HALI NI MBAYA PICHA ZA NUSU UCHI BLOGER ZASAMBAA
Ama kwa hakika
wadau nahisi bado hali
si swari kwa taifa letu haswa kwa hii hali inayoendelea kuteka akili za
wasichana kwa wavulana kwa kujipiga picha za utupu ambazo baadae huwa
ni aibu na fedheha kwa familia zao huku wao wakiwa hawana jipya zaidi ya
heshima zao kushuka
Kusema kweli haya mambo kwetu bado ni mageni
tofauti na mataifa mengine ambapo hicho ni kitu cha kawaida na mtu
hulipwa pesa nyingi sana kupiga picha za namna hiyo.
Mwanadada aliyewahi kutengeneza kichwa cha habari gazetini akidai
kubakwa na mbunge wa CHADEMA mheshimiwa Godbless Lema ambaye ni blogger
pia Flora Lyimo a.k.a Mbuta Nanga ametengeneza kichwa cha habari kwa
mara nyingine tena baada ya kujipiga picha za uchi na kutupia kwenye blog yake.
Mara baada ya kutumia picha hizi mwadada huyu alijisifu na kujigamba kuwa yeye
ni African qeen na anajiamini!.
Kwa upande mwingine anaweza kuwa sawa kwa imani yake ila kwa maadili ya
nchii hii nadhani sio sahihi kupiga picha kama hizo thesuperstarstz
imehangaika toka asubuhi kumsaka dada yetu huyo bila mafanikio ila bado
tunaendelea kumsaka ili kujua kulikoni na mara tutakapompata kama mwana
bloger mwenzetu tutaongea nae ili kujua zaidi
ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA CHINI
Haya mdau mambo ya dada zetu hayo |
Comments
Post a Comment