MSICHANA MWENYE MWONEKANO KAMA MWANAUME ALALAMIKA DHIDI YA WANAUME KUMTUMIA KWA NGONO NA KUMTELEKEZA

Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema:
![]() |
“Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima. |
![]() |
“Mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli…. |
![]() |
Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema: |
![]() |
“Sijabahatika kuwa na mwanaume wa kudumu, wengu hunikimbia kutokana na hali hii” |
![]() |
Comments
Post a Comment