TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 LAFANA KATIKA UWANJA WA KARUME MJINI MUSOMA


 Anaitwa Linah Sanga,kutoka nyumba ya vipaji THT akiimba jukwaani usikuwa kuamkia leo
 Watu kibao,kila mmoja akijichia kivyake huku jukwaa likiwaka moto vilivyo kwa miondoko ya bandika bandua ya wasanii wanaotumbuiza. 
 Wakali wengine wanaokuja kwa kasi katika anga bongofleva-hip hop,Stamina na Youngkiller wakilishambulia jukwaa kwa kushusha mistari mikavu live.
 Shangwe kila kona za mashabiki zimetawala uwanjani hapa.
 Mwanadada Shilole akionesha umahiri wake wa kunengua jukwaani mbele ya maelfu ya  watazamaji waliojitokeza usiku huu kwenye tamasha la Serengeti fiesta  2013. PICHA ZAIDI  LIVE INGIA MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM

Comments

Popular posts from this blog