Marehemu Selina Makindi hali ikiwa tete kweli. eeeeh Mungu tusaidie Wadau mbali mbali waliohudhulia Mapadree wa kiongoza misa takatifu...