PICHA ZA FAREWELL PARTY DBICT 2 - 2014 ..........................................

Ilikuwa ni usiku mnene na wa shangwe kwa wataalum wa IT tokaa Chuo kikuu cha Biashara na Ushirika(MUCCoBS)Walipokutana na kuamua kula bata kwa pamoja kama furaha ya kumaliza mitihani na hatimaye kuhitimu masomo yao,kama jinsi picha zinavyoonesha na haitakaa ikarudiwa katika historia hiyo ya pekee

 MR. ANDREW WITH MR. MBONDE IN THE PARTY
 
MR. BONIFACE AKIFANYA MAMBO YAKE NDANI YA FAREWELL PARTY
 
CHUGA IN THE PARTYMASAI SHOO WITH CHUGA IN THE PARTYMR GODILOVE LEMA WITH MISS IN THE PARTYLEMA AKIFANYA YAKE YALE YANAYOMHUSU IN THE PARTY
k 
IPE ROHO KILE INACHOTAKA ndivyo alivyokuwa akijiachia Miss Eliza

RAPHAEL, NELLSON NA ANDREW LUCAS AIKAWA AMEJIACHIA NDANI YA FAREWELL PARTY AKIWAQ NA CHUGA
ANDREW AKIWA ANATETA JAMBO NA MASAI NDANI YA PARTY  

 
MR. ULOMI a.k.a Prof akiwa amemshirikilia mtoto Jack wakati wakisakata RUMBA ndani ya party

Comments

Popular posts from this blog