HALI NI MBAYA PICHA ZA NUSU UCHI BLOGER ZASAMBAA
Ama kwa hakika wadau nahisi bado hali si swari kwa taifa letu haswa kwa hii hali inayoendelea kuteka akili za wasichana kwa wavulana kwa kujipiga picha za utupu ambazo baadae huwa ni aibu na fedheha kwa familia zao huku wao wakiwa hawana jipya zaidi ya heshima zao kushuka Kusema kweli haya mambo kwetu bado ni mageni tofauti na mataifa mengine ambapo hicho ni kitu cha kawaida na mtu hulipwa pesa nyingi sana kupiga picha za namna hiyo. Mwanadada aliyewahi kutengeneza kichwa cha habari gazetini akidai kubakwa na mbunge wa CHADEMA mheshimiwa Godbless Lema ambaye ni blogger pia Flora Lyimo a.k.a Mbuta Nanga ametengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine tena baada ya kujipiga picha za uchi na kutupia kwenye blog yake. Mara baada ya kutumia picha hizi mwadada huyu alijisifu na kujigamba kuwa yeye ni African qeen na anajiamini!. Kwa upande mwingine anaweza kuwa sawa kwa imani yake ila kwa maadili ya nchii hii nadhani sio ...