MADHARA 6 YA KUPIGA PUNYETO KWA WANAUME
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia……. Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu. Leo nitaongelea Hasara za kujichua au kujichezea kwa mwanaume. HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME: 1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi. Athari kubwa ya kupiga puri ni kuwa hupunguza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za mwanaume na kumfanya awe mtumwa sawa na mtumwa wa pombe. 2. Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu). Hii inatokana na kweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna kitu